Dakika 4 goli 3 huku dakika 90 goli 3 mpira hauna adabu

Dakika 4 goli 3 huku dakika 90 goli 3 mpira hauna adabu

Na wao wanasema

tumefuzu kwa kishindooo

aisee
 
Zamalek ambayo mara kadhaa huwa inacheza kombe la Shirikisho ni bora sana kuliko Jwaneng Galaxy inayoshiriki Klabu Bingwa kila mwaka.

Nadhani hapo umenielewa kuhusiana na Al Ahly Tripoli na CBE.
Leo ndio umetambua hilo baada ya wewe kua uko ulipopaita kwa losers..
Mashabiki wengi wa simba ni mbumbumbu na hamjui mnataka nin..
Ukiangalia mpira aliocheza CBE na hao Al Ahly tripoli wewe kwa mtazamo wako wa kiufundi unaona tofauti gani?
Timu ambayo haina usahihi wa pasi unaweza kujisifia kwamba ni timu bora hata goli la pili limetokana na ubovu wa kupasiana wa Al Ahly tripoli..
 
Leo nilikuwa naangalia ubora wa timu aiseeee. Kuna timu jana ilnipigia goli 3 ndani ya dk 4

Leooo naona goli 3 zimehangaikiwa kwa dk 90. Mpira haujawahi mwacha mtu salama
Yangaaa...
 
Back
Top Bottom