Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

Wewe babe zangu Mung Chris na Arushaone huwa hawapendi muuongelee huu mzigo wangu maana wengi wataufatilia.

Mie nipo mkuu.
Kuna documentary moja niliona mdada katoka kufanyiwa plastic surgery ya matiti kisha akapanda ndege, sasa sijui ilitokea hali gani ndani ya ndege, yule mdada yale matiti ya bandia yakapasuka wakiwa angani....asa nami naogopa kupanda nisije pasuka mzigo mpwa
Ehe kumbe tupo wawili 🙄😳
 
Ukijikwaa vibaya unaanguka kama mzigo 🙂
Babe usinitishe.

Hv ile clip iliyosambaa wakati ule ya abiria wakiwa ndani ya ndege ya Malaysia wakiwa na hofu,kelele na taharuki, ilikuwa ni ya ukweli?
Na ilipatikanaje ilihali ndege wala mabaki yake mpaka leo hayajapatikana?
Au tulilishwa matango pori na baadhi ya media?
Afu ndo nini kunidanganya?
Wiki ijayo nakuja Arusha.
 
Unamfuata Arusha one au unakuja kwangu.
 
Ni hali inatisha sana MKUU,,

Siku moja nipo kwenye Qatar airways,,

Natoka Qatar naelekea saudia.

Tukiwa angani umbali wa futi kama 30000 hivi kutoka usawa wa bahari.

Nusu saa baada ya ndege kuruka.,,

Ilikuwa kama nataka kupitiwa na usingizi hivi,,

Maana nilikuwa nimechoka sana,,baada ya kukaa muda mrefu pale Doha international airport kusubiri kuunganisha ndege.
Nilikaa zaidi ya masaa 7...lounge,, kusubiri connection.

Basi nikiwa kausingizi kama kananipitia hivi ,,,,

kwa mbaali nikasikia mtu anapayuka kwa sauti ,,
ALAH AKBAR!!! ,

ALAH AKBAR.!!

Nilishtuka usingizini nikakuta ndege kama inatetemeka fulani hivi,,

Mithili ya gari inayolazimisha kupita kwenye korongo.

Kumbe yule muarabu nae alikuwa yupo usingizini ni kama alikuwa anaota fulani hivi.

Nae aliposhtuka kukuta kumbe ni really basi akazidisha kelele,

ALAH AKBAR!!

ALAH AKBAR!!

Hata kufanya wale wahudumu wa ndege (cabin crew)kukimbilia alipo yeye.,,

Basi ,,,alizua taharuki Kama dk 2 hivi ,

Kwa watu wote waliiomo mle ndani,,

especially wale waliotoka usingizini,,

Ilikuwa kelele tupu mle ndani,,

Mimi tayari nilikuwa nahisi boxer niliyovaa inaanza kuwa nzito.,

Na kilichoongeza uzito wa boxer sikijuwi.,

Baada ya kelele kutulia na ndege kutulia,,,

Ndipo nilipokigunduwa kilichoongeza uzito wa boxer ,,

Ila Itabaki kuwa siri yangu..

Ila mkuu asikwambiye mtu, hizi ndege tunapanda lakini mashaka matupu.

Ndy maana sisi mabaharia tunaamini usafiri ulio salama ni meli pekee,,

Na sio

-- ,ndege,

--Train.

--Gari.
 
Yule alianza kitambo kabla hujazaliwa.
Unachokula hapa ni makombo tu...sema nini hainaga makombo hii kitu.

Hebu twende PM darling, hapa tutavuruga na kuharibu uzi wa watu.
I tell u! Wanawake wote duniani tunao ila sio wakwetu ni wa watu wengine
 
Wewe babe zangu Mung Chris na Arushaone huwa hawapendi muuongelee huu mzigo wangu maana wengi wataufatilia.

Mie nipo mkuu.
Kuna documentary moja niliona mdada katoka kufanyiwa plastic surgery ya matiti kisha akapanda ndege, sasa sijui ilitokea hali gani ndani ya ndege, yule mdada yale matiti ya bandia yakapasuka wakiwa angani....asa nami naogopa kupanda nisije pasuka mzigo mpwa

Una mabebe wawili Mpwa?? Umetisha sana.

Huo mzigo wako ni wa asili mpwa hauwezi kupasuka!! Wale wazungu wahuni, si walimuwekea mwenzao maputo kwenye manyonyo!! Gravitation ilivochange hiko angani ikaforce hewa iliyomo kwenye maputo kutaka kutoka nje ikapasua mzigo dadekiii!!

Wewe itabidi tukupandishe Space X, huko sayari ya Mars!!
 
Wewe babe zangu Mung Chris na Arushaone huwa hawapendi muuongelee huu mzigo wangu maana wengi wataufatilia.

Mie nipo mkuu.
Kuna documentary moja niliona mdada katoka kufanyiwa plastic surgery ya matiti kisha akapanda ndege, sasa sijui ilitokea hali gani ndani ya ndege, yule mdada yale matiti ya bandia yakapasuka wakiwa angani....asa nami naogopa kupanda nisije pasuka mzigo mpwa

Hautapata madhara kwa kuwa wewe hujafanya plastic surgery.

Nakupigia soon my love.
 
nimekata tamaa kupona hapo nimeishajua mimi ni wa kufa
Hii ni akili yako ikiwa kwenye Manual Mode na utulivu.

Kwenye tukio nadhani Akili itajiepeleka Automatic hautohitaji kujipangia nini ufanye Bali Mwili utafanya wenyewe.
 
Yule wanamuita mtoa roho atakuwa Ni pacha wako mkuu,, kiukweli km ujasiri huu unao kwa hakika nikupe hongera sana

mkuu hapo nikukubaliana na tukio then unavunga huoni
 
Ni hali inatisha sana MKUU,,

Siku moja nipo kwenye Qatar airways,,

Natoka Qatar naelekea saudia.

Tukiwa angani umbali wa futi kama 30000 hivi kutoka usawa wa bahari.

Nusu saa baada ya kuruka.

Ilikuwa kama nataka kupitiwa na usingizi hivi,,
Maana nilikuwa nimechoka sana,,baada ya kukaa muda mrefu pale Doha international airport kusubiri kuunganisha ndege.
Nilikaa zaidi ya masaa 7...

Basi nikiwa kausingizi kananipitia kwa mbali nikasikia mtu anapayuka kwa sauti ALAH AKBAR. ,ALAH AKBAR.

Nilishtuka usingizini nikakuta ndege kama inatetemeka fulani hivi,,
Mithili ya gari inayolazimisha kupita kwenye korongo.

Kumbe yule muarabu nae alikuwa yupo usingizini ni kama alikuwa anaota fulani hivi.
Nae aliposhtuka kukuta vile akazidisha kelele,
Hata kufanya wale wahudumu wa ndege kukimbilia alipo yeye.

Basi alizua taharuki Kama dk 2 hivi ,

Kwa watu wote waliotoka usingizini kama mimi ilikuwa kelele tupu mle ndani,,

Mimi tayari nilikuwa nahisi boxer yangu niliyovaa inaanza kuwa nzito.,

Na kilichoongea uzito wa boxer sikijuwi.

Baada ya kelele kutulia na ndege kutulia,,,nilichokigunduwa kilichoongeza uzito wa boxer ,,

kitabaki kuwa siri yangu..

Ila mkuu asikwambiye mtu, hizi ndege tunapanda lakini mashaka matupu.

Ndy maana sisi mabaharia tunaamini usafiri ulio salama ni meli pekee,,

Na sio

-- ,ndege,

--Train.

--Gari.
Mkuu umenichekesha sana, pole!
 
Kwa ndege sikufich before hamjagusa ardhi na ndege kulipuka all they die for pressire moyo unapasuka
Hii naamini ni kweli.
Katikati ya turbulence tumeambiwa kutulia na kufunga mikanda,dude linayumba vibaya huko angani,ofkoz haiku nose dive, bibi mmoja pembeni yangu alifungua mkanda akapiga magoti anasali.ule mweleka alipiga alizimia moja moja kwa moja
 
Back
Top Bottom