Wewe kwanini usiwaambie wazazi wa mercy kwaba humuhitaji tena binti yao coz alikusaliti hadi kuzaa na mwanaume mwingine? Kwa kifupi tu dogo huna msimamo, bado unampenda mercy, sitashangaa kusikia umerudiana na mercy, nakushauri muache mage usije ukamuumiza dada wa watu, namuonea huruma kujiingiza kwenye mapenzi na mwanaume asijielewa asiyejua yeye ni mwanaume kwamba akisema No ni No, Yes ni Yes......Mercy Mercy mfyuuuuuuuuuuuu......siku si nyingi utarudishwa hospital na ugonjwa wako na ndio itakuwa nitolee hiyo