DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
- Thread starter
-
- #1,621
Ukija Tanga nichek basi Mkuu tuonane tubadirishane mawazo nikutambulishe na MageNina uraia pacha, dar na dodoma ila Tanga ni home town na huwa nakuja mara nyingi, hata ijumaa nilikuja but kuna mashetani yakanishawishi tukatumike korogwe
Lips, eyes...you have a taste kiddo.MAGE View attachment 2964589WANGU HUYU HAPA
Macho ya kifisi hayo 😃😃Lips, eyes...you have a taste kiddo.
Nitakucheck. Nadhan jumatano nitakua huko.Ukija Tanga nichek basi Mkuu tuonane tubadirishane mawazo nikutambulishe na Mage
Karibu sanaNitakucheck. Nadhan jumatano nitakua huko.
kila... la le li lo luKira nikikumbuka napata hasira mpaka leo ........lakini mtu mwenyewe sina kinyongo naye tena...............mtu mfanywa lakini sio mfanya........
Nilifatilia kisa chako....kiukweli inaonyesha Bado unapenda ...ila ki mtizamo hakufai ....kua na msimamo mwambie afanye maisha yasonge akuche amekutumikisha sana inatoshaTuendeleee.......
Mercy aliendelea kunisumbua ili aje Tanga lakini namimi nikakaza sana na kumuomba Mungu nisiingie kwenye mitego yake tena.
Nilifanya kila mbinu ili kumkatisha tamaa Mercy asitishe kutaka kuja Tanga kuniona.
Nilipata wazo la kutafuta sababu ili tugombane kila mtu aendelee na mambo yake lakini mwisho wa siku anakaa kimya week weeks mbili ananitafuta tena.
Nisipojibu mesej wala kupokea cm zake anatumia namba nyengine kunitafuta.
Sasa mwezi wa tisa mwaka jana alinambia kwamba ananiona simpendi tena kwasababu tayar anamtoto. Akanambia yeye kuwa na mtoto ambaye siyo wangu siyo tatizo na kuna wanaume wengi ambao wanamtaka vilevile alivo na mtoto.
Alivonambia vile nikamjibu kwamba kama kapata wa kuolewa naye basi aolewe aachane namimi.
Hii kauli ni kama niliuchochea moto nilishushiwa ma sms mixer ma cm ya kutosha akilalamika kwamba simpend mpka namruhusu aolewe na wengine basi nikawa cmjibu na ilifika hatua nikawa sipokei tena sm zake.
Hakuchoka akawa anatumia namba mpya kunitafuta na kuendelea kulalamika mpk nikaanza kuwa nakwazika kutokana na malalamiko yake.
Sasa hapa mpka nabaki dilemma hivi mwanamke anaweza kupretend vyote hivi na bado akawa hakupendi?
Sio kwamba maumivu alonisababshia kipindi tupo chuo nimeyasahau hapana ila ananichanganya kwahiyo Nia na nguvu alokuja nayo kipindi hiki.
See you later.......
Nina Mage kakaNilifatilia kisa chako....kiukweli inaonyesha Bado unapenda ...ila ki mtizamo hakufai ....kua na msimamo mwambie afanye maisha yasonge akuche amekutumikisha sana inatosha
Ndio hapo sasaYani anavyolia lia km jinga vile, ndiomana mwanamke alikuwa mpk na jeuri ya kukigawa kwa dokta. Halafu tunamshauri anatuona maboya yy anawajua sana wanawake kuliko sisi wanawke wenzake!!! Na watamtombea sana asipojitambua.
Huyo demu kashakuwa cha wote, leo kavua chupi kwa gari lisilozidi hata 20mln vipi akitokea mwenye range?? Si ndo atabeba mimba za mapacha.
Mimi ni mwanamke.Nina Mage kaka
Wacha ateseke tuu kwani hata wewe uliteseka halafu kata mawasiliano nae kabisa asikuzoee na kwao waambie kua mtoto sii wako waambie kila kitu na akija Tanga mpotezee kabisa kama humjuiAnateseka kiukweli kila siku ni kuomba msamaha tu
Anhaa sawa am sorryMimi ni mwanamke.
Wewe kwanini usiwaambie wazazi wa mercy kwaba humuhitaji tena binti yao coz alikusaliti hadi kuzaa na mwanaume mwingine? Kwa kifupi tu dogo huna msimamo, bado unampenda mercy, sitashangaa kusikia umerudiana na mercy, nakushauri muache mage usije ukamuumiza dada wa watu, namuonea huruma kujiingiza kwenye mapenzi na mwanaume asijielewa asiyejua yeye ni mwanaume kwamba akisema No ni No, Yes ni Yes......Mercy Mercy mfyuuuuuuuuuuuu......siku si nyingi utarudishwa hospital na ugonjwa wako na ndio itakuwa nitolee hiyoKuna siku mama mdogo wake Mercy ndo alinipigia ila nahisi tu wazaz wale pia wanamoa backup Mercy wakidhani labda mm ndo mzaz wa yule mtoto
Huyu jamaa mjinga wa mapenzi na Mercy kashajua kajipatia mjinga wake.!!Ndio hapo sasa
Nime heal and nampenda sana Mage mwez wa 7 Mungu akipenda nitawatumia picha nipo na mke wanguWewe kwanini usiwaambie wazazi wa mercy kwaba humuhitaji tena binti yao coz alikusaliti hadi kuzaa na mwanaume mwingine? Kwa kifupi tu dogo huna msimamo, bado unampenda mercy, sitashangaa kusikia umerudiana na mercy, nakushauri muache mage usije ukamuumiza dada wa watu, namuonea huruma kujiingiza kwenye mapenzi na mwanaume asijielewa asiyejua yeye ni mwanaume kwamba akisema No ni No, Yes ni Yes......Mercy Mercy mfyuuuuuuuuuuuu......siku si nyingi utarudishwa hospital na ugonjwa wako na ndio itakuwa nitolee hiyo
Hapana, na hata hivo mapenz haya baunsaHuyu jamaa mjinga wa mapenzi na Mercy kashajua kajipatia mjinga wake.!!
🤣🤣🤣 sawa komaa nayo mpk yakutoe roho mkuu ni kweli hayana baunsaHapana, na hata hivo mapenz haya baunsa
Phatpharm umenikumbusha mbaliBrand flani ukivaa unaonekana mnyamwezi
Puma
Fila
Reebok
Phatpharm
Mimi sipo na Mercy🤣🤣🤣 sawa komaa nayo mpk yakutoe roho mkuu ni kweli hayana baunsa