Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

duuuh huu uzi hata sijui kwanini nimekutana nao. kesho nimo humo to MZA looh!!!
 
Mko angani futi Kama 40,000 toka aridhini ambazo ni sawa na km 12 kwenda juu. Ghafla ndege inapata hitilafu mnaanza kusikia zile turbulence na I'm balances za ndege inayumba na inaanza ku nose dive kiashiria kimojawapo ni mizigo kuanza kudondoka toka kwenye carrier na mnaanza kuangalia chini badala ya mbele ikiashiria ndege inaenda ardhini. Je katika Hali hiyo unadhani Nini huwapata abiria?

Mimi nayaona yafuatayo.

1. Kujikojolea
2. Haja kubwa
3. Kitisho Cha obvious death.
4. Kuwaza familia watoto mke mme.
5. Kuzimia coz ya uoga.
6. Frting involuntarily.
7. Despair
8. Horror na chaos kwenye cabin
9. Movements na cries
10. Crushing and dying.
Non of them.
Only screaming and praying
 
Punguzeni kufungua nyuzi zisizo na mantinki ili uonekane na wewe umefungua uzi...
 
Nilinusurika kwenye FOKA 50 ile ya serikali July 2000 pale Mwanza, tunatoka zetu KAHAMA MINING (KMCL) tunarudi Dar. Nilitapika kila kitu. Nilikuwa nangoja tutue majini au tubamize yale mawe ndani ya ziwa Victoria. Haya mambo simuliwa tu yasikukute wallah
Funguka mkuu tupate uzoefu kidogo
 
Hakuna kifo chepesi kama Cha ajali ya ndege. Hakuna complications.

Yaani Jambo moja tu, kusema Mungu tusamehe. Mengine unasubiri.

Mimi nishanusurika Mara mbili. Nikiwa na muda nitaandika hapa.
Hebu tiririka kiongozi wangu [emoji120]
 
Mbona unabagua walio wengi[emoji28][emoji28]si mtachangia wachache sasa

All in all uzi wako unajadilika bila kupanda ndege, i can imagine the situation

Binafsi nitaanza kukumbuka wanangu, baba, mama nk
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mko angani futi Kama 40,000 toka aridhini ambazo ni sawa na km 12 kwenda juu. Ghafla ndege inapata hitilafu mnaanza kusikia zile turbulence na I'm balances za ndege inayumba na inaanza ku nose dive kiashiria kimojawapo ni mizigo kuanza kudondoka toka kwenye carrier na mnaanza kuangalia chini badala ya mbele ikiashiria ndege inaenda ardhini. Je katika Hali hiyo unadhani Nini huwapata abiria?

Mimi nayaona yafuatayo.

1. Kujikojolea
2. Haja kubwa
3. Kitisho Cha obvious death.
4. Kuwaza familia watoto mke mme.
5. Kuzimia coz ya uoga.
6. Frting involuntarily.
7. Despair
8. Horror na chaos kwenye cabin
9. Movements na cries
10. Crushing and dying.
Superbug

Acha kutishia watu / Kujitisha Mwenyewe, the way ndege imekuwa designed ni ngumu sana ku crush.
Ukisikia kuna ndege ime crush, basi ujue kuna human recklessness ama sabotage.
Ndege imekuwa engineered with stress testings to withstand dhoruba zote mfano turbulence etc.
Na mostly ndege huwa zina crush during take off ama landing
Otherwise, sit down relax and enjoy your flight.
Hakuna hali mpya ndege haijui.
Importantly, kuna Beer mle (long flights), uwe unapiga kama you still afraid of heights [emoji38].
 
Ndege haiwezi simam angani na mara nyingi kuzunguka atazunguka kwa saa 1 pekee au anapelekwa airport ya karibu

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Ushawahi panda ndege kwanza Tuanzie hapo, si tulipigishwa misele masaa mawili kidogo angani huko.
Kulikua na hali mbaya ya hewa,Pia trafic ndege kibao ilikua tabu kutua
 
Back
Top Bottom