Daktari afukuzwa kazi kwa kumdhalilisha mgonjwa

Daktari afukuzwa kazi kwa kumdhalilisha mgonjwa

Kwako wewe ubakaji sio tatizo?
kwamba ubakaji ni swala kubwa kuliko hili dah!omba Mungu yasikukute kwenye familia yenu
Screenshot_20251201_173851.jpg
 
Ubakaji siyo kitu cha msingi sana hasa ubakaji wa mwanamke na mwanaume ..tunawapa wanawake uzito wasiokuwa nao ...ingekuwa mwanaume kamwingilia kwa nguvu mwanaume mwenzake ni sawa.

SHERIA ZA UBAKAJI NDIYO ZIMEONGEZA USHOGA ZINA MAKOSA MENGI SANA ....
Akibakwa binti yako ndo utaelewa
 
Tunataka kusikia tamko la wale waliobaka wakati wa maandamano
 
Sipendi ubakaji na udhakilishaji ila naona huyo dokta ni kama mbuzi wa kafara ukizingatia huyu Mwigu Toka wiki iliyopita anakuja na script za muvie zake za kishamba
 
WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi kwa daktari aliyekuwa akimtibu msichana mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa na tatizo la uzazi kwa kumdhalilisha kijinsia baada ya kumchoma sindano ya usingizi Urambo wilayani Tabora.

Agizo hilo amelitoa akiwa Leganga wilayani Arumeru mkoani Arusha wakati akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua maeneo yaliyoathirika na vurugu zilizotokea Oktoba 29, mwaka huu.

Dk. Mwigulu amesema daktari huyo alipomaliza kumsikiliza mgonjwa huyo alimdanganya mgonjwa kwa kumchoma sindano ya usingizi na alipokuwa katikati ya sindano hiyo ya usingizi alimdhalilisha kijinsia.

“Mgonjwa alikwenda na mume wake, daktari akamsikiliza akamdanganya kwa kumchoma sindano na kumbaka lakini mgonjwa aliamka usingizi ila alibakwa na daktari huyo, haya ni mambo ya hovyo sana,” alisema Dk Mwigulu.

Amesema nesi alishuhudia tukio hilo na madaktari wengine wameshuhudia na wamethibitisha kuwa daktari huyo alimbaka msichana huyo na ameagiza muhusika anyang’anywe leseni. “Huyu akamatwe na asiachiwe,” alisema Dk Mwigulu na amemuelekeza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, amfukuze kazi.
View attachment 3509951
Polisi nao kubaka na kulawiti walio mahabusu imekaaje, au kwa vile wa mahabusu ni hasimu wenu? Leo aliyejipa urais wa kupora uchaguzi, anaona ni sawa kuwaua waandamanaji na kwa akili zake, na majeshi yake hiyo ndio njia pekee, hakuna mbadala!
 
Back
Top Bottom