Dakika 30 za PLO Lumumba zaimaliza NASA ya Odinga mahakamani, wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwake jamaa huyu

Kwa kuwa polisi wamekuwa mazoezini kwa siku mbili mfululizo, kuna kila dalili kuwa ushindi wa Jubilee utathibitishwa kesho na mahakama.

Uamuzi huo utathibitisha kuwa bado Afrika ina safari ndefu kwa mahakama kuja kutengua ushindi wa chama kiliçho madarakani.
 
Hakuna maneno ya maana aliyosema zaidi ya kuichezea chezea lugha ya malkia na vijimaneno vya kitaliano,.
Uwezi mlinganisha na senior counsel james orengo.
Mi mbona nimeyasikia ya maana? Ngoja nitaje baadhi:-

1. Wamefungua kesi bila kuwa na hoja ya msingi iliyosababisha kesi kufunguliwa.

2. Affidavit badala ya kuwa nafsi ya kwanza umoja kwa mujibu wa sheria, yao inaonesha ni nafsi ya kwanza wingi. Haina mdai inshort.

3. Wamewasilisha hoja zenye takwimu na zenye mantiki, lkn wanaitaka mahakama ijikite kutoa uamuzi kwa kuzingatia maneno matupu(mantiki) na siyo takwimu ambazo zinaonesha odinga kapigwa.

4. Nasa walitangazia umma kuwa hata wakishindwa hawataenda mahakamani maana hawaiamini, leo wameenda kwenye mahakama ambayo wameshautangazia umma kuwa haitendi haki. Prejudice!

5. Wamefungua kesi wakidai aliyefungua kesi ni wananchi wa Kenya, wakati wananchi wa kenya walishapiga kura na kumpa ushindi mnono Uhuru. Sasa waliompa ushindi Uhuru, wanaanzaje tena kuupinga? Inaonesha siyo wakenye, bali ni kikundi cha baadhi ya wakenya wasioheshimu mchakato wa democrasia.

Just to mention few

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vema sanA
 
Kama alivyodhamiria kutumia legalese na latin kuonesha kwamba ni mahiri kitu ambacho mtu yeyote asiesoma sheria angeweza kuona hivyo na kama ilivyotokea ndo linachoonekana
 
Tusiojua kiingereza tupite tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mbona nimeyasikia ya maana? Ngoja nitaje baadhi:-

1. Wamefungua kesi bila kuwa na hoja ya msingi iliyosababisha kesi kufunguliwa.

2. Affidavit badala ya kuwa nafsi ya kwanza umoja kwa mujibu wa sheria, yao inaonesha ni nafsi ya kwanza wingi. Haina mdai inshort.

3. Wamewasilisha hoja zenye takwimu na zenye mantiki, lkn wanaitaka mahakama ijikite kutoa uamuzi kwa kuzingatia maneno matupu(mantiki) na siyo takwimu ambazo zinaonesha odinga kapigwa.

4. Nasa walitangazia umma kuwa hata wakishindwa hawataenda mahakamani maana hawaiamini, leo wameenda kwenye mahakama ambayo wameshautangazia umma kuwa haitendi haki. Prejudice!

5. Wamefungua kesi wakidai aliyefungua kesi ni wananchi wa Kenya, wakati wananchi wa kenya walishapiga kura na kumpa ushindi mnono Uhuru. Sasa waliompa ushindi Uhuru, wanaanzaje tena kuupinga? Inaonesha siyo wakenye, bali ni kikundi cha baadhi ya wakenya wasioheshimu mchakato wa democrasia.

Just to mention few

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Prof. PLO ni mwanazuoni(academician) na Mwanasheria maarufu. Lakini kutokana na tuhuma za kukopi na kupesti(plagiarism) ripoti ya Mwanasheria mwenzake miaka takriban 2 iliyopita, anakosa sifa mnazommwagia hapa. Ni kosa kubwa sana kwa msomi wa kiwango cha profesa, lakini ni kosa kubwa zaidi kwa profesa wa sheria. Hivyo Mimi nasema yafuatayo:
  1. He is fake, not OG.
  2. He is just a sensational orator.
PLO Lumumba accused of plagiarism, intellectual theft
Ha ha ha ha

"..... Former anti-graft agency boss PLO Lumumba has been sued over alleged plagiarism and intellectual theft.

Wachira Maina accused Lumumba of plagiarising an article he wrote, which was published in the East African newspaper.

The article by Lumumba was published in the Law Society of Kenya Journal.

Maina says Lumumba wrote a 10,000-word essay titled ‘From Jurisprudence to Poliprudence: the Kenyan Presidential Election Petition 2013’, with nearly 5,000 words lifted from an article he wrote, published on April 20, last year.

He says Lumumba has behaved unethically.

Maina criticised LSK for failing to sufficiently check before publishing the article. Maina wants compensation for intellectual theft.

He also seeks to have the plagiarised part deleted from Lumumba’s article.

Maina wants Lumumba’s conduct declared to have undermined values and principles of public service as set in the Constitution, hence bar him from holding public office...."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni msaliti wa Demokrasia huwezi kusimama mahamakani na kutetea wizi wa kura.
Lumumba niliyemuona akitoa mada mlimani kuhusu ufisadi na demokrasia sikutegemea anaweza kukubali matakwa ya wananchi yakikataliwa kwa wizi wa kura. Najua Bavicha sasa ni kitu kimoja na Jubilee kwahiyo mta mtetea sana. Nyumbani kwake amewekwa ulinzi na serikali kwa kuogopa kuvamiwa na wafuasi wa NASA.
Kwa kweli hata mimi nimemdharau sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemdharau huyu jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi mbona nimeyasikia ya maana? Ngoja nitaje baadhi:-

1. Wamefungua kesi bila kuwa na hoja ya msingi iliyosababisha kesi kufunguliwa.

2. Affidavit badala ya kuwa nafsi ya kwanza umoja kwa mujibu wa sheria, yao inaonesha ni nafsi ya kwanza wingi. Haina mdai inshort.

3. Wamewasilisha hoja zenye takwimu na zenye mantiki, lkn wanaitaka mahakama ijikite kutoa uamuzi kwa kuzingatia maneno matupu(mantiki) na siyo takwimu ambazo zinaonesha odinga kapigwa.

4. Nasa walitangazia umma kuwa hata wakishindwa hawataenda mahakamani maana hawaiamini, leo wameenda kwenye mahakama ambayo wameshautangazia umma kuwa haitendi haki. Prejudice!

5. Wamefungua kesi wakidai aliyefungua kesi ni wananchi wa Kenya, wakati wananchi wa kenya walishapiga kura na kumpa ushindi mnono Uhuru. Sasa waliompa ushindi Uhuru, wanaanzaje tena kuupinga? Inaonesha siyo wakenye, bali ni kikundi cha baadhi ya wakenya wasioheshimu mchakato wa democrasia.

Just to mention few

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ni mchezo mdogo wa akili sana, ukiteleza tu!..umekwenda na maji!
 
Mbona hakusema ya maana sana ila maneno magumu ya kiingereza!
Kama maneno ya kiingereza aliyotumia PLO yalikuwa magumu na kwamba yawezekana hukuelewa vizuri alichosema, wawezaje juhitimisha kuwa "hakusema ya maana..."?
 
Uchaguzi wa Kenya mwaka huu umenishangaza sana...
Yaani kila kura zikihesabiwa kwa jimbo Kenyata anaongoza kwa asilimia ileile. Haipungui wala kuzidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom