Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,311
Mkuu we told you ,mawakili wa odinga walijipanga sana,mawakili wa Kenyatta were coughs pants down ,hawakujipanga vizuri,team ya Kenyatta walibweteka odinga aendi mahakamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu professor PLO LUMUMBA, ametumia dakika 30 tu kulegeza msimamo wa NASA na imani ya kwamba wameibiwa kura,
Amefanya hivyo mahakamani ambako kulikuwa na pingamizi la ushindi wa Uhuru Kenyatta,
Swali langu hivi kweli umahiri au uimara wa wanasheria wetu unafikia wa wakenya?
Niwe mkweli kwa ninachokiamini, Tanzania kila jambo limechanganywa na siasa, ndo maana hata weledi Hakuna.
Kwa wanaojua lugha ya kiingereza pitia video hii. Pia uwe na kamusi pembeni maana English ya PLO Lumumba haijawahi acha vichwa salama.
Maelezo kwa kifupi ya Prof Lumumba ni haya baadhi
1. Wamefungua kesi bila kuwa na hoja ya msingi iliyosababisha kesi kufunguliwa.
2. Affidavit badala ya kuwa nafsi ya kwanza umoja kwa mujibu wa sheria, yao inaonesha ni nafsi ya kwanza wingi. Haina mdai inshort.
3. Wamewasilisha hoja zenye takwimu na zenye mantiki, lkn wanaitaka mahakama ijikite kutoa uamuzi kwa kuzingatia maneno matupu(mantiki) na siyo takwimu ambazo zinaonesha odinga kapigwa.
4. Nasa walitangazia umma kuwa hata wakishindwa hawataenda mahakamani maana hawaiamini, leo wameenda kwenye mahakama ambayo wameshautangazia umma kuwa haitendi haki. Prejudice!
5. Wamefungua kesi wakidai aliyefungua kesi ni wananchi wa Kenya, wakati wananchi wa kenya walishapiga kura na kumpa ushindi mnono Uhuru. Sasa waliompa ushindi Uhuru, wanaanzaje tena kuupinga? Inaonesha siyo wakenye, bali ni kikundi cha baadhi ya wakenya wasioheshimu mchakato wa democrasia.
Najua ufipa hawawezi kumkubali kisa anamkubali Magufuli

kila kijamaa ni kinafiki tangu nianze kumfahamu huwa namdharau sana.Huyo prof wao ni mpuuzi sana maana ndo huyo huyo aliyemsifia mkojoleaji wa katiba yetu? Mnafiki mkubwa ndo maana ni callmej wa sheria
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka nilipomsikia akiongea UDSM nilimuona kuwa ni mnafik. Porojo nyingi.kila kijamaa ni kinafiki tangu nianze kumfahamu huwa namdharau sana.
Ipige kwa kiswahili ili na siye wa Tandale kwa Mtogole isitulazimu kwenda Mdale kupata ufafanuzi!Hindsight is the bitch!
Sawa lakin KENYATA anashinda urais tenaSamweli mathayo
Ulikuwa na haraka sana. Hukungoja hukumu ukaanza kusifu. Kuwa muongeaji mzuri hakumaanishi ni mwanasheria mzuri.
Kiko wapi?
Hoja yako ilikuwa kwamba Kenyatta atashinda tena uchaguzi Kenya ama kwamba hoja za Raila zimesambaratishwa na PLO?Sawa lakin KENYATA anashinda urais tena
HapanHeshima yake itakua imemong'onyoka.Prof. PLO ni mwanazuoni(academician) na Mwanasheria maarufu. Lakini kutokana na tuhuma za kukopi na kupesti(plagiarism) ripoti ya Mwanasheria mwenzake miaka takriban 2 iliyopita, anakosa sifa mnazommwagia hapa. Ni kosa kubwa sana kwa msomi wa kiwango cha profesa, lakini ni kosa kubwa zaidi kwa profesa wa sheria. Hivyo Mimi nasema yafuatayo:
PLO Lumumba accused of plagiarism, intellectual theft
- He is fake, not OG.
- He is just a sensational orator.
Nitafurahi sana Kenyata akishinda kama nilivyofurahi aliposhinda. He is my type of President.Sawa lakin KENYATA anashinda urais tena
bibi kizee leo nakusapoti. wakenya watafaidika zaidi wakiwa na uhuru kuliko raila....hata hivyo, watz watafaidika sana wakiwa na raila kuliko uhuru, kwasababu uhuru by nature ni adui wa tz kama alivyokuwa baba yake, na raila ni rafiki wa tz kama alivyokuwa baba yake. kuna mabifu mengi tu yanaenda chini kwa chini hasa vita za kiuchumi etc ambazo uhuru anatusumbua sana. hivyo kwa faida ya wakenya kama wana akili, yafaa wamchague tena uhuru, ila kama ndo hivyo tena wakikosea kumchagua raila, itakuwa faida kubwa kwetu wabongo kwasababu tutawapiku wakenya na tutawaendesha tupendavyo.Nitafurahi sana Kenyata akishinda kama nilivyofurahi aliposhinda. He is my type of President.
Point yangu si nani anashinda, nisome tena na jisome post yako namba moja.
Ulimsifia sana huyo PLO kabla ya hukumu. Hiyo ndiyo hoja yangu.
Sitopenda kabisa Odinga ashinde.