Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Niliyoyaona mpaka mda huu:

Mosi, wengi wetu tunamuona mercy mbaya, huenda kweli alifanya vibaya lkn je alianza kuwa mbaya bilasababu?

Baada ya kukutana na text za ajabu ajabu toka kwa mwamba alianza kuumia na Mara nyingi alilalamika siku akichoka akija kuanza yeye asishtuke au kushangaa, kwahiyo mercy kwakifupi alilipiza baada ya mwamba kumwaga ugali yeye akamwaga mboga, kwahiyo Mercy asilaumiwe sana.

Pili, dokta alifanya aliyofanya baada kupigwa mkwala na mwamba pamoja na mzee wa miganja, kwahiyo ilikuwa iwe jua iwe mvua na kwa gharama yoyote amle mercy ili arudishe heshima yake na amefanikiwa katika hilo, ndio maana kila alipokuwa magetoni alikuwa anakutext kukwambia kuwa sasa namtafuna dem wako, na alikuwa anamleta chuo makusudi ili kuhakikisha unaumia vilivyo, hapa wachambuzi wa fasihi tunasema mhusika ameitendea haki nafasi ya uhusika wake, tumpe tu maua yake hata kama anawakera, na hapa kuna somo kubwa usiende kumpiga mkwara mwanaume mwenzako ila muombe kwa unyenyekevu akuachie kipenz chako, wanaume huwa waelewa sana.


Tatu, kwako mwandishi na mhusika mkuu wa uzi huu, ulifanya makosa kadhaa baada ya kuona viashiria ambavyo sio vizuri kwa penzi lako lkn ulivifumbia macho na mwisho wa siku ulipata ulichokipanda, hapa tunajifunza katu tusidharau dalili ndogo ndogo kwani mwisho wa siku huwa ni majuto.

Nne ,Usifanye jambo kwa hasira eti kwakuwa unataka kumkomoa mtu kwani mwisho wa siku hasira hasara, hapa mhusika mkuu ni mercy alidhani anamfundisha adabu mpenzi wake kumbe anajikaanga na mafuta yake mwenyewe.

Mwisho, mwanaume haijalishi unampenda vipi mwanamke hakikisha mda wote unabakia kuwa mwanaume kwa maamuzi na vitendo.

Ni hayo tu!
Ndio maana huwa nasema mwanaume anaanza kufikiri vizuri akiwa na umri kuanzia 30+
 
Tukupe angalizo tu:
  • Mercy hakupendi, wala usijifariji alifanya vile kwa tamaa ya pesa
  • Angekuwa anakupenda kamwe asingekusaliti, tena kwa dharau zote zile
  • Kuoa single mother ni sawa na kununua kiwanja chenye mgogoro, kamwe usithubutu
  • Mercy ni wa daktari, tayari kuna kiumbe kisichokuwa na hatia kinawaunganisha
  • Anaendelea kukutumia ili umpe faraja tu, kama wewe ungekuwa kwenye hali kama yake asingekupa nafasi
Mwisho; mkiachana halafu mkarudiana mapenzi hayawezi kuwa kama mwanzo na mara nyingi huishia kuachana tu tena.

Lightning never strikes the same place twice.

You can love again, you can do so much better without Mercy. Move on.

Thanks for an educative thread, and all the best in your endeavours.
Comment bora sana kwenye uzi huu!
👊
 
Uko sawa kabisa, me nimemwambia bwana mdogo kwamba kama bado anaumia, kisasi ni haki yake. Asogee tu handeni tumalize shughuli, huyo dokta anayejiona ana hela, akazimalizie kujitibia sasa ili akili imkae vizuri. Dawa ya moto ni moto tu.
Amchafue Dokta akili itakuwa sawa na mercy akiona Dokta ametapakaa Mitandaoni ndo atajua yupo upande gani kwako au kwa Dokta ukiona kamaindi ujue bado yupo kwa Dokta, Tumia Mercy fake kupata namba za mke wake alafu aje amtumie Whatssapp na zingine kwa Mercy utaona matokeo Hata kutafuta tena , alafu ujue mtoto ndo atakonet yote hayo ata filings zitaludi kwa dokta kwa sababu ya dokta
 
Tuendeleee.......

Hapa nikaona kabisa Mercy hakuwa na mapenz na Dokta ila shida ni tamaa za pesa na Dokta alikuwa hana mpango wa kumuoa Mercy ila alihitaji kunikomoa tu. Nilihisi vile baadae baada ya siku moja Dokta kunitumia ujumbe "dogo wanaume tushafanya yetu ole wake hiyo mimba mkaitoe".

Hii text alinitumia siku moja kabla ya Mercy kufanya jaribio la kuitoa ile mimba. Hii text sikumuonesha Mercy niliona kama ntamchanganya tu na Haina maana.

DOKTA ALIMTIA MERCY MIMBA KWA MAKUSUDI NA ALIMLAGHAI KWA PESA ZAKE, HII KITU MERCY MWENYEWE NDO ALINAMBIA.

Niliwaza kama Mercy alikuwa hampendi Dokta ni kwanini alikubali kufanya nae tena kavu siku zake za hatari. Sikupata majibu sahihi nikaamua kuipotezea tu japo niliishia kuamini kuwa pesa ndo ilimshawishi Mercy mpka kubeba mimba.

Swala la Mercy kwenda namimi kwao akanitambulishe sikulikubali niliona Mercy hajafikiria kwa kutuliza akili na pia binafsi sikuwa tayar kuoa mwanamke mwenye mtoto.

SIKU YA KUAGANA NA MERCY ILIKUWA NI MAJONZI SANA.

Nilimsindikiza stand akapanda bus kuelekea kwao. Mimi naye nilibaki kwanza pale town kuna mambo yangu nilikuwa nayafatilia.

Nilikaa kama mwezi hivi ukizingatia hata kodi yangu bado ilikuwa inasoma. Kipindi kile nipo bado pale town niliamua nimtafute Merry, Merry alikuwa tayar kashaondoka kwenda Field alienda mkoa wa dodoma. Nilipomaliza mishe zangu nikapak vitu vyangu nikaondoka nyumbani namimi.

Mawasiliano na Mercy yaliendelea ila upande wangu nilianza kuona Haina tena haja ya kumtafuta mara kwa mara ila yeye alikuwa ananitafuta sana ananisihi nimuoe hata kama bado sijajipanga yeye kwao pesa so shida sana. Aliahidi ataomba pesa ya mtaji tuanze kuzichanga mdogo mdogo ila mimi nikaona kabisa Mercy nikimuoa na tayari kazaa na Dokta nitakua nimejitia kitanzi na kujibuturia kistuli mwenyewe.

Matokeo ya semester ya mwsho yalitoka na mimi na Mercy sote tulifaulu vizur hakukuwa na mtu mwenye kimeo.
Japo nilikuwa bado naumia kumkosa Mercy lawama zangu zote nilizielekezea kwa Dokta na niliahidi kutokuja kumsamehe yule jamaa.

Ilikuwa mwez wa1 mwaka jana Mercy alijifungua mtoto wa kiume na anamuita Johnson, still Mercy ananisisitizia nimuoe lakini bado sioni kama kumuoa Mercy nitakuwa nimefanya jambo la msingi.

Mimi naye hali yangu ya kiafya ilichange ghafla nakumbuka ilikuwa mwez wa 12, 2022 hata graduation sikufanya, nilipatwa na kama kistroke flan yani upande wa kushoto haukuwa sawa. Nilishindwa kutembea, nilipoteza uwezo wa kuongea kwa takriban wiki Moja yani mdomo ulikuwa mzito sana ila nilikuwa natumia maandishi nilipokuwa nahitaji kuongea na mtu.

Nilipelekwa hospital nashukuru Mungu pamoja na madaktari walifanikisha kunipa huduma nikarudi katika hali yangu ya kawaida.
Nilitumia madawa tofaut tofaut ila kuna hiyo moja siwez isahau. Najua kuna wataalam wa afya humu wanaijua vizuri inaitwa "Aten" sijajua kama ndo jina linaishia hapo au linakirefu chake. Hii dawa bhna nakumbuka siku hiyo nilikuwa bado siwez kuongea mtaalam akaagiza ikachukuliwe hii dawa, ni tu vidonge tudogo sana kiumbo, niliambiwa nimeze kamoja tu kwa siku ila mziki wake hii dawa sio wa kitoto.

Hii dawa ukiitumia inakufanya upate ham ya kuongea, inakufanya ujihisi raha yani sinywi na sijawahi kutumia pombe lakini nature ya hii dawa inataka ifanane na tabia ya pombe. Nilikuwa naambiwa nimeze kimoja kwa siku lakini nilikuwa nataman nipige hata tutatu kwasababu yani vilikuwa vinanichangamsha kwanzia kichwani mpka sehem zingine za mwili.

Nilipona kabisa na mpka sasa niko poa.
Mercy naye anaendelea vizuri na mtoto wake na kila siku ananitafuta (hata asubuhi hii kashanitumia text) tunaongea na kuchat saana. Kila siku ananikumbusha kuhusu swala la ndoa na anasisitiza sana nimuoe kwani ananipenda lakini mimi bado sipo tayar kwasababu Mercy tayar anamtoto na sio mtoto tu ila mtoto ni wa Dokta mtu mwenye ROHO mbaya.

NIKIONA KUNA HAJA YA KULETA MREJESHO JUU YA MIMI NA MERCY BASI NITARUDI KUWAPA MREJESHO JUU YA NINI KINAENDELEA LAKINI MIMI BADO SIONI KAMA NINAWEZA KUMUOA MERCY.

Naomba kufunga Uzi wangu kwa kuwashukuru nyote na nawatakia kila lakheri katika safari yenu hapa duniani hasa katika ulimwengu wa mapenzi.

AHSANTENI 🫶🫶🫶.
Huu uz
 
Kwenye kupendana hapa ni uongo huyu dogo ndio anampenda merc.


Merce alikua hampendi huyu dogo merce alikua anamtumia tu huyu dogo na alikua anamtumia kwenye masomo tu.

Merc angempenda huyu dogo basi asinge kubali wapange vyumba tofauti na mbali. Na hii ilikua ni red flags kwa dogo.

Mwanamke akikupenda hakubanii mbunye ni wewe tu na nguvu zako na atakusumbua sana umgonge ila dogo anajisifia hapa kwa semester wanadinyana mara mbili tu yaani wanadinyana mara mbili ndani ya miezi minne [emoji23][emoji23][emoji23] hii ni dhahiri merc hakua na hisia za kimapenzi na huyo dogo.

Tukija kwenye hela tulio bahatika kupendwa na wanake tunajua mwanamke ndio mhongaji mkubwa pale alipo penda yaani atafanya kila kitu hata boom lake angekupa kadi yake uwe ndio controla wa kila kitu. Ila hapa naona uliteseka kipesa wakati wote wawili mlikua na boom na bado unadai kwa akina merc mpunga upo.

.....kiufupi tu ni kwamba tumuambie huyu dogo kuwa Merc hajawahi kukupenda ila alikua anakutumia tu na kakutumia na kukufuja haswa.

.....the good things is bado anaendelea kukutumia saizi kumliwaza na stress zake za usingo maza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

.....we dogo baba yako na mama yako hawakukuleta duniani kwa ajiri ya kuja kutumikia huyo paka poli by name of love wakeup.

.....Halafu usivyo na aibu wewe ndio unajichatisha sana kuliko merc we dogo vipi....? Wenzio kwenye maji tunazama wewe unaelea vipi wewe ni nani......? Diver au boya bila shaka wewe ni BOYA maana unavinasaba vyote vya uboya.


MERCE HAKUPENDI WE MBWA ANAKUTUMIA TU.
Katika wote we ndo umeongea sasa, hadi natamani nikutumie bando, yaani hilo dogo likimuoa mercy, litakuwa ni lipumbavu kuliko mipumbavu yote ulinwenguni.

Kwanza hasemi kama kapata demu au hajapata, pia kama kapata kazi/kajiajiri na kujipata au la.
 
Kila siku ananikumbusha kuhusu swala la ndoa na anasisitiza sana nimuoe kwani ananipenda lakini mimi bado sipo tayar kwasababu Mercy tayar anamtoto na sio mtoto tu ila mtoto ni wa Dokta mtu mwenye ROHO mbaya


Wewe ulifaa kumrise huyu dogo ili baraka na kisasi Cha wema uishi like nothing happened before, kama kakufanyia ubaya yeye atajijua na MUNGU wake as longer as unampenda demi wako ilifaa umchukue tu KULIKO kuumia moyo na umri huo
Unamshauri mtoto upumbavu kishenzi mwanangu.
 
Back
Top Bottom