Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Hapo hakuna namna... Ni kumshauri tu aende na chandarua... Hata tunaolala nyumbani tuna-risk ya mbu, ndio maana tunatumia vyandarua nyumbani.
Mbona hamsemi polisi anaaelala kwenye mbu . Analinde fedha zisiobiwe wakati mfukoni hana kitu?

Je, huyu Dr waweza mlinganisha na polisinkwa risk?
Mbona hamsemi polisi anaaelala kwenye mbu . Analinde fedha zisiobiwe wakati mfukoni hana kitu?

Je, huyu Dr waweza mlinganisha na polisinkwa risk?
 
Asa hao wahandisi hawastahil bhana
 
Hizo dawa, peni, karatasi, machine na vifaa mbalimbali anavyotumia huyo daktari kwenye kazi yake vimetengenezwa na Engineer's sasa sijui bila engineers huyo daktari angefanya kazi gani kama si kuwa mganga wa kienyeji na kuanzia kuchimba mizizi na mawe... Brother Respect Engineers achana na hizi siasa za Africa..
 
We mnafiki.
Tokalin engineer atengeneze dawa?
Asa pharmacist kaz yake nn km engineer atatengeneza dawa?
Engineer anajenga vtu vichache sana ktk vifaa tiba most vya vilivyobak mafamasia,
Au unataka kusema keko pharmaceuticals kuna ma engineer?
Broo umefula
 
Bro embu kuwa na elimu na kitu ndio uongee.
Dawa ya graseofulvin na engineer wapi na wapi?!
Anaetufanya sisi tufanye kaz mfamasia sio engineer.
Duuuh baba uinjinia na madawa wapi na wapi.!?
 

= gross

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Hahaha hiyo ni business mkuu.
Hata mm nikiamua kuanzisha medical lab huku na pharmacy pembeni.
Napata mara mbili kwa mwezi au mara tatu ya huyo muuza nyama.
Mtoa mada hakutamka kuwa ni daktari. Wenye mawazo finyu ndio mmemfanya aonekane daktari na kuifanya mada iwe ya madaktari vs mainjinia. Kama unaringishia mil 5 kwa mwezi hapa kuna muuza nyanya amesema anapa mil 8 kwa mwezi.
 
Ila kaka usimdharau clinical officer kusema huoni.kaz yake.
Maana wao ndio wanatumikishwa kuliko madaktari wengine
 
Mbona hamumtaji bwana polisi, jinsi alivyo muhimu katika jamii huku akiwa na mshahara kiduunchuu!
 
Kusema mazingira magumu mm nakataa,daktari ana mazingira magumu zaidi ya engineer kwa sababu n muda wowote doctor yuko more prone kufa kwa kuambukizwa magonjwa ya anaowatibu....yanapotokea magonjwa kama dengue hemmorhagic fever,Ebola,Rift valley n.k watu wa kwanza kuwazika ni madaktari na manesi...pia madokta wako prone kuambukizwa magonjwa hatari kama homa ya INI na ukimwi kutokana na kazi zao,yaan kiufupi udaktari na uanajeshi kufa n sekunde tu......so engineer hafikii ugumu wa dokta kwa mazingira....hilo LA kusimamia miradi mikubwa siwez kulisemea,labda inawezekana ila LA mazingira magumu nakataa mpk nakufa
 
We join medical school sio kwa lengo LA kupata pesa mkuu.....HV kuna furaha gan kumuacha mkeo SAA Tisa usiku kama huu muda unaenda kumuattend mgonjwa aliye kwenye critical conditions???
Mm nadhan watu hamjaumwa seriously,siku mkiumwa mtajionea nn wenyewe.....no money is worth than leaving ur family to save a patient whom u don't know....
 
Sababu kubwa inayofanya md wana~refer patients to high hospitals kama muhimbili sio kwamba hawajui kutibu bali pia zko sababu nyingne kama vile uhaba wa vifaa vya uchunguzi....kuna magonjwa ni easy kuyadiagnose but difficult to confirm...mfano magonjwa ya moyo unahitaji ECG au ECHO,cancer nying utahitaj ct scan,MRI n.k plus electron microscope... HV vifaa havipo hospital nying za huko mikoani,vingi viko Muhimbili national hospital...ingawa history taking makes doctors reach a diagnosis in more than 70%, u however need a power of investigation either lab or radiology inv to confirm ur DX......ndio maana referred patients more than 90% wanakuja mnh wakiwa tyr na DX kwenye karatasi,all they want is management ambayo inahitaj higher investigation zaidi,we don't treat by guessing jmn......
 
Sasa mbona unaowatetea hawapati hata nusu ya hiyo
Na umesikia hapa hapa kwamba kuna madaktari wengine wako hapa hapa bongo na wanakula 4m + na kuna civil wanakula 5m+
Maisha sio kushindana...mbona mbunge msukuma anakuka more than 10 million na kaishia std seven tu......think again mkuu....

Mshahara mkubwa haumaanishi kazi n ngumu
 
Madaktari hatuwez kuwa matajiri coz muda mwingi tunatumia kwa wagonjwa..muda wa deals zngine n kaz kuupata...tukifanya HVO death rate itaongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…