Dakika 30 za PLO Lumumba zaimaliza NASA ya Odinga mahakamani, wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwake jamaa huyu

Lakin
Naona umeegemea upande mmoja ungesikia alivyojibiwa na James Orengo wa NASA
 
for the sake of his own and kenyans lives, he has actually must defend the incumbent regime by hooks and crooks!! I guess!
 
Huyo prof wao ni mpuuzi sana maana ndo huyo huyo aliyemsifia mkojoleaji wa katiba yetu? Mnafiki mkubwa ndo maana ni callmej wa sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we jamaa ulikuwa unasemaje vile?
 
Aiseee, PL Lumumba chali, hoja zake zote zimekuwa nullified.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
siku zote huwa nasema,kingereza ni lugha tu ya kawaida kama lugha zingine....sio kipimo cha kupima uweledi wa mtu.

ni watz pekee ndio walikuwa excited na kile kingereza cha lumumba,wakenya wenyewe wala hawakulipa kipaombele suala hilo.
 
Court ruling ya leo imedhiirisha ni bora kuishia darasa la 7 kuliko kuwa Professor. Yaani hawa watu kwa East Africa yetu wamekuwa na njaa za ajabu sana kiasi uwezo wao wa kufikiri umeenda likizo. Ni hawa kina PLO Lumumba, Professor Lipumba na wengine wengi.
 
Jamaa kajimaliza mwenyewe heshima yoote aliyojijengea Dunia nzima imezimwa ndani ya sekunde kisa njaaa aisee ogopa pesa hapa dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…