Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Moyo wako tayari umeshaachia na kukubali kupoteza. Hii ni hatua nzuri ya wewe kusonga mbele na maisha mengine kuendelea.
Kila siku asubuhi ananisalimia na jioni ananipa pole ya kazi lakin mimi sina tena ratiba naye
 
Kitu ambacho wanaume wenzangu wengi hawakijui, hasa hawa wa kisasa, ni kuwa: mwanamke atakusamehe makosa yote isipokuwa la kuwa dhaifu. Ukionesha udhaifu tu, umekwisha. Atakuadhibu squarely, hautakuja kumsahau.
Hii ni kweli mzee
 
Pole sana mzee
 
😂😂dah ila we jamaa bhana
 
Una wivu sana tena wa kitoto
 
Dogo mpe namba yako mage yake ichukue ayamalize kwanza haya

Baadaye yakiisha utakuwa vzr, usidhani kuwa mage naye hatongozwi atakuja achoke na skendo zenu aingie kwa mtu mwingine akuache
 
Dogo mpe namba yako mage yake ichukue ayamalize kwanza haya

Baadaye yakiisha utakuwa vzr, usidhani kuwa mage naye hatongozwi atakuja achoke na skendo zenu aingie kwa mtu mwingine akuache
Mercy kashashindwa Hana tena nafas kwangu. Na naona kama vile nilichelewa kumpata Mage au mtu kama Mage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…