Sahihi kabisa kiongozi.Frankly speaking amejieleza vizuri sana
Hiv bwana yule zamu yake lin?
Una hakika inawezekana?Hiv bwana yule zamu yake lin?
Wame edit sanaMembe kajitahidi sana kuchambua hali halisi ya nchi, ila mwandishi wa habari hakuwa anamruhusu Membe kuendelea kuchafua hali ya hewa kwa mapana yake.
Mbinu yao walioitumia CCM na TISS mwaka 2015 kumpandikiza Lowassa upinzani, sasa kwa Membe imebuma watu wameshtuka .Membe ametia huruma hadi naona aibu kwa idara
Vipi homeboy! Fanya na wee ukahojiwe hapo DK 45So Membe ata drop out?
Sote tunasubiri kwa hamu zamu yake maana ndio pekee mwenye PhD afunike wote waliohojiwa na wajao hata kwa kilugha poa tu. Wawili tayari wamehojiwa na yeyote kati yao ni presidential material ingawa hawana PhD.Hiv bwana yule zamu yake lin?
Wewe unaonajeSo Membe ata drop out?
Uyu jamaa wakati anaanza vugu vugunza kuutaka uraisi alivokua kmya nikahis ana madini, kumbe Mr ZeroππDaah sikupata kujua kabisa kama huyu jamaa ana hoja nyepesi hivi.
Jasusi Mbobezi BM π€£π€£π€£π€£Hoja zake ni za kawaida mno.
Sitaki kuamini panel nzima ya ACT na kelele zote zile walikaa na kumuandaa mgombea wao aje azungumze haya.
Unaotaaa..ππ Acha kumfananisha JPM na utopoloToo late, Membe amepitwa na wakati. Katika siasa mambo yanakwenda kasi mno huu ni wakati wa Tundu Antipas Lissu.
Unaotaaa..ππ Acha kumfananisha JPM na utopolo