babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,476
- 21,202
Hapo kati mwisho kwenye Gap unapoitafuta Ethiopia kutoka Europe kuna kipande ukikaribia Africa ukichungulia nje unaweza sema nishushe dereva ,Umewahi kutana na hali ya hewa mbaya mfano kama unaenda nchi za Afrika Magharibi kabla ya kuvuka equator au baada ya kuvuka equator au ukiwa ndani ya anga ya nchi za Ulaya au Marekani, anzia hapo kwanza then uje kwenye mada ya ndege kupata itilafu
Pilots are highly trained, tayari waligundua hilo tukio, na kilicho endelea ni kupambana na control modules kuiweka ndege katika usalama. Hawakutegema kuingia vacuum zone ndio maana alert kwa abiria haikutolewa.Ina maana hapo rubani alikuwa akii contol ili irudi ktk situation yake au ilikuwa inamshinda?