Dakika 30 za PLO Lumumba zaimaliza NASA ya Odinga mahakamani, wanasheria wa Tanzania jifunzeni kwake jamaa huyu

Mkuu we told you ,mawakili wa odinga walijipanga sana,mawakili wa Kenyatta were coughs pants down ,hawakujipanga vizuri,team ya Kenyatta walibweteka odinga aendi mahakamani.
 


Vipi mkuu uliyetuletea huu uzi umeona maamuzi ya mahakama? Je, yapi maoni yako kwa sasa?
 
Hahahaha kalale na lumumba idiot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HapanHeshima yake itakua imemong'onyoka.

Kuna wanao hoji yeye kama mtu anayekemea ukandamizaji Africa iweje amtetee.Kenyatta ambaye amekandamiza Domokrasia?!

Sasa Mahakama imem-prove wrong..
Sipati Picha... Ha ha ha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa lakin KENYATA anashinda urais tena
Nitafurahi sana Kenyata akishinda kama nilivyofurahi aliposhinda. He is my type of President.

Point yangu si nani anashinda, nisome tena na jisome post yako namba moja.

Ulimsifia sana huyo PLO kabla ya hukumu. Hiyo ndiyo hoja yangu.

Sitopenda kabisa Odinga ashinde.
 
bibi kizee leo nakusapoti. wakenya watafaidika zaidi wakiwa na uhuru kuliko raila....hata hivyo, watz watafaidika sana wakiwa na raila kuliko uhuru, kwasababu uhuru by nature ni adui wa tz kama alivyokuwa baba yake, na raila ni rafiki wa tz kama alivyokuwa baba yake. kuna mabifu mengi tu yanaenda chini kwa chini hasa vita za kiuchumi etc ambazo uhuru anatusumbua sana. hivyo kwa faida ya wakenya kama wana akili, yafaa wamchague tena uhuru, ila kama ndo hivyo tena wakikosea kumchagua raila, itakuwa faida kubwa kwetu wabongo kwasababu tutawapiku wakenya na tutawaendesha tupendavyo.
 
Nimeamini hakuna Professor anaweza kuwa mtendaji mzuri Lumumba na uprofessor wake ameonekana bogus kufuatia hukumu ya kutengua ushindi wa Kenyatta. Hapa nchini kuna umuhimu wa serikali kuwaacha hawa professors wafundishe vyuo vikuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…