Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
🤣🤣🤣Dah!hatarichuo cha wakulima sua hao.
demu wake wa mkoa Klm basi lazima ni mpare na atakua msabato lazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Dah!hatarichuo cha wakulima sua hao.
demu wake wa mkoa Klm basi lazima ni mpare na atakua msabato lazima
😘😘Thank you
Ni ngumu kuweka kila kitu, church tulikuwa tunaenda mimi nasali fpct na Mercy kktOya andika andika haraka, kwa nini usingechukua cm ya mercy org ukaiblock namba mpya ya Dokta aliyotuma nayo pesa? halafu, kwa nn mlikuwa hamuendi church
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh hii ni ya kibabe zaidi.....sie tunatumiaga mbinu ya kublock tu,unajua Mtu akigundua kapigwa block stimu zinamkata bila kujua aliyeblock sio mhusika,Sasa na muhisika nae Ili asiwashwe unaipindua number halafu unaicha vilevile alivyosave...hapo wataongea lugha kama ule mnara wa babeli
Hapa unabisha lakin uhalisia wa jinsia k unaujua,ni kwel mnaweza tekwa kwa vitu vya kijingaKwa hiyo unatusuta?🤣🤣🤣🤣Mi nimesikitika uliposema wanawake tunapenda vitu vya kijinga eti kitu chenyewe baiskeli but why???
Ni SUA pure Wana intelijensiaUlisoma SUA nn kijana?
MwambieHapa unabisha lakin uhalisia wa jinsia k unaujua,ni kwel mnaweza tekwa kwa vitu vya kijinga
Kuna chuo niliwah kusoma,kukawa na demu akawa anapenda kuhudhuria mazoezi ya mpira wa miguu na baada ya zoezi anabeba viatu vya mpenzi wake wanapanda wote chuo,hii style ikatokea kiwavutia madem wengi,wengi wao wakaanza kuliwa na wapiga boli ili wawe wanabeba viatu
Iwe ukweli sijuwi uwongo ila ni bonge la storyLet's go.........
Nikiwa room kwa Mercy fek nilijikuta mtegoni mpka nikajuta kwanini nilimfuata kwake.
Nilipata wazo nimchek mshikaji wangu fasta kwa meseji anipigie cm anambie kwamba CR anakusanya group assignment jioni ile na hatukuwa na msalie mtume.
Nilimtext jamaa yangu ambaye najua yupo active. Nilimchek msela ambaye anaitwa Mbwambo huyu yupogo active sana.
Wakati napelekeshana na Mercy fek rum kwake ghafla cm ikaita kuchek ni Mbwambo duh nilifurahi nikajisemea moyoni mwamba so ndo huyu sasa.
Nikaipokea cm nikaweka loud speaker ili nayeye asikie. Jamaa hata hajasalimia karopoka kwa sauti kubwa "we fala upo wapi njoo tumalizie ile assignment ulete na hela ya kuprintia Cr anakusanya muda si mref njoo fasta chuo tupo venue x" akakata cm.
Nikamuliza yule dem umesikia jamaa alichokisema, Mercy fek akanambia unabahati mjinga wewe toka huko kamalizie assignment usije kudisco bure ukaniona mimi mchaw wa familia yako.
Nikajikusanya pale nikatoka, lakini akanambia nakuhitaji hapa leo usiku usipokuja majibu yake utayasikia kwenye taarifa ya habari.
Kiukweli nilijuta kwanini nilimshirikisha huyu dem katika hii mission ni bora ningemtafuta mwingine.
Nilijisemea moyoni kwamba sitarud pale kwake liwalo na liwe maana hata hvyo yule Mercy fek sikuwa namuamini kiafya.
Nilitoka nikasepa geto kwangu nikiwa najiwazia sijui huyu mjinga atakiamsha kwa Dokta au lah. Nikajipa moyo kwamba hawez kufanya hivo.
Nilijilaza kidogo kitandani usingizi ukapita, niliamshwa na cm kuchek ni yule Mercy fek nikapokea. Nilivopokea akanambia kwamba Mercy og kampigia cm, nkastuka nikawaza inamaana Mercy bado alikuwa na mpango wa kuendelea kumpigia ten Mercy fek pamoja na kumpoza vyote vile jamani. Nikamuliza wameongea nini akanambia "ah tumetukanana tu dem wako mwenyewe hajielewi".
Wazee nilijikuta napatwa na baridi kama nimewekwa katika freezer.
Nilikata cm nikainuka nikaenda kujibanza ukutani nikawaza nini kimemfanya Mercy ampigie huyu malaya na waliongea nini mpka wakaanza kutukanana.
Nilimpigia Mercy fek nikamuliza kama alimgusia kuhusu mission yetu kwa Dokta, lakini akanambia hajamgusia kabisa.
Nikamchek Mercy wangu lakini hakupokea cm. Nikaamua kwenda kwake, nilipofika kwake nikakuta kafunga kwa ndani.
Nikagonga hodi akauliza nani nikamwambia "fungua mlango mpenz wangu" akanijibu "Toka nenda kwa huyo malaya wako sitaki kukuona plz"
Nilimsisitiza sana afungue mlango lakini hakukubali nikakaa kama nusu saa pale nje mwisho wa siku nikaamua kusepa zangu tu maana hata hivo usiku ulikuwa ushaanza kuingia. Nilimuaga Mercy nikasepa.
Yule bro siku ile ndo ilikuwa cku yake ya kurud site kwake kwahiyo nilirud nikamkuta kashajiandaa nikamsindikiza mpka town tukapiga menyu basi akanipa tsh70k nikamshukuru sana kisha tukaagana nikarud geto.
Usiku ule ulikuwa mref sana kwangu kwani Mercy alikuwa hapokei cm zangu na texts alikuwa hajibu.
Basi nikajikaza nikalala kimazabe mazabe hivohivo mpka kukakucha. Asubuh nikampigia Mercy akapokea tukaongea nikamwambia nampitia na baik twende chuo lakini akakataa. Niliumia sana sana sana.
Basi nikaped baik yangu mpka chuo, kwasabb ilikuwa ni week ya kujiandaa na mtihan hakukuwa na kuingia class kwahyo watu walikuwa wamesambaa wengine class wengine vimbwetani.
Nikampigia Mercy akapokea nikamuliza yupo wapi kanielekeza nikaenda. Nilipofika nilimkuta na mdem wengine na wasela wengine wapo wanajisomea waliponiona wakaanza kunilipua "mwenye chombo kafika mpeni nafasi yake jamani akae na ubavu wake" nilikuwa nawamind sana japo sikuwa na namna maana nilikuwa nishawapiga bit waache hiyo tabia.
Nikawajoin tukadiscuss kwa kama lisaa na nusu tukaona inatosha watu wakaanza kuondoka kutafuta tea na kwenda kupumzika.
Nikabak na Mercy pale, nikaanza kushusha nondo zangu Mercy anielewe lakini Mercy alionekana kutokuniamini tena.
Mercy alinambia maneno haya "upendo na heshima nayakupa unaichezea, mimi ningekuwa sikupendi ningemkubali yule Dokta na sio Dokta tu wapo wengi wanaonitafuta lakini nakupenda na kukuheshimu ndomanaana nawakataa sas mwisho wa siku namimi nitachoka na nikichoka basi ujiandae kwa lolote"
Dadeki hapa kidogo nipaliwe na mate ya kooni maana nilijikuta natetemeka mikono kama mnywa chang'aa.
Tutaendelea...........
True storIwe ukweli sijuwi uwongo ila ni bonge la story
Good story, unanikumbusha mbali sanaa.True stor
Hapo kwenye usabato mkuu😁chuo cha wakulima sua hao.
demu wake wa mkoa Klm basi lazima ni mpare na atakua msabato lazima
Ni kweliGood story, unanikumbusha mbali sanaa.
But broo kwa nilivoisoma hii story hupaswi kumlaumu doctor ila chanzo ni wewe[emoji853][emoji853][emoji853]
Hadhira ya JF inapenda kusikia vitu wanavyovitaka. Upo uzi wa Ukahaba na Umalaya wa Kishua kule jukwaa la burudani. Jamaa kmtoa bikra dada yake na usiku huohuo kapiga bao kibao. Hakuna hata mmoja aliyempinga kwa kuwa WAPINGAJI wote WALIDINDISHA 😬 Ile story ni watu wanakula ganja, kashata za kikojozi, mitungi na mirungi na kutiana siku nzima. Hakuna hata mmoja anayepinga vitu vya ajabu vinavyosimuliwa, jinsi mama anavyoshuhudia binti yake akinyanduliwa na mumewe; jinsi mkwe anavyoliwa na Baba mkwe na mkwe anavyomsaga mama mkwe! Ule uzi kwa kweli, unalowanisha chupi za wadada na CHAPUTA wamepata msererekoooooooTuendeleee.....
Kabla ya kuendelea naomba niandike mambo machache.
Watu wameniandama sana wengi wao wanadai hii ni chai na wamejikita kwenye maeneo yafuatayo.
1. Bikra kumpiga bao tatu
.....sio Mercy tu nishatoa bikra tatu kabla ya Mercy na mbili kati ya hizo nilipiga bao tatu. Wengi wanaoniandama hawajui mapenzi wanadhani kumfuck dem ni vita kwamba lazima apate maumivu. Kuna soft sex kwa wanaonielewa wanajua kwamba bikra inawezekana kumpiga hata bao kumi.
2. Kutongozwa na wanafunzi wenzangu
.....kutongozwa na wanawake sikuanzia chuo tu.
Nilipomaliza form 4 nilitongozwa na mwanamke ambaye hakuwa na Rika la kuitwa sugarmama lakini alikuwa kanizid umri na alikuwa ameolewa na boss mmoja alikuwa anamiliki kampuni ya Costa na hiace route ya Kaliua - Tabora. Tulidum kwa miezi kadhaa nilipoenda advance habari ikaisha.
Hawa mashoga ndo washanitongoza mpka wengine nishawalia nauli zao nyingi.
Na kuna shoga mwingine alinitongoza ni rafiki wa mtangazaji wa radio station moja kubwa sana hapa nchini aliwahi kuhama hiyo station lakini akarud tena. Kama unauwezo wa kufatilia unaweza kumjua.
Nishatongozwa na wadada mtu na mdogo wake na wote niliwala pasipo kujuana, wote walikuwa wananizid umri walikuwa ni wahaya wa muleba walikuja mkoani kwetu kwa baba yao.
Kipindi nipo advance kuna madam alikuwa anafundisha geography alinitongoza lakini sikufanikiwa kumla.
Kwahiyo kwa anayeona kwamba najisifia kuhusu kutongozwa na wanawake huyo anahisi kutongozwa na mschana ni big deal sana kwake asijue kwamba kwa wengine ni kitu cha kawaida sana.
3. Kuhusu madem kupenda baiki yangu
.....madem wanapenda vitu vya kijinga na baiki yangu haikuwa ya kishamba.
Baiki yangu ilikuwa luxury na Mercy mwanzo alikataa lakini baadae alikuja kuipenda na kuitegemea na alisahau daladala chuo-geto.
THEN SINA HAJA YA KUPOTEZA MUDA KUWADANGANYA KWA KUTUNGA STOR NINGEKUWA NAHITAJI FAIDA BASI NINGEMTAGUTA SHIGONGO TUKAFANYA KAZI YENYE FAIDA. KAMA UNAHISI NI CHAI BASI USIIFATILIE KAA PEMBENI. NIMEAMUA KUSHEA NA NINYI WANAJF WENZANGU KAMA SEHEM YA MAPITO KATIKA MAISHA YANGU.
NIMEAMUA KUTOA YA MOYONI KWANZA, UZI UTAENDELEA MDA SI MREFU.