Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Tuendeleee........

Ilifika saa saba na nusu tupo kiwanja na bro, nikamwambia siwez kuendelea kustay macho yani usingizi ulikuwa ushaanza kuniandama.
Bro alinambia kwamba leo haturud home tutalal hukuhuku. Nikamuliza kwanini ameamua vile si nikuharibu pesa tu wakati home ni karibu.
Alinijibu kwamba "dogo pesa ipo, ukiwa na pesa hayo mawazo ya kimaskini hayawezi kuja akilini mwako. Sometimes unatakiwa kubadirisha mazingira kulingana na mood ulonayo, akamalizia kwa kusema wewe enjoy na utafute pesa".

Yale maneno ya bro yalinivunja nguvu, nilikonekt na maneno ya Dokta siku Ile basi nikaona kama dunia ni uwanja wa mapambanno yani ili upate hitaji lako ni lazima ukomae.
Nikaitazama cm yangu hakuwa hata na dalili ay Mercy kunitafuta.
Nikaamua kufungua chats zangu za normal texts na Mercy nikazisoma zote nikamaliza nikarud za Whatsapp nikamaliza nazo nikabak nimejiinamia. Bro alinichukuwa kumbe alikuwa kashabook vyumba kitambo akanishika mkono akanielekeza chumba changu nikaenda kupumzika.

Mule room usingizi niliupata kwa mafungu mafungu yani nalala lisaa nashtuka, nalala tena dakika 45 nashtuka mpka ilafika asubuhi.
Kwakuwa kipindi cha kwanza chuoni kilikuwa ni saa4 na dk15 asubuh basi nilizuga room mpk saa 2 hivi then nikaanza kujiandaa. Nilienda pia room kwa bro kumbe alikuwa na manzi nilpishana naye mlangoni nilivomuona nikajuta kabisa huyu sio mpenz wake bali ni wale wa lipia kamata twende.

Tulipiga chama na mayai tukapanda kigari chetu tukasepa. Njiani nikamwambia bro kwamba alichokifanya ni kikubwa sana kwasababu kwa ule usiku wa jana endapo ningekuwa pekeangu room basi kuna hatihat ningejimaliza kabisa au ningehangaika sana room pekeangu.
Tulivofika geton bro alinambi nijiandae anipeleke chuo na gari.
Ilikuwa kama saa tatu na 40 kwahyo kudavulikuwa bado tukaamua kuzuga magetoni kwanza.
Muda ilipofika nilichukuwa vidaftar vyangu tukaanza safar mpka chuo. Bro alikuwa na kidem chake mwaka wa pili alikipitia mageton kwake tukaenda nacho. Nakumbuka tulifika tukakuta wanafunzi tyr wapo class. Ali-drive mpka karibu na venue, mimi na yule manzi wa bro tulishuka kila mmoja kaenda venue kwake.

Nilipoingia class wasera wakaanza kunizingua oya naona umeshuka na mtoto mkali mwanangu Mercy umepiga chini au sio, jamaa alivotaja jina la Mercy moyo wangu ulipasuka hakujua tu nini kilikuwa kinaendelea.
Kumbe Mercy naye aliniona wakat nashuka.
Gari anaijua na mwenye gari anamjua lakini yule binti ndo alikuwa hamjui.
Nilitaka kwenda kumsalimia Mercy mahali pale amekaa lakini moyo ukanizuia nikavunga na kujikaza kiume.
Katikati ya kipindi nikasikia kama mesej imeingia katika cm yangu. Nikaona kwanza Mungu kwamba Ile mesej tafadhari iwe ya Mercy maana nipo hoi sina nguvu zakuemdelea kukomaa.

Kutoa cm Bwana kweli Ile mesej ilikuwa ni ya Mercy ilisomeka "yani tayari umepata kidem kweli wewe mwanaume ni Malaya"
Nilikuta kwanini bro alimpitia yule dem wake japo yeye ndo kafaya Mercy kanitafuta.
Nikimjibu "tusome kwanza kama utahitaji maelezo kuhusu huyo dem utanambia baadae nikueleze" Mercy hakujibubtena.

Kipindi kikaisha nikatoka nikaenda pembeni kulikuwa na vimbeeta nikakata nachezea cm yangu. Nilistukia namuona Mercy kafika kimbwetani nilipo, akanisalimia kisha akakaa.
Mercy ni mschana mwenye akili na mwenye huruma sana na nitampenda mpka naingia kaburini sijawahi kukutana na mwanamke wa vile.

Mercy alinishika mkono mmoja huku akiniangalia hakuwaza watu walokuwa wanapita kando yetu.
Aliniomba msamaha kwa kumfukuza na akasema kwamba alikuwa a hasira juu ya Tecra na wala si Dokta ndo aliyemoa ujasiri ule.
Ndugu zangu machozi yalinilenga kidume mzima lakini nikajikaza nikaona Mercy angeniona mimi kavu kulia lia kama mzungu.
Hatujakaa sawa cm ya Mercy ikaita kuangalia ni Dokta, ebana sisi wanaume ni ving'ang'anizi ila Dokta alizi na jeuri ya pesa ikanifanya nimuone mwenye ROHO mbaya sana. MERCY alivoona ni Dokta ndo anapiga aliikata na kusonya kabisa. Sasa nikamwambia so bora tumblock tu ili asizngue tena, Mercy alikubali tukamblock pale pale.

Tulienda kunywa juice na chapati cafe tukarudi venue kwa ajili ya kipindi.
This time tulikaa sehem moja na Mercy hii ni kawaida yetu toka first year.
Basi mambo yangu na Mercy yalirudi kuwa poa tukawa tunaishi vzr tu kama mwanzo.

Niliwambia yule Dokta ana ROHO mbaya. Ilikuwa hivi....
Ilikuwa ni week imepita baada ya kumblock. Tulikuwa week ya mwsho ya kuingia darasani then iingie week ya maandalizi ya UE. Nilimwambia Mercy achunge tusivurugane tukafeli akanihakikishia yeye yupo serious na nisiwe na wasiwasi.

Mwisho wa hii wiki tulikuwa nayo nakumbuka tulikuwa tunasomea kimbwetani. Ghafla cm ya Mercy ikaita kuchek namba ngeni akapokea na kuweka loud speaker. Kuskia saut nibya Dokta yani niliishiwa nguvu ndugu zangu. Nikajiuliza hivi huyu Dokta hajaona madem wengine ila ni Mercy wangu tu au ni shetan anaingilia mapenz na masomo yangu ili nifeli. Mercy akamuliza yeye nani akajibu Dokta, Mercy akamwambia shida nini, Dokta kasema ameamua kumchek amsalimia na akasema ni ushamba alivomblock basi Mercy alikasirika akakata cm.

Hatujakaa sawa mesej ikaingia kwa Mercy kuchek ni muamala wa tigopesa tsh 110k. Hafu ikaingia nyingine kaandika, mchukue huyo dogo mkanunue mahitaji yenu ya magetoni mwenu mnapojifichia.
Kweli pesa ni kitu cha ajabu sana, niliwaza nikasema inamaana mule magetoni sisi tunajificha sio nyumba za kuishi zile, nikawaza tena kwahiyo mimi naitwa dogo mbele ya mpenzi wangu.
Nikasubiri Mercy aseme nini juu ya ile pesa hafu mimi ndo niongee. Mercy alikuwa kimya nikamuliza what is next juu ya hii pesa kajibu niseme mimi.
Mimi kwa Ile hasira nikasema hii pesa mrudishie mbele yangu naona irudishe hapahapa nashuhudia.

See you there..........
===
Muendelezo soma Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy
 
Mzee wa old school
 
Tuendeleee.....

Kabla ya kuendelea naomba niandike mambo machache.

Watu wameniandama sana wengi wao wanadai hii ni chai na wamejikita kwenye maeneo yafuatayo.

1. Bikra kumpiga bao tatu
.....sio Mercy tu nishatoa bikra tatu kabla ya Mercy na mbili kati ya hizo nilipiga bao tatu. Wengi wanaoniandama hawajui mapenzi wanadhani kumfuck dem ni vita kwamba lazima apate maumivu. Kuna soft sex kwa wanaonielewa wanajua kwamba bikra inawezekana kumpiga hata bao kumi.

2. Kutongozwa na wanafunzi wenzangu
.....kutongozwa na wanawake sikuanzia chuo tu.
Nilipomaliza form 4 nilitongozwa na mwanamke ambaye hakuwa na Rika la kuitwa sugarmama lakini alikuwa kanizid umri na alikuwa ameolewa na boss mmoja alikuwa anamiliki kampuni ya Costa na hiace route ya Kaliua - Tabora. Tulidum kwa miezi kadhaa nilipoenda advance habari ikaisha.

Hawa mashoga ndo washanitongoza mpka wengine nishawalia nauli zao nyingi.
Na kuna shoga mwingine alinitongoza ni rafiki wa mtangazaji wa radio station moja kubwa sana hapa nchini aliwahi kuhama hiyo station lakini akarud tena. Kama unauwezo wa kufatilia unaweza kumjua.

Nishatongozwa na wadada mtu na mdogo wake na wote niliwala pasipo kujuana, wote walikuwa wananizid umri walikuwa ni wahaya wa muleba walikuja mkoani kwetu kwa baba yao.

Kipindi nipo advance kuna madam alikuwa anafundisha geography alinitongoza lakini sikufanikiwa kumla.

Kwahiyo kwa anayeona kwamba najisifia kuhusu kutongozwa na wanawake huyo anahisi kutongozwa na mschana ni big deal sana kwake asijue kwamba kwa wengine ni kitu cha kawaida sana.

3. Kuhusu madem kupenda baiki yangu
.....madem wanapenda vitu vya kijinga na baiki yangu haikuwa ya kishamba.
Baiki yangu ilikuwa luxury na Mercy mwanzo alikataa lakini baadae alikuja kuipenda na kuitegemea na alisahau daladala chuo-geto.

THEN SINA HAJA YA KUPOTEZA MUDA KUWADANGANYA KWA KUTUNGA STOR NINGEKUWA NAHITAJI FAIDA BASI NINGEMTAGUTA SHIGONGO TUKAFANYA KAZI YENYE FAIDA. KAMA UNAHISI NI CHAI BASI USIIFATILIE KAA PEMBENI. NIMEAMUA KUSHEA NA NINYI WANAJF WENZANGU KAMA SEHEM YA MAPITO KATIKA MAISHA YANGU.

NIMEAMUA KUTOA YA MOYONI KWANZA, UZI UTAENDELEA MDA SI MREFU.
Hongera sana. Wewe ni bingwa wa muda wote kwenye tasnia ya kutongozwa na madem pamoja na kuwala. Hakika ni mfano wa kuigwa na wazinzi wote.
 
Tuendeleee.......

Baada ya kumwambia Mercy airudishe Ile pesa Mercy alinambia nikae nitulie nifikirie kwa kina juu ya uamuz nilichukuwa juu ya ile pesa kutoka kwa Dokta. Mercy alisema nikumbuke kwamba ile ni pesa na ndo inayofanya watu kuishi kwa furaha hapa duniani. Mercy alivyoongea yale maneno nilimuangalia kwa zaidi ya dakika moja lakini akanambia nisimfikirie vibaya na nisizingatie sana hisia kuna mahala pengine hapahitaji kutanguliza sana hisia.

Nilikubaliana na Mercy kishingoupande nikamezea.

Siku ile iliisha tukarudi home, nilimwambia Mercy tule kulekule chuo maana ilifika mpaka saambili usiku tulikuwa na group work na individual assignment tukazimaliza zote japo ilikuwa kwa ku unga unga tu.
Tulipomaliza kula tukakokota baiki yetu nikampitiaha Mercy kwake namimi nikasepa kwangu. Lakini kabla ya kuondoka nikamwambia Mercy asiiguse Ile pesa ya Dokta akanambia nisijali.

Nilipofika geto nilimkuta yule bro tukapiga stor kidogo nikasepa kwangu kulala.

Kabla sijalal nilichukuwa kama masaa mawili kutuliza akili kufikiria nini cha kufanya na nikapata mawazo yafuatayo.

1. Lile wazo la kumtia Mercy mimba lilijirudia tena.

2. Nimtafute dem mwingine pale chuo nimpange ili a-act kama Mercy, yani nimconnect Dokta na huyo dem nitakayemtafuta asitume mesej wala kumtafuta Mercy kupitia namba halisi ya Mercy ila apitie namba ya yule dem mwingine. Nikawaza Dokta akiomba mtoko na Mercy basi yule Mercy fek amzungushe amwambie mpka tukimaliza UE. Nikawaza nikaona kwamba UE ikiisha tutaenda likizo fupi na Mercy huwa anaenda kwao.
Basi nikajua kabisa yule Mercy fek angenisaidia kwa namna hiyo mpka mwisho wa safar ya chuo maana ilikuwa imebak semester 1 tu ukiachana na Ile ambayo tulikuwa tunaimalizia.

3. Wazo la tatu niliwaza kusitisha kumtafuta Dokta maana niliona kuzid kumtafuta ni sawa na kuchochea vita maana mtu mwenye hela akiamua kulia dem wako hashindwi. Kwahyo niliamua kumshit Dokta ila nipigane naye chini chini pasipo yeye kufaham.

4. Nikawaza safar yangu ya kusoma kwanzia primary mpka kugika pale chuo nikaona kabisa nimebakisha ngwe ndogo sana na ukizongatia sikuwahi kufeli tangu nianze safar yangu ya kusoma na wazaz na ndugu walikuwa wananiamini sana upande wa elimu na nakumbuka mara ya mwisho baba kunisisitiza nisome ilikuwa ni form two. Baada ya hapo hakuwahi kunambia nisome au kinipa ushaur kuhusu kusoma na hiyo ilitokana na yeye kuniamini.

Hii kitu ilinipa ujasiri nikaona kwamba kama Mercy ni ridhiki yangu basi ni yangu na nitamuoa ila kama si yangu basi sina haja ya kuforce mambo.

Kuna dem flan alikuwa mshkaji wangu sana alikuwa anasoma koz tofaut namm lakini nayeye alikuwa mwaka wa3, huyu tumuite Mercy fek.

Kesho yake nilimchek huyu Mercy feki nikampanga na nikamwambia huyo Dokta anamkwanja kwahiyo mshahara wake ataupata kwa namna hiyo.
Kuhusu sauti ya Mercy oh na huyo feki Incase Dokta atapiga waongee, saut za madem nadhani sio kazi dem mwingine kuisoma saut ya mwenzake na kuifanyia mazoez na kumasta kuiongea.
Mercy fek ni mtu wa madili na kujichanganya sana na alikuwa anawapenz wengi wengi.

Ile siku niliyotaka kumkonect Mercy fek na Dokta nilihitaji cm ya Mercy iwe off kwa walau masaa kadhaa kwahiyo nikawaza ni jinsi gani nitafanikiwa hiyo issue.
Nilienda kwa Mercy nakumbuka ilikuwa ni saa2 na nusu usiku nikamwambia Mercy nahitaj tuongee maongezi muhimu sana na azime cm yake lakini kabla ya kuzima cm zetu nilijifanya kama naenda nje kuongea na mamaangu.
Nilipitia nje nikampa namba ya Dokta yule Mercy feki nikamwambia kwamba baada ya dk 20 amtafute Dokta na afanye kama nilivo-mtrain.
Basi nikarudi ndani, baada ya dk kama 15 nikamwambia Mercy tuanze maongezi na tuzime am zetu ili kuepuka interruptions katika maongezi yetu.

Nilitumia huo mda kumshawish Mercy kuhusu kutafuta mtoto na nikamwambia NIMEAMUA vile ili kumhakikishia kwamba nipo tayr kumuona na kuishi naye for the rest of my life.
Niliamua kuzima cm ya Mercy ili wakati ule Mercy fek alipokuwa anajikonelt kwa Dokta basi kama Dokta angemtafuta Mercy og basi amkose hewani.

Swala la mimba Mercy alilikataa bila kupepesa macho yani alikataa akasemahawez zaa nje ya ndoa, tusubr tuoane ndo mambo mengine yaendelee. MERCY aliniacha dilemma lakini kwasbb nilikuwa najua Ile plan ya Mercy feki itasaidia basi sikutaka kuminyana na Mercy kuhusu mimba mwisho wasiku tungegombana bure.

Basi kikao chetu tulikifunga kwa sex Moja murua na baada ya hapo tukafungua cm zetu.
Tulipofungua cm nikawah cm ya Mercy ili Incase Dokta angekuwa kamtafuta bas ningefuta mesej zake.

Niliagana na Mercy nikatoka kwenda kwangu. Njiani nikamuliza Mercy fek kama alifanikisha na nilifurahi baada ya kupata majibu mazuri kwamba alifanikiwa na Dokta Sasa anajua kwamba yeye ndo Mercy og.

Tutaendelea.............

===
Muendelezo soma Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy
 
Tuendeleee.....

Kumbuka hiyo ilikuwa mwaka wa 2 mwanzoni.

Nakumbusha tena mimi na Mercy hatukupenda sana ngono kwahiyo tulikuwa tunakutana mara chache sana kwa semester tulikuwa tunaweza kukutana hata mara moja au mbili tu kwahiyo hatukuwa watu wa kugegedana sana.

Ratiba yangu kila siku ilikuwa ni kumpitia mpenz wangu na baik yangu kwenda chuo.

Niliwambia kwamba wanawake ni watu wa ajabu sana wanapenda vitu vya kijinga kijinga.
Ile baik iliniletea madem wengi mpka mwaka wa 3 yani walikuwa wanamuonea wivu Mercy kubebwa kwenye baik. Wengine walithubutu kunitongoza kabisa kisa ile lifestyle yangu na Mercy. Kulikuwa na pisi moja tulikuwa tunasoma nayo inaitwa Nurati ilinisumbua sana mpka Mercy akajua wakaznguana na kiukweli tulivokuwa tunapendana sikuweza kumsaliti mpenzi wangu.

Ile semester ya kwanza mwaka wa 2 tuliamua kushona sare ya vitenge mimi na Mercy hii ndo iliwamaliza kabisa wanafunzi wenzetu mpak wakawa wakituona wanasema et wanatupenda tusije kugombana n wengine wakawa wanatula kisogo walikuwa hawapendi sisi kupendana vile.

Mimi na Mercy tulikuwa tunapiga hesabu ya chakula na maji na mahitaj mengine kila mwez yani mfano tulikuwa tukipata hesabu inakuja labda laki 2.5 au mbili basi mimi nilikuwa natoa 2/3 yeye 1/3 mimi ndo nilipendekeza hivi ili kuweka heshima kama mwanaume. Tulikuwa tunapiga pamoja hasa kwake ili kupunguza bajet.

Tuliishi maisha mazuri sana na tuliahidiana kuona mimi na Mercy wangu lakini mwisho wa siku nikaamini ule msemo kwamba YA MUNGU NI MENGI na MIPANGO YAKE NI TOFAUTI NA MATAKWA YETU.

Let's meet badae kidogo.......
Chuo
MUCE
Mwalimu wa chemistry.
 
Back
Top Bottom