Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mbona nimeyasikia ya maana? Ngoja nitaje baadhi:-Hakuna maneno ya maana aliyosema zaidi ya kuichezea chezea lugha ya malkia na vijimaneno vya kitaliano,.
Uwezi mlinganisha na senior counsel james orengo.
Mi mbona nimeyasikia ya maana? Ngoja nitaje baadhi:-
1. Wamefungua kesi bila kuwa na hoja ya msingi iliyosababisha kesi kufunguliwa.
2. Affidavit badala ya kuwa nafsi ya kwanza umoja kwa mujibu wa sheria, yao inaonesha ni nafsi ya kwanza wingi. Haina mdai inshort.
3. Wamewasilisha hoja zenye takwimu na zenye mantiki, lkn wanaitaka mahakama ijikite kutoa uamuzi kwa kuzingatia maneno matupu(mantiki) na siyo takwimu ambazo zinaonesha odinga kapigwa.
4. Nasa walitangazia umma kuwa hata wakishindwa hawataenda mahakamani maana hawaiamini, leo wameenda kwenye mahakama ambayo wameshautangazia umma kuwa haitendi haki. Prejudice!
5. Wamefungua kesi wakidai aliyefungua kesi ni wananchi wa Kenya, wakati wananchi wa kenya walishapiga kura na kumpa ushindi mnono Uhuru. Sasa waliompa ushindi Uhuru, wanaanzaje tena kuupinga? Inaonesha siyo wakenye, bali ni kikundi cha baadhi ya wakenya wasioheshimu mchakato wa democrasia.
Just to mention few
Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha ha haProf. PLO ni mwanazuoni(academician) na Mwanasheria maarufu. Lakini kutokana na tuhuma za kukopi na kupesti(plagiarism) ripoti ya Mwanasheria mwenzake miaka takriban 2 iliyopita, anakosa sifa mnazommwagia hapa. Ni kosa kubwa sana kwa msomi wa kiwango cha profesa, lakini ni kosa kubwa zaidi kwa profesa wa sheria. Hivyo Mimi nasema yafuatayo:
PLO Lumumba accused of plagiarism, intellectual theft
- He is fake, not OG.
- He is just a sensational orator.
Nimemdharau huyu jamaa.Mbona hakusema ya maana sana ila maneno magumu ya kiingereza!
Kweli kabisa!Mbona tuko wote sijapenda lolote kwake, nimeandika hivi: Yes nilimsikiliza sana. hakuna ukali wa sheria aliousema ni mbwembwe ambazo hazisaidii kushinda kesi
Hajasema maneno yamemshinda kuyaelewa. Amesema ametumia maneno magumu ya kingereza. Tofautisha...Utasemaje hakusema ya maana wakati lugha aliyotumia inakupita pembeni?
Kwa kweli hata mimi nimemdharau sana!Huyo ni msaliti wa Demokrasia huwezi kusimama mahamakani na kutetea wizi wa kura.
Lumumba niliyemuona akitoa mada mlimani kuhusu ufisadi na demokrasia sikutegemea anaweza kukubali matakwa ya wananchi yakikataliwa kwa wizi wa kura. Najua Bavicha sasa ni kitu kimoja na Jubilee kwahiyo mta mtetea sana. Nyumbani kwake amewekwa ulinzi na serikali kwa kuogopa kuvamiwa na wafuasi wa NASA.
Mi mbona nimeyasikia ya maana? Ngoja nitaje baadhi:-
1. Wamefungua kesi bila kuwa na hoja ya msingi iliyosababisha kesi kufunguliwa.
2. Affidavit badala ya kuwa nafsi ya kwanza umoja kwa mujibu wa sheria, yao inaonesha ni nafsi ya kwanza wingi. Haina mdai inshort.
3. Wamewasilisha hoja zenye takwimu na zenye mantiki, lkn wanaitaka mahakama ijikite kutoa uamuzi kwa kuzingatia maneno matupu(mantiki) na siyo takwimu ambazo zinaonesha odinga kapigwa.
4. Nasa walitangazia umma kuwa hata wakishindwa hawataenda mahakamani maana hawaiamini, leo wameenda kwenye mahakama ambayo wameshautangazia umma kuwa haitendi haki. Prejudice!
5. Wamefungua kesi wakidai aliyefungua kesi ni wananchi wa Kenya, wakati wananchi wa kenya walishapiga kura na kumpa ushindi mnono Uhuru. Sasa waliompa ushindi Uhuru, wanaanzaje tena kuupinga? Inaonesha siyo wakenye, bali ni kikundi cha baadhi ya wakenya wasioheshimu mchakato wa democrasia.
Just to mention few
Sent using Jamii Forums mobile app
We ndo umeongea la maanaSheria ni mchezo mdogo wa akili sana, ukiteleza tu!..umekwenda na maji!
Kama maneno ya kiingereza aliyotumia PLO yalikuwa magumu na kwamba yawezekana hukuelewa vizuri alichosema, wawezaje juhitimisha kuwa "hakusema ya maana..."?Mbona hakusema ya maana sana ila maneno magumu ya kiingereza!
Wewe ni great thinkerKama maneno ya kiingereza aliyotumia PLO yalikuwa magumu na kwamba yawezekana hukuelewa vizuri alichosema, wawezaje juhitimisha kuwa "hakusema ya maana..."?