Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Asa pharmaceuticals inahusiana nn na ma Engineer?!
Ushataja pharmaceuticals.
Then hiko kifaa hakijiendeshi mzee sawa.
Kuiunda hyo sindano sio kaz kama kumshona mtu utumbo wake mazeh
 
Mwalim wa kulipwa hela nyingi labda mwalimu wa udaktari chuoni.
Ila sio eti mwalim wa physics au biology o,level noop.
Hao wa o,level laki sita zinawatosha.
Sijui nikutukane tusi gani? Hivi mtu anaweza kukufundisha kuendesha gari wakati hajui kuendesha gari?
 
Tatizo linalokukwamisha wew usimtibu tajiri au kiongozi hapa, ndio hilo hilo linalomfanya engineer akashindwa kugundua hivyo vitu hapa bongo, KUKOSA VIFAA NA FUND kwaajiri ya kufanyia hizo experiment za ugunduzi.
 
Muongo wewe.
Hiv maana ya prescription unaijua.?!
Hivyo vifaa tiba ni vya kurahisisha matibabu.
Anaetufanya tufanye kazi ni pharmacist mtengenezaji madawa maana sisi tunaweza kugundua ugonjwa wa mtu kwa prescribing basi.
Na tukamwandikia dawa na akatumia akapona.
Ila dawa ni kaz ya pharmacist hao ndio wanatufanya tufanye kazi.
Halafu bila kusahau ugonjwa mpya unapolipuka sisi madaktari ndio tunaoitwa kufanya uchunguzi sio ma engineer.
Unakurupuka na kuongea pasi na logic maalum.
Vifaa tiba hvyo vinarahisisha kaz km machines zinavyo simplify work.ila sio ku do work completely
 
Halafu ww acha kutudanganya.
Hujui kitu kuhusu udaktari una uwanda mpana.
Maana daktari anasomea hadi plant physiology mkuu huwez mshinda ktk diagnosis wewe unda unda machuma inatosha usiende mbali na kusema vitu ambavyo elimu navyo huna.
Kam hujui daktari anasomea generally kila kitu hadi kuhusu vifaa tiba.
Ndio maana ana uwezo wa kugundua kama kina matatizo au laa.
Na ndio maana doctor anaweza kujua kuhusu madawa ama laa.
Mwaka wa pili wa medicine mtu anasomea pharmacology ambayo unasema wanasomea engineers akat wanasomea pharmacists.
Sisi ni uwanda mpana mzee
 
Mungu akubariki sana ndugu.Baada ya kuisoma comment yako hii,nimejikuta naifurahia Jumapili yangu vyema.
 
MUHAS Curriculum ndiyo reference point yangu. MD ni kozi ya miaka miwili darasani tu
Unakosea sana kusema HV....muhas unasoma two years za basic science then 3 years za clinical rotation plus basic science pia,yaan unasoma na theory za magonjwa mengine zaidi in more details ,ukiwa mwaka wa tatu mfano utasoma Internal medicine, paediatrics, obs and gynaecology then survey..mwaka wa NNE kuna kozi kama ENT,psychiatry n.k na kote huko mnakaa darasani vya kutosha.....usiongee usichokijua....
 
Ungemwacha na anachokishadadia mkuu. Sikutaka kumjibu kwasababu hajui kitu kuhusu Medical school
 
Medicine imekuwa ikitegemea Engineers( Bio,Electric,Structural,Hydraulics,Robotics etc) kwa kipindi kirefu na bado kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kazi za hawa mafundi na udaktari,na kila miaka inavyoenda utaona kwamba engineers wamekua ni chachu za inventions ambazo zimeleta mapinduzi ktk sekta ya afya( CT SCAN,PET SCANS,MRI,ECHO,ECG,ENDOSCOPES,DNA MACHINES,RAPID RESPONSE LAB MACHINES,RADIOTHERAPY MACHINES,ANAESTHESIA MACHINES na list inaendelea...hapa utaona kwamba kila siku zinavyoenda mafundi wanazidi kurahisisha kazi ya diagnosis ya magonjwa mbalimbali....hapa naongelea acurracy(Sensitivity na Specificity).Lakini yote haya hayatoi nafasi kuona daktari ni chini ya engineer whatsoever!!kila kazi ina maana kwa nafasi yake na wakati wake....heshima kwa Engineers na Madaktari mnastahili pongezi za dhati kwa kazi zenu.
 
Ni kweli kabisa, ila sasa unapofanya kazi ya ndoto zako usianze kulalamika kwamba kwanini wanaofanya kazi zingine wanalipwa mshahara mkubwa zaidi yako ( ambao kwa mtazamo wako ulipaswa kuwazidi mashahara) .
Kufanya kazi ya ndoto zako kusiwe kisingizio cha kukandamiza fani zingine hasa madaktari na walimu
 
Kwamba kwa vile wafanyakazi wa afya na walimu ni wengi hivyo walipwe kiduchu ila hao wengine wachache walipwe zaidi
Nonsense
 
Biomedical Engineer.
Mhandisi ni kiswahili
Engineer ni kiingereza
Au mhandisi gani unayemjua, usikute unajua Engineering ni kujenga barabara tu. Engineering is very wide kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…