Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

Hayo yote apo juu yanaweza yasitokee hata kidogo. Nulikutana na situation 1 mwaka 2014 nikitokea Abu Dhabi kwenda Bangkok (sitotaja jina la shirika la ndege) na ilikuwa usiku kama saa 8. Tulikuwa tumeshavuka kipande cha 1 cha Indian Ocean/Arabian Sea, tumeshavuka India/Hyderabad na sasa tumeanza kipande cha 2 cha Indian Ocean hili tuvuke kwenda Thailand mara ghafla ndege ikaanza kushuka wakati ikitembea pia na ikaendelea kushuka kwa kasi kubwa lkn ikisonga mbele pia.

Abiria kwa bahati mbaya tulikuwa tumetangaziwa tufungue mikanda kitambo so almost psgs wengi walikuwa wamefungua mikanda na kilichotokea ni kwamba psgs ambao hawakufunga mikanda nikiwemo mimi tulibaki kama tunaelea hewani kwa sababu nakumbuka nilikuwa nasikia gap kati ya makalio na seat na hii ilitokea almost kwa psgs wote ambao walikuwa hawajafunga mikanda.

Ndege ikashuka toka around 38,000ft mpaka 19,000ft kwa mda mfupi sana then ghafla ikaanza kupanda juu. Cha hajabu kwa mda huo mfupi hatukusikia sauti ya cabin crew yeyote zaidi ya kelele kidogo tu za psgs na mimi nilikuwa nashangaa tu kwa sababu nilianza kutetemeka baada ya incidence kuisha.

Baadaye rubani akaomba radhi kwamba tulipita kwenye eneo lililokuwa na VACUUM na uwa inatokea once in a while so ndege ikakosa support ( infact alitumua lugha zao sijuhi aerofoil na maneno mengine I was no longer interested nilikuwa natetemeka tu).

So that day nikagundua kwamba kumbe kufa ni very simple kwa sababu tayari ndege imeshashuka almost 50% ina maana in the next 2-3 minutes tungekuwa kwenye maji.
 
Mbona unabagua walio wengi[emoji28][emoji28]si mtachangia wachache sasa

All in all uzi wako unajadilika bila kupanda ndege, I can imagine the situation

Binafsi nitaanza kukumbuka wanangu, baba, mama nk
 
Poleni sana
 
10. Ni dying and crushing. Watu wanakuwa wamekufa kabisa kabla hata haijafika chini
 
Ina maana hapo rubani alikuwa akii contol ili irudi ktk situation yake au ilikuwa inamshinda?
 
Pia kupand ndge mnazoziita beberus ndegezi cyo ufahali
 
Kwa wale ambao tumeisha kata tamaa nikufunguka kicheko balaa ukicheki watu wanavyo haha na vitambi vyao mwili mzima wameloa hujui hata wameoga muda gani
Yule wanamuita mtoa roho atakuwa Ni pacha wako mkuu. Kiukweli km ujasiri huu unao kwa hakika nikupe hongera sana.
 
Ndege huelea majini, hivyo maji ni eneo salama kwa ndege!
 
Kabla sija board inn nakua nishalamba vyombo vya kutosha lounge pale, nikiingia ndo kabisa muhudumu ninaye 24/7

Nafika hata sielewi ntapumzika nyumbani kwa bi mkubwa sitaki tabu.

Kuna siku Zurich jamaa kaweka ndege on pause 2 hrs tunazunguruka tu.

Anasimama wanaongea inakua usitue tunazunguruka tu huko juu.

After hiyo muda ndege ingine ishaniacha natakiwa mzigo 7 hr.

Ila customer care wale watu acha tu, walipiga kwa boss,wakasema what happen na kwamba ndege inayofata nakuja nayo.
Then ikawa vip treatment 🤣🤣🤣.

Nilikunywa Couvoiser Brandy mpaka nikasahau naitwa nani 😎🤸‍♀️🍾
 
....na sie watembea kwa miguu, tunaangukaje?
 
Umewahi kutana na hali ya hewa mbaya mfano kama unaenda nchi za Afrika Magharibi kabla ya kuvuka equator au baada ya kuvuka equator au ukiwa ndani ya anga ya nchi za Ulaya au Marekani, anzia hapo kwanza then uje kwenye mada ya ndege kupata itilafu
 
Madameee upo!!? Bila shaka wewe utaangukia kimgongomgongo maana zigo limekosesha balance ya mwili! Huwezi kuangukia mbele
Wewe babe zangu Mung Chris na Arushaone huwa hawapendi muuongelee huu mzigo wangu maana wengi wataufatilia.

Mie nipo mkuu.
Kuna documentary moja niliona mdada katoka kufanyiwa plastic surgery ya matiti kisha akapanda ndege, sasa sijui ilitokea hali gani ndani ya ndege, yule mdada yale matiti ya bandia yakapasuka wakiwa angani. Ssa nami naogopa kupanda nisije pasuka mzigo mpwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…