Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Mchawi umeumia sana yaani. Yaani hapo ni hadi uchapwe nao ndo muwasho wako utulie.Na wao wanasema
tumefuzu kwa kishindooo
aisee
Leo ndio umetambua hilo baada ya wewe kua uko ulipopaita kwa losers..Zamalek ambayo mara kadhaa huwa inacheza kombe la Shirikisho ni bora sana kuliko Jwaneng Galaxy inayoshiriki Klabu Bingwa kila mwaka.
Nadhani hapo umenielewa kuhusiana na Al Ahly Tripoli na CBE.
Wali ndondo vp?Sawa nendeni mkanywe supu
Yangaaa...Leo nilikuwa naangalia ubora wa timu aiseeee. Kuna timu jana ilnipigia goli 3 ndani ya dk 4
Leooo naona goli 3 zimehangaikiwa kwa dk 90. Mpira haujawahi mwacha mtu salama