Uchaguzi 2020 Dakika 45 na Bernard Membe ITV: Baadhi ya mambo aliyoongea

Uchaguzi 2020 Dakika 45 na Bernard Membe ITV: Baadhi ya mambo aliyoongea

Hiv bwana yule zamu yake lin?
Sote tunasubiri kwa hamu zamu yake maana ndio pekee mwenye PhD afunike wote waliohojiwa na wajao hata kwa kilugha poa tu. Wawili tayari wamehojiwa na yeyote kati yao ni presidential material ingawa hawana PhD.
 
Hoja zake ni za kawaida mno.

Sitaki kuamini panel nzima ya ACT na kelele zote zile walikaa na kumuandaa mgombea wao aje azungumze haya.
 
Too late, Membe amepitwa na wakati. Katika siasa mambo yanakwenda kasi mno huu ni wakati wa Tundu Antipas Lissu.
Unaotaaa..😀😀 Acha kumfananisha JPM na utopolo
 
Kwanini Membe anapinga serikali kuchukua financial loans kununua ndege?

Je, kweli tulikopa ili kununua ndege?
 
Unaotaaa..😀😀 Acha kumfananisha JPM na utopolo

Mgombea wa CCM Mpya asipojisahihisha ataangukia nafasi ya tano nyuma ya Bernard Membe na Prof. Ibrahim Haruna Lipumba.

Na msimamo wa ligi kuelekea Ikulu kwa kuwepo ktk gumzo la kisiasa mwisho wa mwezi huu wa tisa (september) utasomeka hivi (hapo chini) na hivyo mwezi wa Oktoba yote utakuwa mwezi wa kuteseka sana kwa mgombea wa CCM Mpya na wafiaChama wahafidhina wa CCM Mpya:
  1. Tundu Antipas Lissu
  2. Maalim Seif Sharrif Hamad
  3. Bernard Carmillus Membe
  4. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba
  5. John Pombe Joseph Magufuli
 
Back
Top Bottom