Daktari afukuzwa kazi kwa kumdhalilisha mgonjwa

Akibakwa binti yako ndo utaelewa
 
Tunataka kusikia tamko la wale waliobaka wakati wa maandamano
 
Sipendi ubakaji na udhakilishaji ila naona huyo dokta ni kama mbuzi wa kafara ukizingatia huyu Mwigu Toka wiki iliyopita anakuja na script za muvie zake za kishamba
 
Polisi nao kubaka na kulawiti walio mahabusu imekaaje, au kwa vile wa mahabusu ni hasimu wenu? Leo aliyejipa urais wa kupora uchaguzi, anaona ni sawa kuwaua waandamanaji na kwa akili zake, na majeshi yake hiyo ndio njia pekee, hakuna mbadala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…