Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

Hayo yote apo juu yanaweza yasitokee hata kidogo. Nulikutana na situation 1 mwaka 2014 nikitokea Abu Dhabi kwenda Bangkok (sitotaja jina la shirika la ndege) na ilikuwa usiku kama saa 8. Tulikuwa tumeshavuka kipande cha 1 cha Indian Ocean/Arabian Sea, tumeshavuka India/Hyderabad na sasa tumeanza kipande cha 2 cha Indian Ocean hili tuvuke kwenda Thailand mara ghafla ndege ikaanza kushuka wakati ikitembea pia na ikaendelea kushuka kwa kasi kubwa lkn ikisonga mbele pia. Abiria kwa bahati mbaya tulikuwa tumetangaziwa tufungue mikanda kitambo so almost psgs wengi walikuwa wamefungua mikanda na kilichotokea ni kwamba psgs ambao hawakufunga mikanda nikiwemo mimi tulibaki kama tunaelea hewani kwa sababu nakumbuka nilikuwa nasikia gap kati ya makalio na seat na hii ilitokea almost kwa psgs wote ambao walikuwa hawajafunga mikanda. Ndege ikashuka toka around 38,000ft mpaka 19,000ft kwa mda mfupi sana then ghafla ikaanza kupanda juu. Cha hajabu kwa mda huo mfupi hatukusikia sauti ya cabin crew yeyote zaidi ya kelele kidogo tu za psgs na mimi nilikuwa nashangaa tu kwa sababu nilianza kutetemeka baada ya incidence kuisha. Baadaye rubani akaomba radhi kwamba tulipita kwenye eneo lililokuwa na VACUUM na uwa inatokea once in a while so ndege ikakosa support ( infact alitumua lugha zao sijuhi aerofoil na maneno mengine I was no longer interested nilikuwa natetemeka tu). So that day nikagundua kwamba kumbe kufa ni very simple kwa sababu tayari ndege imeshashuka almost 50% ina maana in the next 2-3 minutes tungekuwa kwenye maji.
hahaha.Bro kufa ni rahisi sana.basi tu sisi tuna kiburi sijui cha nini
 
Kwa ambao hamjawahi kupanda ndege huu sio uzi wenu. Nyie anzisheni Uzi wa bodaboda na hiace maana ndege hazidondoki kwa ghafla zikiwa juu Sana.

Nyie wa bodaboda hatua yenu ni moja tu dreva akikosea kinachofwata ni baaaaaang na hapo mnakuwa hamna miguuu pua nk
Ok.

baada ya kutushushua hivyo ungeendelea kutwambia huwa inakuwaje kwa upande wa ndege na mtu anaweza kujiokoaje.
 
Siyo kufiliria, unaona ushakufa maana hawajui kufa unakuwaje... lila hali unadhani ndo ushafariki

Ndege iliharibika tukiwa angani. Tukatua Mwanza kwa dharula
Kwanini hamkuomba parashuti?
 
Nikikuwa natoka Joburg Oliva Tambo International Airport kulelekea mji mmoja wa Manzini, Swaziland pale kuna mwendo kama wa saa moja hv....
nakumbuka nilipanda ndege ya wastani mithili ya hizi za precision air lkn yenyewe ilikuwa ndogo kidogo, basi baada ya kama DK 30 kuruka...
tulikutana na upepo mkali balaa kitu kilitetemeka kikayumba kikaanza kwenda chini kwa speed...
pembeni yangu alikaa mzungu flani hivi anasoma novo nikamkata jicho nicheki reaction yake manake nilikuwa najisemea hawa rangi nyeupe wamezoea ndege.....
ile namcheki nikakuta kafunga novo yake amebana mikono kifuani kafumba macho,nikasema lelo ni leo kucheki abiria wengine nao nikaona wanaweweseka, jasho likanitoka paa mpaka kwenye pu.mbu baada kama dk7 hali ikatuli ndege ikarudi juu zaidi baadae tukataambiwa zilikuwa ni turbulence.....
nilitamani ndege itue nishuke fasta....
 
Wewe babe zangu Mung Chris na Arushaone huwa hawapendi muuongelee huu mzigo wangu maana wengi wataufatilia.

Mie nipo mkuu.
Kuna documentary moja niliona mdada katoka kufanyiwa plastic surgery ya matiti kisha akapanda ndege, sasa sijui ilitokea hali gani ndani ya ndege, yule mdada yale matiti ya bandia yakapasuka wakiwa angani....asa nami naogopa kupanda nisije pasuka mzigo mpwa
Kwani na wewe umefanya plastic surgery?
 
KUNA SIKU TUNATAKA KUTUA JFK USIKU KIPINDI KILE CHA FAST JET PILOT KESHATOA MATAIRI NYUMBA TUNAZIONA HIZ HAPA SASA BWANA SIJUI KULIKUWA KUNA SHIDA GAN CHINI ILE TUNASHUKA TU PILOT AKAIRUDISHA NDEGE KWA KASI YA AJABU JUU TUKAANZA KURUDI JUU KWA KASI YAAN SIKU NDEGE NZIMA KELELE SASA ZIKAANZA MI MOYO UNADUNDA MAPAKA NAUSKIA KWENYE MGONGO NIMESHIKLIA SITI YA MBELE KWA NGUVU ZOTENIKASEMA YAAN HATA KAM NINGEOKOTWA MAFUVU YAMESHIKLIA SITI KUNA MNYAKI ALIKAA PEMBEN YANGU HAPA NASKIA TU OBABAAA FIJOFIJO KUNA MAMA ALIKAA SITI TOFAUTINA MUMEWE ANAPIGA KELELE JINA LA MUMEWE DINGI NIKASKIA ANAMJIBU WE MWANAMKE HEMBU KAA CHINI TULIA YAA ILIKUWA KIMWEU MWEU
 
Mara paap rubani kafanikiwa kuidhibiti ndege baada ya hatua namba nane sipati picha harufu ya uvundo humo ndani ya kebini.
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] we jamaa mpuuuzi kweli! Mbaya zaidi km kuna mtu aliyekula Makande na maharage weeeeh!
 
Una mabebe wawili Mpwa?? Umetisha sana.

Huo mzigo wako ni wa asili mpwa hauwezi kupasuka!! Wale wazungu wahuni, si walimuwekea mwenzao maputo kwenye manyonyo!! Gravitation ilivochange hiko angani ikaforce hewa iliyomo kwenye maputo kutaka kutoka nje ikapasua mzigo dadekiii!!

Wewe itabidi tukupandishe Space X, huko sayari ya Mars!!
Nina wawili mpwa, we acha tu.

Aisee,kumbe ndo inavokuwa maana ilikuwa balaa tupu.
Hahahhaha...haya mpwa, nimekuelewa
 
Sisi watumiaji nguli wa Abood Bus Service, Saibaba na Kilimanjaro Express tunaruhusiwa tucomment ?
 
Back
Top Bottom