Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

Umewahi kutana na hali ya hewa mbaya mfano kama unaenda nchi za Afrika Magharibi kabla ya kuvuka equator au baada ya kuvuka equator au ukiwa ndani ya anga ya nchi za Ulaya au Marekani, anzia hapo kwanza then uje kwenye mada ya ndege kupata itilafu
Hapo kati mwisho kwenye Gap unapoitafuta Ethiopia kutoka Europe kuna kipande ukikaribia Africa ukichungulia nje unaweza sema nishushe dereva ,
Ni kule kwenye Corazone, very beatiful view ile milima na mashimo chini huko utaomba poo.
Ndege inapiga bumps tu masaa kama daladala za kimanzichana-charambe kwa kipwinto ni shot kulia juu chini inatulia pale tu ikikanyaga ardhi safi ya Africa Addis .
Ukiskia harufu ya mbuzi ujue umefika salama.
Pale nadhani ni kwenye hiyo Canal inaanzia Somalia to Panama sasa jamaa na ndege zao wanaikata kati wakienda Addis. Ukute pamachafukwa utaomba mizimu yote ya kwenu na vizazi vijavyo ikulinde.
Horn of Africa
 
Ina maana hapo rubani alikuwa akii contol ili irudi ktk situation yake au ilikuwa inamshinda?
Pilots are highly trained, tayari waligundua hilo tukio, na kilicho endelea ni kupambana na control modules kuiweka ndege katika usalama. Hawakutegema kuingia vacuum zone ndio maana alert kwa abiria haikutolewa.
 
Ukiwa angani waza tu upo katika mazingira ya 'kifo" ndege ikitua na mazingira yanapotea kiaina.
 
Kwenye hali kama hiyo ikitokea,ukiweza kucontroll mambo ya kupanik unaweza toka salama

Ova
 
Back
Top Bottom