DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
- Thread starter
- #1,381
OkyDuuh, jitahidi keweka episode ndefu fupi zinakata stimu ya kusoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkyDuuh, jitahidi keweka episode ndefu fupi zinakata stimu ya kusoma
lini tena?
Leo leolini tena?
Hivi bado mna hangaika kumshauri uyu dogo ? amna mtu hapaDAKTARI ALIFANYA NIKAMPOTEZA MCHUMBA WANGU MERCY
A necessary continuity
Kama jinsi tulivoishia, nilipona yale matatizo niliyotapata kutokana na sekeseke la Mercy na Dokta. Lakini pia Mercy aliendelea kulea mtoto wake huko kwao kaskazini.
Mimi nilipata issue nikaja Tanga na kama tunavojua Tanga ni karibu na mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.
Mawasiliano yaliendelea na Mercy alionyesha kunijali na kufanya kila njia ili niweze kusahau na kumsamehe kabisa kwa yale alonifanyia. Alikuwa mtu wa kujilaumu na kujistukia sana kifupi alikuwa na guilty na alikuwa ana regret sana.
Mercy aliendelea kuniplease kwa kunifanyia vitu mbali mbali lakini pia alijikeep sana close to me kupitia mawasiliano ya cm.
Mwezi wa 7 mwaka jana(2023) nilikuwa tyr nipo huku Tanga na alipofaham kwamba nipo Tanga alifurahi sana akawa anajisemesha "alipangalo Mungu binadam ni ngumu kulipangua" nilimuliza alikuwa anamaanisha nini lakini alinizuga zuga hakumambia alikuwa anamaanisha nini.
Mimi ni mtu mzima na nauwezo wa kung'amua mambo nikawa nishamuelewa japo nilipatwa na hofu kidogo maana mapenz hayana adabu na nilifikiria na kushauri nilopata kutoka kwa wadau hapa jamvini nazidi kujiona kwamba nina kibarua cha kukaa chini na kufanya maamuzi sahihi zaidi juu ya hii ishu.
MERCY alianza kuforce yeye kuja huku Tanga anione akidai kanimiss sana. Mimi kumkwepa nikawa namwambia atulie kwanza mtoto angalau achangamke maana kilikuwa bado kichanga.
Akawa ananilalamikia sana akidai sina tena mapenzi naye kwasababu amezaa na mtu mwingine, akawa anasema namchukia sana kwasabb amenifanyia unyama sana. Haya yote nikawa naona ni kama alikuwa anajutia kwa alinifanyia na nilimuona ni kama alikuwa na depression kiasi flan maana malalamiko yalikuwa hayakati, alituma text nikachelewa kujibu basi ntaandikiwa essay ya malalamiko mpka nikome.
Bro wangu ambaye pia alinisimamia mwanzo mwisho wakati naumwa mpka nikapona alikuwa ashanionya kuhusu Mercy akanambia kamwe nisiruhusu moyo wangu umrudishe tena Mercy katika maisha yangu. Hii ni kwasababu alitoboka sana mfuko na kiukweli kama angepiga mahesabu ya pesa ilotumika kunitibia basi ingepatikana pesa ya kutosha tu na ukizingatia chanzo ni mapenz basi watu huwa wanachukulia kama ni upuuzi na kuwachukulia victims kama ni wapumbavu na ma bongolala sana.
Nilikazia hapo hapo kwamba Mercy asije Tanga hiyo ilikuwa mwez wa 7 mwaka jana.....
See you ndugu zangu.......
Isee mtihani huo kiukwel bado anakupenda,uamuz upo kwako kurudiana nae au kumpotezeaTuendeleee.......
Mercy aliendelea kunisumbua ili aje Tanga lakini namimi nikakaza sana na kumuomba Mungu nisiingie kwenye mitego yake tena.
Nilifanya kila mbinu ili kumkatisha tamaa Mercy asitishe kutaka kuja Tanga kuniona.
Nilipata wazo la kutafuta sababu ili tugombane kila mtu aendelee na mambo yake lakini mwisho wa siku anakaa kimya week weeks mbili ananitafuta tena.
Nisipojibu mesej wala kupokea cm zake anatumia namba nyengine kunitafuta.
Sasa mwezi wa tisa mwaka jana alinambia kwamba ananiona simpendi tena kwasababu tayar anamtoto. Akanambia yeye kuwa na mtoto ambaye siyo wangu siyo tatizo na kuna wanaume wengi ambao wanamtaka vilevile alivo na mtoto.
Alivonambia vile nikamjibu kwamba kama kapata wa kuolewa naye basi aolewe aachane namimi.
Hii kauli ni kama niliuchochea moto nilishushiwa ma sms mixer ma cm ya kutosha akilalamika kwamba simpend mpka namruhusu aolewe na wengine basi nikawa cmjibu na ilifika hatua nikawa sipokei tena sm zake.
Hakuchoka akawa anatumia namba mpya kunitafuta na kuendelea kulalamika mpk nikaanza kuwa nakwazika kutokana na malalamiko yake.
Sasa hapa mpka nabaki dilemma hivi mwanamke anaweza kupretend vyote hivi na bado akawa hakupendi?
Sio kwamba maumivu alonisababshia kipindi tupo chuo nimeyasahau hapana ila ananichanganya kwahiyo Nia na nguvu alokuja nayo kipindi hiki.
See you later.......
Nakukumbusha tu singo maza wengi wanatafunwa na kuachwa hivyo kwako kang'ang'ania tu kwasababu anajua udhaifu wako juu yake na anauhakika wa ndoa kwako.Tuendeleee.......
Mercy aliendelea kunisumbua ili aje Tanga lakini namimi nikakaza sana na kumuomba Mungu nisiingie kwenye mitego yake tena.
Nilifanya kila mbinu ili kumkatisha tamaa Mercy asitishe kutaka kuja Tanga kuniona.
Nilipata wazo la kutafuta sababu ili tugombane kila mtu aendelee na mambo yake lakini mwisho wa siku anakaa kimya week weeks mbili ananitafuta tena.
Nisipojibu mesej wala kupokea cm zake anatumia namba nyengine kunitafuta.
Sasa mwezi wa tisa mwaka jana alinambia kwamba ananiona simpendi tena kwasababu tayar anamtoto. Akanambia yeye kuwa na mtoto ambaye siyo wangu siyo tatizo na kuna wanaume wengi ambao wanamtaka vilevile alivo na mtoto.
Alivonambia vile nikamjibu kwamba kama kapata wa kuolewa naye basi aolewe aachane namimi.
Hii kauli ni kama niliuchochea moto nilishushiwa ma sms mixer ma cm ya kutosha akilalamika kwamba simpend mpka namruhusu aolewe na wengine basi nikawa cmjibu na ilifika hatua nikawa sipokei tena sm zake.
Hakuchoka akawa anatumia namba mpya kunitafuta na kuendelea kulalamika mpk nikaanza kuwa nakwazika kutokana na malalamiko yake.
Sasa hapa mpka nabaki dilemma hivi mwanamke anaweza kupretend vyote hivi na bado akawa hakupendi?
Sio kwamba maumivu alonisababshia kipindi tupo chuo nimeyasahau hapana ila ananichanganya kwahiyo Nia na nguvu alokuja nayo kipindi hiki.
See you later.......
Unatunyima Utamu wengi Ukiweka Muendelezo humu..Tuendeleee.......

Sawa mkuuUnatunyima Utamu wengi Ukiweka Muendelezo humu..
Fungua Uzi kabisa mwingine utupe mrejesho vizuri tuufatilie..
Ukiweka humu wengi tutaona ni story ile ile iloisha na Watu wanachat tu..
😂😂😂😂 nchi ngumu hiiTunajua mwisho wa siku ulimpa mimba, katika kujifungua akapoteza maisha....
Sisi tunachotaka kujua, ni kwa namna gani huyo daktari alihusika ktk kusababisha kifo cha mchuchu wako?
Hayo maelezo ya namna mlivyopeana mimba, sijui ukamuweka popo kanyea mbingu, sijui ukamzamia chumvini mpaka aka squirt sisi hayatusaidiii..
😂😂😂😂🙌🙌🙌Yaani umeme wa Tanesco niusubirie na wewe na tuhadithi vyako nikusubirie..!? Unaumwa nini.!?
😂😂😂😂 Chuo na sare za vitenge?? Kwaya ya kijito nyama ss hiyoIle semester ya kwanza mwaka wa 2 tuliamua kushona sare ya vitenge mimi na Mercy
Na mimi kanishangaza kwa kweli 😂😂😂Sasa si mlikuwa kama waimba kwaya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwanaume akivaa shati la kitenge lazima nimwamkie ebooh 😂😂😂[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]sare ya vitenge ulizingua
Ungeendelea mbele kidogo uone walivyowaka na sare zao za vitenge 😂😂😂Nilipoona chuo umeanza 2019 nikaamua nikupuuze kwasababu ni stori ya mtoto. Nilivyoshuka chini na kuona ITAENDELEA ndo nikafunga jalada na kuamua kuacha kusoma huu uzi ulioandikwa na mtoto.