fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 13,008
- 24,820
Hahaha eti tuna kiburi, kwahiyo tunagoma kufa?😆😆hahaha.Bro kufa ni rahisi sana.basi tu sisi tuna kiburi sijui cha nini
Hahaha eti tuna kiburi, kwahiyo tunagoma kufa?😆😆hahaha.Bro kufa ni rahisi sana.basi tu sisi tuna kiburi sijui cha nini
Hapana mkuu. Nilikua nishaipata mapema tuVipi mwisho wa safari hukuomba namba?
Nimecheka hata kabla sijamaliza kusomaKwa wale ambao tumeisha kata tamaa nikufunguka kicheko balaa ukicheki watu wanavyo haha na vitambi vyao mwili mzima wameloa hujui hata wameoga muda gani
Nimeshangaa na vile viwine vinagawiwa mule ye kajifunika blanketi tu[emoji15][emoji15][emoji848]Kwa hiyo mkuu wewe huwa haupigi zile menu za kwenye ndege?
Ha ha ha ha dadeeeki[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna kipindi Fast Jet ilikua inaenda Marekani
40,000 and not 4,000 1 meter= 3.3 ft , 40,000ft =40,000/3.3=12,121meter =12kmFuti 4000 sio sawa na KM 4.
Kasome vizuri hesabu
Sijui aliscream, sijui alizimia[emoji24][emoji24][emoji22]yaanNdo maana baadhi huogopa usafir wa anga
Kama vile vinatoka dar- zenji ovyoo sana...mi nilihisi tunakufa, ulogwe uangalia chini sasa, full kichefuchefuMe sipandi tena hizi ndege ndogo
Maana uko angani kana yumba jamaa unamuona ana zungusha zungusha kitu kama variable switch huku kitu hakituli kabisa sipandi tena yani unajiona kama upo kwenye beseni la maji una subiri kumwagwa tu!!
View attachment 1720722View attachment 1720723
Ha ha ha ha ha labda huwa anapanda za ndani humu ambazo kila kitu unanunuaNimeshangaa na vile viwine vinagawiwa mule ye kajifunika blanketi tu[emoji15][emoji15][emoji848]
Bora meli aisee me sipandi ata bure kitu kipo kama kipepeo angani 🤔Kama vile vinatoka dar- zenji ovyoo sana...mi nilihisi tunakufa, ulogwe uangalia chini sasa, full kichefuchefu
Siku naenda safari ndefu nishasema nitaenda airport niko nimelewa balaa kabisa ili nikifika kwenye ndege nizime.Superbug
Acha kutishia watu / Kujitisha Mwenyewe, the way ndege imekuwa designed ni ngumu sana ku crush.
Ukisikia kuna ndege ime crush, basi ujue kuna human recklessness ama sabotage.
Ndege imekuwa engineered with stress testings to withstand dhoruba zote mfano turbulence etc.
Na mostly ndege huwa zina crush during take off ama landing
Otherwise, sit down relax and enjoy your flight.
Hakuna hali mpya ndege haijui.
Importantly, kuna Beer mle (long flights), uwe unapiga kama you still afraid of heights [emoji38].
Ha ha ha mbona ni burudani sana aisee, acha uoga mkuuSiku naenda safari ndefu nishasema nitaenda airport niko nimelewa balaa kabisa ili nikifika kwenye ndege nizime.
Naogopa sana hayo mapipa
Hapana aisee. Sijawahi kuzoea ndege. Yani nikishaingia mle ndani huwa nasali mpaka nashuka.Ha ha ha mbona ni burudani sana aisee, acha uoga mkuu
Mumo mumo shoga...Oval ama hourglass?
una roho ngumu besti🤓
Haya bhana wenye ma-VX yenu mjini hapaKwa kujikwaaa
HahahahMalkia wa nguvu
Yes lazima aseme especially kama sababu ni TurbulenceHaitokei ghafla, unajua kila kitu maana captain atawaambia. Labda mpigwe bomu
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app