ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Kwako wewe ubakaji sio tatizo?Wabakaji wanajulikana fasta tu ila watekaji hawajulikani hadi leo.
Acha siasa kwenye jambo lisilohitaji siasa.Matukio kama haya ya ubakaji, utekaji, mauaji, ubadhirifu, wizi, rushwa, nk. tungekuwa tuna mifumo imara ya kisheria, wala hayakuhitaji matamko ya wanasiasa ili kufanyiwa kazi.
Hakuna tatizo tofauti na kutoa uhai wa mtu.Kwako wewe ubakaji sio tatizo?
Shida yenu kubwa huwa hamtaki kushauriwa. Nimekuambia jengeni mifumo imara na huru ya kishetia na maamuzi ili matukio ya aina hii yamalizwe huko huko na vyombo husika. Siyo mpaka kiongozi wa kisiasa atoe maagizo.Acha siasa kwenye jambo lisilohitaji siasa.
Na wajue kuwa huyo daktari akifukuzwa na akaja kwangu au kwa wanasheria wengine tukaenda mahakamani, atarudishwa kazini na kulipwa mafao yake, kwa sababu uamuzi wa kumfukuza unakuwa influenced na amri ya waziri mkuu. Yaani usikilizwaji wa shauri lake la kimaadili tayari utakuwa upo biased.Shida yenu kubwa huwa hamtaki kushauriwa. Nimekuambia jengeni mifumo imara na huru ya kishetia na maamuzi ili matukio ya aina hii yamalizwe huko huko na vyombo husika. Siyo mpaka kiongozi wa kisiasa atoe maagizo.
Ubakaji siyo kitu cha msingi sana hasa ubakaji wa mwanamke na mwanaume ..tunawapa wanawake uzito wasiokuwa nao ...ingekuwa mwanaume kamwingilia kwa nguvu mwanaume mwenzake ni sawa.Kwako wewe ubakaji sio tatizo?
Na walioua vijana October 29 vipi?WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi kwa daktari aliyekuwa akimtibu msichana mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa na tatizo la uzazi kwa kumdhalilisha kijinsia baada ya kumchoma sindano ya usingizi Urambo wilayani Tabora.
Agizo hilo amelitoa akiwa Leganga wilayani Arumeru mkoani Arusha wakati akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua maeneo yaliyoathirika na vurugu zilizotokea Oktoba 29, mwaka huu.
Dk. Mwigulu amesema daktari huyo alipomaliza kumsikiliza mgonjwa huyo alimdanganya mgonjwa kwa kumchoma sindano ya usingizi na alipokuwa katikati ya sindano hiyo ya usingizi alimdhalilisha kijinsia.
“Mgonjwa alikwenda na mume wake, daktari akamsikiliza akamdanganya kwa kumchoma sindano na kumbaka lakini mgonjwa aliamka usingizi ila alibakwa na daktari huyo, haya ni mambo ya hovyo sana,” alisema Dk Mwigulu.
Amesema nesi alishuhudia tukio hilo na madaktari wengine wameshuhudia na wamethibitisha kuwa daktari huyo alimbaka msichana huyo na ameagiza muhusika anyang’anywe leseni. “Huyu akamatwe na asiachiwe,” alisema Dk Mwigulu na amemuelekeza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, amfukuze kazi.
View attachment 3509951
roporopo anataka kila kitu yeye, uzuri ni kwamba anawapigia mbuzi gitaa ila bado hajagutuka.Haiitaji waziri mkuu hii issue, mkuu wa hospitali, familia na police inatosha kabisa kupatikana haki ya huyo binti, Mwigulu asitafute promo aje ajibu miili ya watu waliowaua iko wapi