Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Nimekuelewa
 
😁😁😁
Imebidi nicheke sana ila imenikumbusha stori yangu ya kipindi nipo chuo. Mapenzi mabaya sana mimi ma lecturer ndio walikuwa wanamtaka aligoma kuwapa utamu mpaka Wakam discotisha, akanimind eti kisa mm ndio kafelishwa, akanikatia mawasiliano hapo nilishawahi wasiliana mpaka na mama ake, kwa sister ake nishaenda sana, I was so stressed almost ni drop out of Uni. Ila Mungu alinisaidia nikamaliza. And After so many years tumeonana mwaka jana November Goba pale Havana. She is doing good for herself na mimi pia niko vizuri. Ila till now sijawahi kumpa mwanamke moyo wangu wote nilishaacha kujipa stress za bure😁
 
Kwaniaba ya wasomaji wote wa Uzi huu,tunashukuru kwa kujuhudu na muda wako bila kusahau upendo wa kushare nasi uliyopitia ili kujifunza,tunasema ahsante sana na Bado tunakiu ya kupata mrejesho,karibu sana mkuu.
 
Nimekuelewa
 
Well said, mkuu.
 
Ushauri wangu tafuta mwanamke mwingine uoe achana na Mercy kabisa
 
Inategemea na itategemea na mood na hulka ya ntu na ntu. Mwingine ukimfuata kistaarabu anakuchapa kelbu ili ku instill fear kwamba humuwezi yeye mbavu nene[emoji42]halafu sasa ndo anakwenda kuichapa mbususu unayoipambania.
 
Kweli
 
 
You are walking the talk[emoji871]
 

Kumchafua Dokta kwa mke wake ndo ningeuwasha moto zaidi.

Mercy fek alimaliza chuo pia.

Nipo kazini Tanga saizi.

Mercy yupo kwao huko kaskazini.

Madogo zake Mercy (Beata na Kiano) wananifaham na mimi nawafaham ila wazaz hapana.

Nipo na mpenzi flani wa kitanga ameajiriwa ni mwalim.

Sijui kama Dokta anahudumia au lah na sijawahi kumuuliza Mercy juu ya hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…