Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Pole sana
 
Kwaniaba ya wasomaji wote wa Uzi huu,tunashukuru kwa kujuhudu na muda wako bila kusahau upendo wa kushare nasi uliyopitia ili kujifunza,tunasema ahsante sana na Bado tunakiu ya kupata mrejesho,karibu sana mkuu.

NITAWAPA MREJESHO PINDI NITAKAPOONA KUNA HAJA YA KUFANYA HIVO KWANI SAIZI TUNAWASILIANA NA MERCY MAWASILIANO YA KAWAIDA TU.
 
Apo ndo ulipozingua kurudi kwa mercy
 
Pole sana Mzee Baba. Dunia siyo mbaya ila sisi waja . . .
 

Shukran na pole kwa yote pia kwa Ushaur kata mawasiliano na mercy ufanye umsahau ili usonge mbele

Chengine nifundshe kutumia hii version mpya ya JF kiukwel inanisumbua sana ingawa mimi ni mpenz tu msomaji wa JF sio mchangiaji sanaaa ila nowadays napata shida nikiclick quote sion option ya type mpk ni click reply ambayo unakuta naqoute sentence ambayo ni refu nagive up tu mana ntamchomsha msomaj nimeqoute aya refu nilchotype ni kiduchu ama hakuna option ya ku qoute ni hii reply tu

Chengne mbona sioni back nikitaka ku back naclick wapi kurudsha page yani ni hadi niclici new post ama niclick pemben nirud tena upya kwenye forums niitafute hio thread

Kiukwel app inanisumbua now kama unaweza kunielkzea na yyte anaweza niambie anfanyaje
 

Attachments

  • IMG_0902.png
    322.4 KB · Views: 24
Hakuna aliyemkamilifu Duniani,
Ungemsamehe,,,,,
Kaa tulia na ujitakari kwa upya
 
Pole na hongera kwa maswahibu.
Ila jua tu kua wanawake tunapenda sana attention kutoka kwa wanaume. Mtu wa kukukeep busy with good mornings, umekula etc.
Sasa huyo mercy saiv anasumbuliwa na upweke na anatafuta attention. Mahali pa kupata attention ni kwako. Akipata tu mwanaume wa kumpa attention utaona amepunguza message au kuacha kabisa. Kaa naye mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…