Dakika 30 za PLO Lumumba zaimaliza NASA ya Odinga mahakamani, wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwake jamaa huyu

Dakika 30 za PLO Lumumba zaimaliza NASA ya Odinga mahakamani, wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwake jamaa huyu

Alichofanya PLO ni kudharau tu wenzie pale kwenye court, alishindwa kabisa kupangua hoja za NASA.
 
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA na imani ya kwamba wameibiwa kura,

Amefanya hivyo mahakamani ambako kulikuwa na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta,

Swali langu hivi kweli umahiri au uimara wa wanasheria wetu unafikia wa wakenya?

Niwe mkweli kwa ninachokiamini, Tanzania kila jambo limechanganywa na siasa, ndo maana hata weledi Hakuna.

Kwa wanaojua lugha ya kiingereza pitia video hii. Pia uwe na kamusi pembeni maana English ya PLO Lumumba haijawahi acha vichwa salama.

Najua ufipa hawawezi kumkubali kisa anamkubali Magufuli

Hivi Tanzania wanajifunza nini kwa hii kesi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA na imani ya kwamba wameibiwa kura,

Amefanya hivyo mahakamani ambako kulikuwa na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta,

Swali langu hivi kweli umahiri au uimara wa wanasheria wetu unafikia wa wakenya?

Niwe mkweli kwa ninachokiamini, Tanzania kila jambo limechanganywa na siasa, ndo maana hata weledi Hakuna.

Kwa wanaojua lugha ya kiingereza pitia video hii. Pia uwe na kamusi pembeni maana English ya PLO Lumumba haijawahi acha vichwa salama.

Najua ufipa hawawezi kumkubali kisa anamkubali Magufuli

Mimi niliona anajitahidi kutumia maneno ya kiingereza ambayo sio common lakina hakujibu hoja za petitioners. Actually Jubilee na IEBC lawyers hawakujibu hoja yoyote ya NASA zaidi ya kutaka kuwadicredit. Even the simple question ambayo mawakili watatu wa respondents walishindwa kujibu. In short in a nutshell baada ya kusikiliza zile proceedings ushindi wa Raila ni very qestionable. Especially baada ya kupata report ya "Read only access". Respondents hawakucomply orders nyingi. The question is why? Kuna anomalies nyingi zilitokea kwenye procedures za uchaguzi. Kuna fomu hazikusainiwa, hazikupigwa stamp, hazikuwa na watermark nk. Why? Hebu sikiliza hizi video mbili. na
 
hii theorem inafundishwa tangu form 2 mkuu, sema tu basi kwa vile sisi huku kwetu tumekula maharage ya wapi sijui....huwaga tunasifia hata visivyosifika!
wengine tulifundishwa nadharia hii ya paithograsi darasa la sita (1970s)!
 
Ndio PLO anajua ila kiingereza chake cha kikamusi na kilichoegemea zaidi kwenye law terminology ndio kumekuchanganya.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Siyo magumu mkuu ila manaeno ambayo siyo common.
Bombastic words! (bombastic meaning, definition, what is bombastic: using long and difficult words, usually to make people think you know more than you do).
You might be right and that is what we mean by maneno magumu ya kiingereza
 
Speech aliyotoa siku alipoteuliwa kuwa mkubwa wa Anti-Corruption Bureau nilidhani Kenya ingekuwa corruption free. Siku zilivyozidi kwenda niligundua yalikuwa maneno matupu yaliyojaa mbwembwe bila strategy wala plan.

Yes nilimsikiliza sana. hakuna ukali wa sheria aliousema ni mbwembwe ambazo hazisaidii kushinda kesi
 
Prof. PLO ni mwanazuoni(academician) na Mwanasheria maarufu. Lakini kutokana na tuhuma za kukopi na kupesti(plagiarism) ripoti ya Mwanasheria mwenzake miaka takriban 2 iliyopita, anakosa sifa mnazommwagia hapa. Ni kosa kubwa sana kwa msomi wa kiwango cha profesa, lakini ni kosa kubwa zaidi kwa profesa wa sheria. Hivyo Mimi nasema yafuatayo:
  1. He is fake, not OG.
  2. He is just a sensational orator.
PLO Lumumba accused of plagiarism, intellectual theft
 
Back
Top Bottom