Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Mpaka sasa bado unampenda sana Mercy na huna uwezo wa kumuacha maana kama ungetaka kuachana nae ungelikuwa umeachana nae muda mrefu. Acha kujitesa we endelea kufurahia hiyo mbususu ya singo maza ila ukitaka kuteseka milele basi oa huyo singo mama
NB: NDOA NI UTAPELI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi bado mna hangaika kumshauri uyu dogo ? amna mtu hapa
 
Tuendeleee.......

Mercy aliendelea kunisumbua ili aje Tanga lakini namimi nikakaza sana na kumuomba Mungu nisiingie kwenye mitego yake tena.
Nilifanya kila mbinu ili kumkatisha tamaa Mercy asitishe kutaka kuja Tanga kuniona.
Nilipata wazo la kutafuta sababu ili tugombane kila mtu aendelee na mambo yake lakini mwisho wa siku anakaa kimya week weeks mbili ananitafuta tena.
Nisipojibu mesej wala kupokea cm zake anatumia namba nyengine kunitafuta.

Sasa mwezi wa tisa mwaka jana alinambia kwamba ananiona simpendi tena kwasababu tayar anamtoto. Akanambia yeye kuwa na mtoto ambaye siyo wangu siyo tatizo na kuna wanaume wengi ambao wanamtaka vilevile alivo na mtoto.

Alivonambia vile nikamjibu kwamba kama kapata wa kuolewa naye basi aolewe aachane namimi.
Hii kauli ni kama niliuchochea moto nilishushiwa ma sms mixer ma cm ya kutosha akilalamika kwamba simpend mpka namruhusu aolewe na wengine basi nikawa cmjibu na ilifika hatua nikawa sipokei tena sm zake.

Hakuchoka akawa anatumia namba mpya kunitafuta na kuendelea kulalamika mpk nikaanza kuwa nakwazika kutokana na malalamiko yake.

Sasa hapa mpka nabaki dilemma hivi mwanamke anaweza kupretend vyote hivi na bado akawa hakupendi?

Sio kwamba maumivu alonisababshia kipindi tupo chuo nimeyasahau hapana ila ananichanganya kwahiyo Nia na nguvu alokuja nayo kipindi hiki.


See you later.......
 
Isee mtihani huo kiukwel bado anakupenda,uamuz upo kwako kurudiana nae au kumpotezea
 
Nakukumbusha tu singo maza wengi wanatafunwa na kuachwa hivyo kwako kang'ang'ania tu kwasababu anajua udhaifu wako juu yake na anauhakika wa ndoa kwako.
NB: singo mama huwa haachani na baba mtoto wake hata kama ameolewa, weka hili akilini kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatunyima Utamu wengi Ukiweka Muendelezo humu..
Fungua Uzi kabisa mwingine utupe mrejesho vizuri tuufatilie..
Ukiweka humu wengi tutaona ni story ile ile iloisha na Watu wanachat tu..
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nchi ngumu hii
 
wenzetu mnapata wapi ujasiri wa kuendelea kumchekea demu aliyepigwa bao na wahuni, akakudharau juu..........

mna mioyo ya namna gani?

aisee huyu dada angenikuta mimi ningemfanyia kitu ambacho atajutia kunirudia maisha yake yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…