Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Dah huu uzi sio poa!

Ila nimemkubali mzee wa miganja, na nimefurahishwa na hii mistari yake πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Alinijibu kwamba "dogo pesa ipo, ukiwa na pesa hayo mawazo ya kimaskini hayawezi kuja akilini mwako. Sometimes unatakiwa kubadirisha mazingira kulingana na mood ulonayo, akamalizia kwa kusema wewe enjoy na utafute pesa".

Halafu ❀❀ To yeye huu uzi hujauona au unafanya dharau, maana sijakuona kabisa yaan
 
Aisee, umenkumbusha maumivu ya mapenz niliyoyapata hv karibuni, nilikuwa sjui mapenz huwa yanaumaje, yaan na uzee wangu huu lakin cha moto nilikipata

Zaman nilikuwa nashangaa kusikia mtu anashindwa kula,analia kisa mapenz,pia nilikuwa siamin kama moyo huwa unauma,kumbe bhana ni kwel yaan moyo unauma mpaka mwili wote unaanza kuuma na unaweza pata mpaka homa
 
Hatar sana, pole mkuu
 
🀣🀣🀣 umri umeenda,,,,hata nyuzi sizioni mpenziπŸ™
 
Les goo........

Cm ya Mercy ilipoita Mercy akaitoa tukaona ni namba ngeni lakini nikakumbuka ni kama ile ya Dokta
Mercy akapokea akaweka loud speaker, ikasikika saut ya kiume "Mercy mbona texts na cm zangu hujibu" basi pale pale nikampokonya Mercy cm nikaikata.
Mercy akasema yani huyu Dokta sijui hata ameona nini kwangu kwingine haoni maana kaniganda hatari.
Tulikuwa kwenye ugomv lakini nilisahau kabisa kwamba nilitakiwa kuendelea kujielezea kwa Mercy kuhusu Ile text ya Mercy fek mjinga yule.

Cm ya Mercy nilikuwa nayo bado, nikajiuliza kwahiyo Mercy fek kaamua kunikomoa haendelei tena kuwasiliana na Dokta mpka Dokta kaamua kumtafuta Mercy kupitia line yake halisi.
Nikaona kabisa mpka Dokta kaamua kumtafuta Mercy og bas walikuwa na mawasiliano mazuri na Mercy fek na usikute wamepanga mambo mengi tayar.

Yale mawazo yalinifanya niamue kubadiri umuzi kama ifuatavyo.
...nimchek Dokta kupitia namba og ya Mercy na nimwambie kwamba asiitumie tena Ile line ya Mercy fek kwani ilikuwa ni ya dharula tu na kwanzia hivi sasa anitafute kwa line yangu og na asjibu wala kupokea cm za ile namba nyingine (ya Mercy feki). Nilimtahadharisha kwamba anaweza kutafutwa maana Ile namba ni ya rafiki yangu na rafiki yangu anajua kinachoendelea kati yetu Mercy og na Dokta) kwahyo anaweza kufanya kama ku-overtake.

Niliamua vile kwasababu...
1. Sikutaka ukarbu uendelee kati ya Mercy fek na mimi.
2. Niliona kuna kila dalili za mission kubuma na endapo Mercy atasanuka basi ataniona mimi hamnazo.
3. Nilihitaji kuona msimamo wa Mercy katika mapenz yetu maana nilikuwa tyr nishaanxa kunusa dalili mbaya huko mbele.

Nilitumia mbinu ya kuomba nitumie dakika katika cm ya Mercy niongee na maza nimkumbushe pesa ya matumizi na niongee naye kuhusu swala la likizo kama nitaenda au vipi.
Nilifanya vile ili nipate muda wa kuwasiliana na Dokta.
Nikatoka nje mbali kidogo ili Mercy asinotice kwamba sikuongea na cm maana nisingeweza kumpigia Dokta na sauti yangu ya kiume, nilipanga nimchatishe tu.

Kabla ya kufanya vile nilimchek kwanza Mercy fek ili nimwambie asijarbu kumtafuta Dokta tena maana issue ishajulikana itakiwa soo zaid na tutaonekana matapeli. Lengo ni ili nipate kumrudisha Dokta kwa Mercy og pasipo kusanuka kwamba kulikuwa na mchezo unaendelea.
Mercy fek akasema poa, lakini naona kanitumia texts nying na kapiga sana mimi nilikuwa mbali na cm nilikuwa na bwana wangu. Nikasema poa wewe usimtafute zingatia hilo.
Nilimtafuta Dokta kwa mesej yeye akapiga nikakata nikamuandikia tuchat maana nipo discussion si unajua kesho paper.
Basi akaelewa nikampanga vile vile nilivojitaji na akasema hatoitumia tena ile namba.
Ghafla katuka mesej "ile laki tano uloomba ya kod na mahitaji yako mengine na nauli nitakutumia cku ya j5".

Wazee nilistuka nikajisemea asee kuna watu wanajua kutumia fursa yani Mercy fek alikuwa tyr kashamuingiza kwenye line mbaba wa watu ampigie pesa yote Ile.
Nikaona nasisi wanaume na maboya sana yani show hujapewa bado ila ushajicommit kuhonga moka laki tano.
Hii kitu ilinifanya nizid kumuona Dokta ni bogus na swaga ni zero kwake. Basi nikamjibu sawa kwaheri tutawasiliana kesho ngoja nijiandae na mtihani.

Sasa hapa nikawaza what is next maana nishawakonect Mercy wangu na Dokta, na Mercy wangu hajui kuwa yeye na Dokta mambo ni mazur je Dokta akimtafta Mercy itakuwaje?
Sikutaka kuumiza kichwa sana nikarud zangu ndani. Huwa nafutaga namba nazopigaga kupitia namba ya mtu mwingine na Mercy anajua kwahyo so rahis kuangalia call history na kuuliza mbona sioni namba uloipigia kwasababu anajua Huwa mafuta.

Basi tukazuga pale Mercy akapika tukala japo alikuwa bado na hasira sana. Hii siku kiukweli Mercy hakuwa poa na nilimsihi sana awe sawa asijaki kwani mimi simsaliti lakini Mercy alisema "mtihani wa kesho ni wa organic chemistry nahisi nitaenda kufeli na nikipata sup somo la kesho jua chanzo ni wewe" na of course kweli hii ndo sup pekee Mercy aliipata tukiwa chuoni. Mimi sikubahatika kupata sup yani kifupi nilitoka na clean sheet.

Nilimsihi sana Mercy asitangulize kufeli na tukawa tunapiga msuli wa mwsho mwsho lakini Mercy hakuwa pale kbsa akawa ananambia kwahyo hilo rungu jana umepiga nalo huyo malaya au sio. Duh nikaona mambo yanarud upya nikamuomba Mercy mini niondoke tu lbda asipiniona atakuwa sawa.
Mercy alijibu we sepa, basi nikachukua uamzi wa kufutika pale kwa Mercy kuelekea magetoni kwangu.

Jamani see you later ndo kumekucha saiz asubuhi.........

====
Muendelezo soma Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy
 
Katika kosa ambalo sikuruhusu ktk mahusiano yangu bc nikumuachia mwanamke wng aitawale cm yng.

Sikuwa na mambo mengi sana yakuogopesha ila sikupenda tu icho kitu coz najua wanawake ata akute sms ya kawaida tu ila kwa vile imetumwa na mwanamke mwenzake bc tayar anajenga was was kuwa unamsaliti.

Uwo msimamo nimeendelea nao mpaka leo hii kwa mke wangu nikikuta ameshaika cm yangu tu bc fasta nainyakua na kuichukua mwenyewe.


Bro ulifeli apo kumuachia Mercy cm yako awe nayo kila wakati.
 
Katika maamuzi hapa ulizingua sana.

Kama mercy anakupenda ungeweza vizuri kabisa kum'badlishia hiyo line yake na kumsajilia mpya.
 
Kumlaumu Daktari ni unlogical kabisa..
Kwa sababu mpaka Sasa makosa ni yako kwa 100% sasa Unaposema Daktari alifanya ukamkosa Mercy si kweli..

Me naona wewe na uzembe wako na kumfatilia Mwanamke ndo kumefanya umemkosa..
 
Dah sawa Kosa mbona ni lako kwenye Kila Post
 
Kumlaumu Daktari ni unlogical kabisa..
Kwa sababu mpaka Sasa makosa ni yako kwa 100% sasa Unaposema Daktari alifanya ukamkosa Mercy si kweli..

Me naona wewe na uzembe wako na kumfatilia Mwanamke ndo kumefanya umemkosa..
Stay patient
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…