Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Sasa first year 2019 wakati huo mwaka Kuna wengine ndyo walikuwa wanastaafuMbona mnaniita dogo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa first year 2019 wakati huo mwaka Kuna wengine ndyo walikuwa wanastaafuMbona mnaniita dogo sana
Shida ilianzia hapa kwenye vitenge[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]sare ya vitenge ulizingua
Ukerewe kisiwani🤣Napajua basiiii ...na hao dagaa alikuwa anaagiza wapi sasa
Ila kweli enheUkerewe kisiwani🤣
EehhIla kweli enhe
reymageMuendelezo.......
Yale maneno ya Dokta yaliniachia mawazo mengi sana.
Nilianza kuwachukia madaktari kwanzia siku ile. Nilipata funzo kwamba pesa ni kila kitu. Pesa inanunua furaha wazee asikudanganye mtu.
Zile varangati zote mimi na Dokta Mercy hakuwa anajua.
Basi zilipita kama siku mbili, ilikuwa ni kati kati ya week ya pili kutoka week ya mwsho ya vipindi wa darasani. Maana week ilofata ndo ilikuwa ya mwsho kuingia class
Sikujua kumbe ile text ya Tecra bado Mercy ilikuwa inamrudia kichwani mwake.
Niligundua baada ya kumfuma Mercy akiwa anachat na Tecra kumbe namba aliichukua akaisev katika cm yake.
Nilipogundua ilibidi nimuwakie kidogo maana after kufanya yale yote mpka kumpigia Tecra mbele yake sikutarajia kama Mercy angemtafuta tena Tecra.
Kitendo cha kumfokea Mercy kilizua ugomvi mpka nikajuta kwanini nilifanya vile.
Mercy alidai kwamba mimi kumfokea na kumkataza kuchat na Tecra ni dalili za kutaka kutetea penz langu na Tecra na japo nilimpigia cm mbele yake ila haamini kwamba nilikuwa serious alikua kwamba labda nilimtafuta Tecra baadae nakumuomba msamaha.
Mercy alikasirika mixer minuno akanifukuza kwake.
Nilikuwa nampenda sana Mercy lakini kitendo cha yeye kunifukuza niliona kama ni dharau sana.
Niliondoka lakini kabla ya kuondoka nikamwambia "Dokta kaanza kukupa kiburi na nilikuonya sana kuhusu Dokta. Hizo pesa ni zake na mke wake nakuomba kama kitendo hiki cha kunifukuza kwako kinauhusiano na Dokta basi nashukuru ila kama ni kwasabb ya Tecra basi naomba unisamehe Tecra sina malengo naye, nakupenda sana and am going to take my leave right now" nikafungua mlango nikachukua baiki yangu nikasepa.
Niliendesha kama mita 50 hivi nikaona ntagongwa namagari ni bora nishuke nikokote baiki yangu.
Niseme ukweli sikuwahi kuoata maumivu kama siku hii. Niliumia sana, akili ilivurugika na nilipatwa na hasira juu ya Dokta. NB: ukisikia mtu kajinyonga kwasababu ya mapenz usimshangae.
Niliamini kwamba jimechakganyikiwa baada ya kufika home.
Yule bro alikuwa bado hajasepa kurud kazini kwake.
Nilimkuta katoa kitu (wale wadau wa ganja wanaelewa) nilimuomba nipige japo mistari miwili tu.
Bro alivoona nimemuomba ganja akastuka akanifukuza dogo upo serious? Nikamjibu ndio nipe bro.
Kaniuliza ushawahi kutumia? Nikamjibu hapana. Akauliza kwanini ghafla hivi na nakuoma haupo sawa shida nini. Nikamueleza na mwsho nkamwambia Mercy kanifurunta kwake na hapa sijui nini ntafanya.
Wazee sio kila anayetumia ganja anakuwa Hana mawazo ya hekima. Hapa niligundua ganja inachagua vichwa kuna wengine wanakuwa wehubna wengine wanakuwa ma genius.
Yule bro alipiga kwanza vitu vyake akamaliza. Akanambia nitulie mule ndani nisifanye chochote wala nisijali yeye atanishauri nini nifanye.
Bro alichukuwa shirt akavaa, akaniuliza kama ninaweza kutoka nikiwa vile nilivo au kuna haja ya kwenda kubadirisha nguo nikamwambia niko poa.
Aliniambia niingie kwenye gar kuna mahali anataka kunipeleka.
Tukapanda tukasepa, kituo cha kwanza tulipita sheli, then tukaenda kuna mahali flani ni kama lounge lakini palikuwa pamechangamka na mandhari ilikuwa nzuri sana.
Tukaagiza, mimi niliagiza Bavaria na yeye alichukua vitu vyake ilikuwa ni pombe skumbuki jina lake lakini ni jamii ya wine.
Tuliagiza mbuzi nusu na nikaongeza na kimalta tukaendelea.
Bro aliniuliza ratiba ya kesho chuo nikafungua cm nikachek nikaona kipindi cha kwanza kulikuwa kinaanza saa 4 na dk 15 asubuhi.
Tulipomaliza nyama na vinywaji akanichukua tena tukahama kiwanja tukaenda ni kama club lakini ni kubwa sana watu shazi mziki mzuri umetulia.
Hapo mimi mawazo kwa Mercy tu japo bro alikua akiniona kama ninataka kusombwa na mawazo alikuwa ananistua ananambia kula bata mdogo wangu. Akanipa kama misimbazi mitano hivi akanambia hiyo Kaa nayo.
Mwshoni nikaanza kuhisi furaha mawazo kuhusu Mercy yakapungua japo nilikuwa nikienda washroom Mercy alikuwa ananiijia kichwani ila najaribu kumpunch.
Nilijitahidi sana kutokumpigia cm wala kumtext mpenz wangu kwasababu niliona yeye ndo anamakosa kunifukuza kwake ni kunikosea heshima yeye ndo alitakiwa kunitafuta na kuniomba msamaha kwahyo niliendelea kuugulia moyoni tu nikisubir Mercy anitafute.
Kiukweli nilikuwa nienjoy pale kiwanja lakini nikawa napata mawazo kwamba labda mda ule Dokta kamtafuta, labda kamtoa out wako wanaenjoy yani nilikuwa naijiwa na mawazo yahivo tu yakunitoa mchezoni. Mda mwingine nikawa napata mawazo ya kuangalia location aliopo Dokta kwa kutumia namba yake ya cm.
Maana kama cm imewekwa location on, na namba ya cm lakini ipo katika cm kuna namna unaweza kupata location ya mtu husika kupitia namba yake ya cm.
Nilijaribu kufanya vile lakini location haikusoma nikajuta ile laini haimo kwenye smart phone
Kuchek saa ni ngoma saba usiku Mercy hajanichek yani kala buyu. Chozi lililenga machoni nikawaza kuagiza pombe nijaribu kunywa ila kwasabb skuwahi kutumia kilev chchte nikajikuta naishia kwenye kuwaza tu vitendo zero.
See you.......
AllMuendelezo.......

Kesho ntaendeleaNdo imeisha amaa
AiseeBila ya shaka na kutopepesa macho ww umesoma Ualimu tena ECB SUA CAMPUS YA MAZIMBU na hapo mlipokodi naweza sema ni Barakuda au Maziwa na hio hospitali mloenda ni pale sheli hlf mbele kuna kidaraja ambapo stendi ya hiace imeondoshwa ple town
Nimesema hivi mna wanafunzi nawajua vzr na ndo wanopenda kwenda chuoni na baiskeli
Nalala nasubiria zikifka tatu au nne ndo nisome sasaaMuendelezo.......

AiseeHizi picha alipigia Mercy.
Hiyo ya gizani ni club mimi napenda sana kuimba kwahyo hapo tulikuwa kwenye karaoke. Mmoja kati ya hao wawili katika picha ni mimi
😂😂 Ndio Niko na google hapa kama hicho kitu kinawezekana😂😂😂😂😂 kila ukitoa bikra unakula bao tatu, hizi bikra za mabinti wa siku hizi ni tofauti na zile zetu za henzi hizo , pisi ilikuwa inakuchukia na inasikia maumivu makali na kama ukilala nae basi hataki tena na anakuwa kama anajutia sasa yenu ya siku hizi ni mwendo wa bao tatu😂😂😂😂😂
Mwamba umesimama na statistics... Huyumbi wala huyumbishwi..., 😂😂Ifike mahali ukibali wewe ni empty set mkuu...
View attachment 2911388
View attachment 2911389
View attachment 2911391
Apigwe HUYOoOoOO!!!! 😂Sikushangai, maana kimtokacho mtu mdomoni ndicho kilichojaa kwenye shitty brain yake..... Wewe ni walewalee tu...
View attachment 2911370
Ukiweka Uzi mwingine hebu nitag tafadhaliMuendelezo.......