cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,774
- 5,314
[emoji23][emoji23][emoji23] si ameshaokoka mkuuWewe usubiri mkikutana na wakina Lwandamagere huko road mkaushwe damu
[emoji23][emoji23][emoji23] si ameshaokoka mkuuWewe usubiri mkikutana na wakina Lwandamagere huko road mkaushwe damu
Tuliokuwemo kwenye ndege tulikuwa tunafahamiana almost wote. Ilikuwa ndo wale waajiliwa wa kwenye process plant wakati ndo inaendelea kujengwa. Na wengine tulimaliza UDSM mwaka mmoja. Tulikwenda kutembelea plant tujue mazingila. Hivyo tulitoka Dar kwa hiyo ndege iliyokodiwa na KMCL. Jirani yangu wakati ndege inayumba, akatania... mbona huyu pilot anaendesha ndege kama kipanya..!? Hapo tulikuwa bado hatujaambiwa kinachoendelea.Vipi jirani yako nae hali yake ilikuwaje
... kasahihisha baada ya mimi kumsahihisha; angalia thread za juu utaona kuna mahali ame-acknowledge; pia angalia content niliyo-quote. Christine1sasa hapo ndio umesahihisha nini mbona hata yeye amesema ni 12 km.
Umejuaje kuwa naongea tu?
Yan ndo hivyo tyuutyu ndio nini
Ndo maana baadhi huogopa usafir wa angaHapa nimemkumbuka Kobe na Gigi[emoji848]...I couldn't imagine[emoji1751][emoji1751][emoji24]
Malkia wa nguvuYule alianza kitambo kabla hujazaliwa.
Unachokula hapa ni makombo tu...sema nini hainaga makombo hii kitu.
Hebu twende PM darling, hapa tutavuruga na kuharibu uzi wa watu.
Siri yangu MKUU..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ulienda long call bhana
Duuh! wenye mizigo?Ehe kumbe tupo wawili 🙄😳
Lile ni jeshi, wako wengi wanaendelea.[emoji23][emoji23][emoji23] si ameshaokoka mkuu
Hamna ndege ya abiria inaweza pita umbali huo...juu kabisa futi elfu 40 ila nyingi huwa zinakomea 35ft, mbali sana hapoElfu 80? hapana kiongozi. Labda za kivita hizo siyo hizi za abiria
Noma sanaLile ni jeshi, wako wengi wanaendelea.
Mfano, huyo mfanyabiashara mkubwa Mwanza na Wale mama wawili aliouwa nao ajali ya mabasi, bado wapo hao.
Kwenye miembe tu mita sijui 10 tushadondoka sana na kuvunjika sehemu mbalimbali, hugo 12kM si unakufa kabla hujafika mbaliAsante mkuu kwa masahihisho Sasa imagine km 12 kwenda juu daaah
Nilidhani tyuu = tu SenoritaYan ndo hivyo tyuu
Due to gravitation force, ndege mnavoshuka chini na watu. Viungo ndani ya mwili moyo, utumbo, maini, kongosho etc vinakua vimejichanganya changanya humo ndani due to that unapodhidi kushuka.Kwenye miembe tu mita sijui 10 tushadondoka sana na kuvunjika sehemu mbalimbali, hugo 12kM si unakufa kabla hujafika mbali
Unakufa taratibu huku unajionaYote tisa.kumi meli au boti izame