Dakika 4 goli 3 huku dakika 90 goli 3 mpira hauna adabu

Dakika 4 goli 3 huku dakika 90 goli 3 mpira hauna adabu

Timu haipo hata viwango vya CAF,Kabla ya michuano hakunamtanzania aliyekuwa akiifahamu
Katazame uzi wa mbumbumbu mwenzio kachambua gemu vizuri sana timu hakuna hapo ukikutana na wauza mkaa kama hao timu ina wazee tupu ndio unafikiri uko vizuri..
 
Leo nilikuwa naangalia ubora wa timu aiseeee. Kuna timu jana ilnipigia goli 3 ndani ya dk 4

Leooo naona goli 3 zimehangaikiwa kwa dk 90. Mpira haujawahi mwacha mtu salama
FB_IMG_1726985190884.jpg
 
Watuu wako makundiiii, kwani lazima utesekeee?
Poleeee wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ilo ndio pira hirizi, yaani mganga anakwambia Magoli yapo ila uki iangalia timu Yako inavyo cheza huamini kama Kuna Goli.
Ndio Ile kwa Mkapa atoki mtu, ila mpinzani akizijua tu code zako ana kukanda apo apo kwa Mkapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo mtasemaa yoteee.
Watu weuweeeeeee.
 
Leo nilikuwa naangalia ubora wa timu aiseeee. Kuna timu jana ilnipigia goli 3 ndani ya dk 4

Leooo naona goli 3 zimehangaikiwa kwa dk 90. Mpira haujawahi mwacha mtu salama
Hata ingekuwajeee…..huwa hamkosi kasoro! Mnafanya biashara ya ngo'mbe, lakini bado unamjadili mfanyabiashara ya kuku!
 
Leo nilikuwa naangalia ubora wa timu aiseeee. Kuna timu jana ilnipigia goli 3 ndani ya dk 4

Leooo naona goli 3 zimehangaikiwa kwa dk 90. Mpira haujawahi mwacha mtu salama
Kwahiyo tukusaidieje!?
 
ka baga mashabiki wa mbasi
 
Attachments

  • downloadfile-51.jpg
    downloadfile-51.jpg
    407.4 KB · Views: 1
Leo nilikuwa naangalia ubora wa timu aiseeee. Kuna timu jana ilnipigia goli 3 ndani ya dk 4

Leooo naona goli 3 zimehangaikiwa kwa dk 90. Mpira haujawahi mwacha mtu salama
Timu inayojielewa inafungwaje magoli matatu kwa dakika nne?
 
Mbumbumbu wanatabu sana eti leo wanajiona wao wamecheza na timu kali kweli kweli kuliko cbe sa hivi vitu unaweza cheka kabisa..
Sasa timu iwe kali icheze kombe la akina mama kweli?
Zamalek ambayo mara kadhaa huwa inacheza kombe la Shirikisho ni bora sana kuliko Jwaneng Galaxy inayoshiriki Klabu Bingwa kila mwaka.

Nadhani hapo umenielewa kuhusiana na Al Ahly Tripoli na CBE.
 
Back
Top Bottom