chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Unajua unachokiongea? Unamaanisha ulichokisema?Acha kupotosha. MD wanasoma miaka 2 tu darasani (basic sciences) na wahandisi miaka 4 darasani! Miaka 3 ya MD ni clinical rotations. Umezungumzia interniship unasahau kuwa Mhandisi lazima naye anatakiwa kuwa registered?
Ngoja nikufungue kidogo,mitaala ya MD sio yote wanaanza rotation mwaka wa 3, kuna some variations katika masomo kulingana na chuo.
Unaelewa maana ya Internship? Licha ya kuwa anafanya kazi lakini anaweza akabakishwa vile vile na machief. Unaelewa tafsiri yake?!
Jifunze kuelewa kilichoelezwa na sio kukurupuka. Sipo hapa kubishana.