Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
HahahaaaHahaha sio mimi😀😀😀
Ila ntakuja PM
Ni wewe kweli, hilo jibu la kukataa huku ukionesha kukubali ndio jibu sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaaaHahaha sio mimi😀😀😀
Ila ntakuja PM
Mapenzi yatanimalizaUshaelekea kibla wewe.
Umecheka kwenye sms kule juu ulipopakata.
Chini Mercy kakuambia "Asante Baby/Mume wangu" 😂😂😂😂
Anza kutuletea Part II tu.
Hakika ila mapenzi shikamooSasa tumeshakusajiri rasmi kwenye kambi ya ukomavu.
Ulianza kufeli Hapa.Vita ya Kugombea Mwanamke huwa ni vita ya HISIA zaidi na SIO PhysicalTuendeleee.....
Ile text ya jamaa ilinitoa mchezoni kidizain nikaona jamaa anaenda kuharibu furaha yangu na maisha yangu.
Nilipata wazo la kuchukua namba yake ili nimtafute tuongee kama wanaume.
Nilimchek kesho yake baada ya Ile siku alotuma text.
Nikampigia nikamueleza politely nakumbuka niliwambia maneno haya "wewe tayar ni Dokta means ushatimiza baadhi ya ndoto zako na unachanzo kizuri cha uchumi, ebu naomba kama unampango wa kumtaka Mercy kimapenz achana naye yule ni wangu na tuna ndoto nyingi na malengo mengine ukimchukua yule mimi sidhani hata kama chuo nitamaliza najua nitachanganyikiea then nitadisco"
Jamaa alicheka sana mpka nikajiona kam nimejishusha sana na nimekubali kupoteza mpambano.
Dokta alinijibu akasema, "dogo kama lengo lako ni kusoma basi soma ila kama umekuja chuo kutafuta mke basi safar yako ni ngumu sana.
Nikaona Dokta kadhamilia nikakata cm.
Nikawaza nifanyaje. Kumbuka huo ni mwaka wa3 tuenda kumaliza sem1.
Siku Ile niliwaza mambo mawili.
Moja niliwaza nimpige mimba Mercy ili nijihakikishie ushindi ndani ya dk90 ili mimi na Dokta tusiende mpka penat.
Swala la pili, pale napoishi ninabraza ambaye anafanya kaz tanapa huwa anakuja mara moja Moja sana mara nyingi anakuwa kazini maporini huko kuna makambi yao. Sasa kwa mwez ule jamaa alikuepo ni bro ambaye tunaheshimiana sana mpka sasa na jina lake siwez kuliweka wazi. Huyu mwamba alinisaidia pakubwa.
Niliwaza hukumshirikisha mwamba, of course ni muhuni muhuni na sigara kubwa alikuwa anapeleka sana sana yani nilikuwa niliingia kwake kwanzia seburen mpka chooni ni harufu ya ganja tu.
Nilimshirikisha kuhusu Dokta kisha nikampa wazo kwamba tumtafute yule Dokta Ile yeye brother amwambie tena aachane ma Mercy maana kwa yale maneno yake siku ile nilipompigia yalinitoa relini kabisa.
Huyu brother anagari yake moja Subaru Forester, kwahiyo siku hiyo akanambia inabid tumtafute physically sio kwenye cm tena. Nikaona wazo zuri, nakumbuka ilikuwa weekend Mercy yupo kwake mimi nipo magetoni.
Tulijiandaa tukachukua kigari chetu tukasepa town. Nilimuelekeza brother office ya Dokta na jinsi alivo ili aende kumchek kama kaingia asubuh au anashift ya saa6 mchana. Maana siku Ile tulivoenda na Mercy niligundua kwamba pale kuna shifts, yani asubuh mpka saa6 anatoka mtu anaingia mwingine.
Bahati nzuri brother alimkuta yule Dokta yupo kazini na muda ule ilikuwa kaka saa4 na nusu hivi.
Tuliamua kwenda juice point Moja ipo karibu na hosii tukakaa tukawa tunapata juice huku tunasbr jamaa atoke tumdake.
Tulikaa sana, kufika saa sita kasoro tukamuona katoka. Alikuwa anaongea na cm basi nasisi tukasogea karibu yake.
Alipomaliza kuongea na cm tukamsemesha tukamuomba tuongee naye.
Hakuwa na hiana kasogea tulipo.
Tukasalimiana naye tena pale then bro akamuliza kama Dokta ananikumbuka akasema hana kumbukumbu vizur.
Nikaona so kesi nikamuelekeza akasema kanikumbuka tyr.
Basi bro akaanza kuongea pale. Kikubwa alichomwambia Dokta ni kwamba mimi ni mdogo wake. Na anajua kuwa Nina mpenzi anaitwa Mercy na tunapendana sana. Bro akamuomba kistarab kwamba hakuna haja ya vita kuoneshana nani zaid ila kama Dokta akishindwa kuwa muelewa basi hata sisi vita tunaiweza. Bro aliongea huku anatabasam then ghafla tukamuaga bro akamuomba azingatie between the lines yake maneno aloambiwa. Then tukapanda kigari chetu tukaishia mbali.
Nilimshukuru sana bro na hapo nikajisemea kuwa tyr vita nishashinda na Dokta kashaweka silaha begani.
Kipindi tupo njiani bro aliniomba twende mpka kwa Mercy akamchek maana toka bro aje safar ile hakuwah kuonana na Mercy. Tulipita dukani kununua yoghurt na mkate tukanyooka mpka kwa Mercy. Tulipofika getini nikamchek akatoka, tulikuwa katika gari bado kwahyo alivoiona gari akajua kabisa tutakuwemo ndani.
Alisogea nikafungua akaingia. Wakasalimiana, kapewa yoghurt yake na mkate tukasema sisi hatuingii ndani nikamuahid kurud badae. Mercy alifurahi sana bas tukageuza kurud home.
Kumbuka hiyo michongo yote na misuguana na Dokta Mercy hakuwa anajua. Niliamua kupigana vita kimya kimya.
See you..............
===
Muendelezo soma Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy
Sisi tumetimiza wajibu wetu wa kukushauri.Mapenzi yatanimaliza
Wote tushapigwa na vitu vizito hatujapata muda tu wakuandika kama hivi....Hakika ila mapenzi shikamoo
Mkuu napenda tuelimishane ili namimi nipate uelewa..Condition yake aliyosimulia lazima tujue ilikuwa ni Artane.
Mara nyingi side effects za dawa nyingi hufanana ila hutofautishwa na side effects chache
Hamna chief sema tu nimemuhurumia Dogo maana hawa Machief wengine huwa wanakomoa sana vijanaHahahaaa
Ni wewe kweli, hilo jibu la kukataa huku ukionesha kukubali ndio jibu sahihi
Uko maeneo gani Tanga kiongoz? Kama ni hapa town basi nicheck inbox tukutane forodhani kupunguza machungu ya hawa jinsia nyingineKumchafua Dokta kwa mke wake ndo ningeuwasha moto zaidi.
Mercy fek alimaliza chuo pia.
Nipo kazini Tanga saizi.
Mercy yupo kwao huko kaskazini.
Madogo zake Mercy (Beata na Kiano) wananifaham na mimi nawafaham ila wazaz hapana.
Nipo na mpenzi flani wa kitanga ameajiriwa ni mwalim.
Sijui kama Dokta anahudumia au lah na sijawahi kumuuliza Mercy juu ya hili.
TANGA-KOROGWEUko maeneo gani Tanga kiongoz? Kama ni hapa town basi nicheck inbox tukutane forodhani kupunguza machungu ya hawa jinsia nyingine
Kuna msemo sikio la kufa halisikii dawa, but kama unataka kuishi maisha ya amani hapa duniani mpaka siku Muumba wako atakapokuita, ACHANA NA MERCY, MSAHAU MERCY, ACHA UKARIBU WA AINA YOYOTE NA MERCY, HESABU HAKUWA FUNGU LAKO. Lakini if you ever, ever marry her atakuwa kaburi lako. You knw why? ameshaujua udhaifu wako, so she knws how to manupulate you and how to control you. Na sisi wanawake tukishajua kuvitumia hivyo vitu kwa mwanaume AMEISHA.TANGA-KOROGWE
Nimekupata nashukuruKuna msemo sikio la kufa halisikii dawa, but kama unataka kuishi maisha ya amani hapa duniani mpaka siku Muumba wako atakapokuita, ACHANA NA MERCY, MSAHAU MERCY, ACHA UKARIBU WA AINA YOYOTE NA MERCY, HESABU HAKUWA FUNGU LAKO. Lakini if you ever, ever marry her atakuwa kaburi lako. You knw why? ameshaujua udhaifu wako, so she knws how to manupulate you and how to control you. Na sisi wanawake tukishajua kuvitumia hivyo vitu kwa mwanaume AMEISHA.
Pia kusikia kwa kenge mpaka sikio litoke damu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna msemo sikio la kufa halisikii dawa, but kama unataka kuishi maisha ya amani hapa duniani mpaka siku Muumba wako atakapokuita, ACHANA NA MERCY, MSAHAU MERCY, ACHA UKARIBU WA AINA YOYOTE NA MERCY, HESABU HAKUWA FUNGU LAKO. Lakini if you ever, ever marry her atakuwa kaburi lako. You knw why? ameshaujua udhaifu wako, so she knws how to manupulate you and how to control you. Na sisi wanawake tukishajua kuvitumia hivyo vitu kwa mwanaume AMEISHA.
Dada kazingua ikabidi Bwashee aku save maana ulikuwa unaangamia.Rafiki yangu Mbwambo alinigundua kwamba naenda kuharibikiwa, kuna siku alinifata akanambia anahitaji kuongea namimi nakumbuka ilikuwa tupo chuo kwahiyo tukapanga baada ya vipindi tutaongea wakat tunarud kitaa maana Mbwambo pia alihamia kitaa.
Nmemuonea huruma sanaKanikeraaa
Unajua zile akili za kichuochuo hiyo x-trail akipandishwa alikuwa anaona kama ya kwake vileNmemuonea huruma sana
Ila dokta Ana ujinga mwingi kaamua kumkomoa dogo
Mercy nako kajinga sana yaani kameingia Mtegoni kwa vipesa vya lunch na lift za chuo
Hafai kabisa usimuoe atakuja kukupiga tukio huko mbeleni
Dr achana na Hizo dawa,tunataka mwendekezo wa series baada ya Mercy kujifungua unampa Matunzo mtoto?au ndio anakula ugali wa Babu yake?Mkuu napenda tuelimishane ili namimi nipate uelewa..
Kwanini unafikiri Ni artane?
Alikuwa na Any condition suggestive kwako kupewa artane kama Parkinson au any stiffness?
Alikuwa na Tremors? Alikuwa Tonic Au ,Clonic?
Probably kwangu mimi ningewaza Atenolol..Kwanini?
Atenolol ni Beta Brocker na Probably Inatibu Pressure na Inareduce kama sio Kuprevent Further Effects and complication ya stroke..