Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Ehe kumbe tupo wawili 🙄😳Wewe babe zangu Mung Chris na Arushaone huwa hawapendi muuongelee huu mzigo wangu maana wengi wataufatilia.
Mie nipo mkuu.
Kuna documentary moja niliona mdada katoka kufanyiwa plastic surgery ya matiti kisha akapanda ndege, sasa sijui ilitokea hali gani ndani ya ndege, yule mdada yale matiti ya bandia yakapasuka wakiwa angani....asa nami naogopa kupanda nisije pasuka mzigo mpwa
Babe usinitishe.Ukijikwaa vibaya unaanguka kama mzigo 🙂
Unamfuata Arusha one au unakuja kwangu.Babe usinitishe.
Hv ile clip iliyosambaa wakati ule ya abiria wakiwa ndani ya ndege ya Malaysia wakiwa na hofu,kelele na taharuki, ilikuwa ni ya ukweli?
Na ilipatikanaje ilihali ndege wala mabaki yake mpaka leo hayajapatikana?
Au tulilishwa matango pori na baadhi ya media?
Afu ndo nini kunidanganya?
Wiki ijayo nakuja Arusha.
Yule alianza kitambo kabla hujazaliwa.Ehe kumbe tupo wawili 🙄😳
I tell u! Wanawake wote duniani tunao ila sio wakwetu ni wa watu wengineYule alianza kitambo kabla hujazaliwa.
Unachokula hapa ni makombo tu...sema nini hainaga makombo hii kitu.
Hebu twende PM darling, hapa tutavuruga na kuharibu uzi wa watu.
Vizuri kama unalifahamu hilo.I tell u! Wanawake wote duniani tunao ila sio wakwetu ni wa watu wengine
Hawako Mars waume zenu ni wale walio fungua njia inabidi muwa mnaadhimisha siku yao kitaifa 😳Vizuri kama unalifahamu hilo.
Waume zetu wako Mars.....lol!!!
Umekata tamaa then unaweza afford nauri ya ndegeKwa wale ambao tumeisha kata tamaa nikufunguka kicheko balaa ukicheki watu wanavyo haha na vitambi vyao mwili mzima wameloa hujui hata wameoga muda gani
Wewe babe zangu Mung Chris na Arushaone huwa hawapendi muuongelee huu mzigo wangu maana wengi wataufatilia.
Mie nipo mkuu.
Kuna documentary moja niliona mdada katoka kufanyiwa plastic surgery ya matiti kisha akapanda ndege, sasa sijui ilitokea hali gani ndani ya ndege, yule mdada yale matiti ya bandia yakapasuka wakiwa angani....asa nami naogopa kupanda nisije pasuka mzigo mpwa
Wewe babe zangu Mung Chris na Arushaone huwa hawapendi muuongelee huu mzigo wangu maana wengi wataufatilia.
Mie nipo mkuu.
Kuna documentary moja niliona mdada katoka kufanyiwa plastic surgery ya matiti kisha akapanda ndege, sasa sijui ilitokea hali gani ndani ya ndege, yule mdada yale matiti ya bandia yakapasuka wakiwa angani....asa nami naogopa kupanda nisije pasuka mzigo mpwa
Umekata tamaa then unaweza afford nauri ya ndege
Hii ni akili yako ikiwa kwenye Manual Mode na utulivu.nimekata tamaa kupona hapo nimeishajua mimi ni wa kufa
Yule wanamuita mtoa roho atakuwa Ni pacha wako mkuu,, kiukweli km ujasiri huu unao kwa hakika nikupe hongera sana
Mkuu umenichekesha sana, pole!Ni hali inatisha sana MKUU,,
Siku moja nipo kwenye Qatar airways,,
Natoka Qatar naelekea saudia.
Tukiwa angani umbali wa futi kama 30000 hivi kutoka usawa wa bahari.
Nusu saa baada ya kuruka.
Ilikuwa kama nataka kupitiwa na usingizi hivi,,
Maana nilikuwa nimechoka sana,,baada ya kukaa muda mrefu pale Doha international airport kusubiri kuunganisha ndege.
Nilikaa zaidi ya masaa 7...
Basi nikiwa kausingizi kananipitia kwa mbali nikasikia mtu anapayuka kwa sauti ALAH AKBAR. ,ALAH AKBAR.
Nilishtuka usingizini nikakuta ndege kama inatetemeka fulani hivi,,
Mithili ya gari inayolazimisha kupita kwenye korongo.
Kumbe yule muarabu nae alikuwa yupo usingizini ni kama alikuwa anaota fulani hivi.
Nae aliposhtuka kukuta vile akazidisha kelele,
Hata kufanya wale wahudumu wa ndege kukimbilia alipo yeye.
Basi alizua taharuki Kama dk 2 hivi ,
Kwa watu wote waliotoka usingizini kama mimi ilikuwa kelele tupu mle ndani,,
Mimi tayari nilikuwa nahisi boxer yangu niliyovaa inaanza kuwa nzito.,
Na kilichoongea uzito wa boxer sikijuwi.
Baada ya kelele kutulia na ndege kutulia,,,nilichokigunduwa kilichoongeza uzito wa boxer ,,
kitabaki kuwa siri yangu..
Ila mkuu asikwambiye mtu, hizi ndege tunapanda lakini mashaka matupu.
Ndy maana sisi mabaharia tunaamini usafiri ulio salama ni meli pekee,,
Na sio
-- ,ndege,
--Train.
--Gari.
Ahsante MKUU.Mkuu umenichekesha sana, pole!
So kuna vyoo ndani ya Ndege?2. Haja kubwa
Hii naamini ni kweli.Kwa ndege sikufich before hamjagusa ardhi na ndege kulipuka all they die for pressire moyo unapasuka
Kwa hiyo ulinusurika turbulence Ukaja kuhadisiaNilinusurika kwenye FOKA 50