Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Acha kupotosha. MD wanasoma miaka 2 tu darasani (basic sciences) na wahandisi miaka 4 darasani! Miaka 3 ya MD ni clinical rotations. Umezungumzia interniship unasahau kuwa Mhandisi lazima naye anatakiwa kuwa registered?
Unajua unachokiongea? Unamaanisha ulichokisema?
Ngoja nikufungue kidogo,mitaala ya MD sio yote wanaanza rotation mwaka wa 3, kuna some variations katika masomo kulingana na chuo.

Unaelewa maana ya Internship? Licha ya kuwa anafanya kazi lakini anaweza akabakishwa vile vile na machief. Unaelewa tafsiri yake?!

Jifunze kuelewa kilichoelezwa na sio kukurupuka. Sipo hapa kubishana.
 
Nyie infrastructures zote mnatengenezewa na engineers... Hebu waheshimuni basi eboooo!!!
Mkuu sikudharau taaluma yoyote na siwezi kufanya hivyo kwasababu naheshimu mapitio ya mtu katika kupambania ndoto zake.

Pitia text za nyuma utaona nimemquote nani na kwanini imepelekea kuandika hivyo..!
 
ALIEKWAMBIA WALIMU WANALIPWA VIZURI NANI,
KAKUDANGANYA FANYA UCHUNGUZI
 
Acha kupotosha. MD wanasoma miaka 2 tu darasani (basic sciences) na wahandisi miaka 4 darasani! Miaka 3 ya MD ni clinical rotations. Umezungumzia interniship unasahau kuwa Mhandisi lazima naye anatakiwa kuwa registered?
Hivi na mhandisi mpaka awe registered anafanya internship na kuwa assesed kisha kupewa marks chini ya uangalizi maalum?!
 
Kazi nzuri kuliko zote duniani kuwa mfanyabiashara tu. Tusarary vyenu tunavipata kwa saa moja.
 
Bifu LA na maengineer na madaktari haliwezi kufikia suluhu....n heri niishie hapa tu mkuu....tufanye umeshinda....
 
Kinachofanya watu wenye pesa kutokulazwa hospital za nchini ni zilezile nilizosema awali mkuu.....yaan sababu ya MTU kupewa rufaa ya kwenda India n nyingi ila sababu mojawapo n uhaba wa vifaa tiba na madawa vilivyopo hapa nchini sasa kwa MTU aliye third world na ana hela zake n lazma aende first world....hebu imagine MRI iko hospital moja tu ya serikali ambayo n muhimbili na wagonjwa wote watumie hyo moja can u imagine the queue?? Ndio maana wenye pesa wanaenda ulaya coz kule technology za kitabibu sio kama kwetu na ndio maana akienda kule ulaya anaenda na diagnosis ishaandikwa kuwa anaumwa nn,kama ingekuwa we doctors wa third world hatujui tusingekuwa na uwezo wa kuandika hata hzo diagnosis wanazoenda nazo huko first world...cc shida n upungufu wa technology tu uliochangiwa na mainjinia uchwara wenye vyeti ila wameshindwa kugundua na kutengeneza vifaa Tiba vya kisasa kama mainjinia wa nchi zngne wanavyofanya.....

Hawa injinia wetu ndio chanzo cha cc kuwa nyuma....hawachakati akili zao sawasawa kugundua vifaa vya uchunguzi,wapo tu kusubiri pesa za kuibaiba huko wanakotumikishwa na wachina tu.....bullshit
 
Halafi huyo mbona mwongo hihvyo.
Engineer na dawa wap na wap?!
Engineer anatengeneza baadhi ya vifaa tiba most of vilivyobaki ni mfamasia embu mwambie aache uongo huyo
Kila mtu ni bora kwa nafasi yake...!! Yani hakuna aliebora wala mwenye Umuhimu mkubwa kuliko Mwingine.
 
Asa hao biomedical engineers unajua wananasibishwa na kina nan.?!
Na wanasomea mchepuo upi?!
Hawasomei mchepuo wa wahandisi wa PCM au PGM ni PCB mkuu na hasa chemistry ndio inahusika 90% na hao ni kule kule mafamasia tyuuu.
Pharmaceuticals ina uwanda mpana kaichunguze vema sawa mkuu.
Hapa tunawaongelea wahandisi huyo biochemical engineer uliyemtaja hapishani na sis ktk kusoma na pia lazma kipengele cha pharmacology akisome ambayo ni muhimili wa pharmaceuticals science
Sisi tunawazungumzia wahandisi
Biomedical Engineers google ujue wanafanya kazi gani?.
Au unahisi hizi penicillin, amoxillin etc zinazozalishwa kwa fermentation, pharmasist ndo wanarun zile fermenter?.
 
Mkuu Umeshinda.
Ila ungekuwa unakurupushwa night tena mid night mgonjwa kapaliwa damu hospital uende ungeisoma number
Huijui Engineering wewe, naweza kukwambia ndio fani inayoongoza watu kuwa macho muda wote..
 
MUHAS Curriculum ndiyo reference point yangu. MD ni kozi ya miaka miwili darasani tu
 
Nahi nahisi tungeanza kwanza na mishahara ya waalim....iyo 1.5M ya madaktar angalau inatosha lakini waalim hasahasa waliosoma kwa mkopo wa serikali wanaishia kuwa na mshahara wa laki 4....sasa unajiuliza kwa maisha ya sasa laki 4 kwa mwezi itakusaidia nini
 
Namshangaa ety.
Engineer na pharmacology wapi na wapi huyu jamaa.
 
Kaka umefuatilia ama story za vijiwenu unakurupuka tyuu?!
Acha utani wako mazee
Acha kupotosha. MD wanasoma miaka 2 tu darasani (basic sciences) na wahandisi miaka 4 darasani! Miaka 3 ya MD ni clinical rotations. Umezungumzia interniship unasahau kuwa Mhandisi lazima naye anatakiwa kuwa registered?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…