Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Kwamba kwa vile wafanyakazi wa afya na walimu ni wengi hivyo walipwe kiduchu ila hao wengine wachache walipwe zaidi
Nonsense
Mburukenge wewe unaleta emotions..Unataka kulazimisha hoja dhaifuuu..Jifunze kujenga hoja....Emotions za kuzidiwa mshahara na mainjinia wa TANROADS ndo zinakuongozaa. . 😀😀😀😀
 
Sasa si bora hao wanapata hiyo, huyo aliyewawezesha mpaka wakajua kusoma na kuandika analipwa sh ngapi!?
Mkuu huyo atalipwa peponi,ualimu ni wito,hivyo wawe Walpole tu wakigoja peponi kukamilike wakalipwe zaidi.
 
Mburukenge wewe unaleta emotions..Unataka kulazimisha hoja dhaifuuu..Jifunze kujenga hoja....Emotions za kuzidiwa mshahara na mainjinia wa TANROADS ndo zinakuongozaa. . 😀😀😀😀
Hizo ni emotions au ndio ukweli? Kwa kazi ipi na vigezo gani hao Tanroads wanawazidi madaktari? Kule kazi wanafanya wachina kazi wanazofanya wao haziumizi kichwa kuliko madaktari sasa why walipwe zaidi?
 
Unamaanisha walimu hawana umuhimu kama matabibu ?
Wana umuhim mno,bila wao hakuna taaluma au wataalam,Ma Dr.wapo chanzo mwalimu,mainjinia wapo chanzo mwalimu.Tatizo walimu hawanaga misimamo na maslahi yao,wakiyumbishwa kidogo tu wanabadi ata dira na malengo yao.
 
Tulia ww... Unajua vifaa unavyotumia apo hospitali vimetengenezwa na nani? Imagine kusingekuwa na ct scan... Na vifaa kama hivyo.. Kazi yako ingekuaje
 
Nimefuatilia michango yako kwenye uzi huu wewe CO nimegundua huna right information na unaongozwa na ushabiki na hisia
 
Asee biomedical engineering usifananishe na civil engineering mkuu.
Huyo biomedical engineer tunam term km pharmacist tyu kwasababu anasoma hata baadhi ya mambo tunayosoma madaktari.
Nahisi wangewaita pharmacists tyuu basi.
Au labda hukunipata vzury.
Hpa tunawazungumzia ma civil engineers maana huyo biochemical engineer team moja na sisi tu
Biomedical Engineer.
Mhandisi ni kiswahili
Engineer ni kiingereza
Au mhandisi gani unayemjua, usikute unajua Engineering ni kujenga barabara tu. Engineering is very wide kijana
 
Hvyo vinarahisisha kazi tyuu ila sio km ndio vinafanya doctors wafanye kaz completely
Tulia ww... Unajua vifaa unavyotumia apo hospitali vimetengenezwa na nani? Imagine kusingekuwa na ct scan... Na vifaa kama hivyo.. Kazi yako ingekuaje
 
Prove me wrong kaka kwa kuniletea right information mkuu.
Usinipinge tu kwa maneno kuwa naendeshwa na ushabiki ilhali ninachokielezea nimekifanyia utafit na nakifaham.
Nimefuatilia michango yako kwenye uzi huu wewe CO nimegundua huna right information na unaongozwa na ushabiki na hisia
 
Ungeanza kumfundisha Yohana mambo ya grama ndio uje kwangu

= grammar

Hapana, hiyo siyo grammar niliyokusahihisha ni wewe kufanya makosa ya kuweka L panapowekwa R.

Huo ni ujinga tu uliofundishwa na Walimu wako shuleni kwenu au ni wako mwenyewe uliojifunza kutokana na kuwa na lafdhi mbovu.
 
Mkuu..huwezi kugeneralize kwa kusema private ni 950k..Private sector mishahara ni tofauti tofauti kutegemea na sehemu husika ndio maana unaweza kuta mko ofisi moja mnafanya kazi moja ila mmoja analipwa 2M na mwingine 1M..Inategemea na wewe unavyobargain

Serikali kuu diploma zote za afya basic ni 680k
Kwa private mkuu 950,000.
Nilifanyaga mm ktk vituo vya afya vya taasis ya kiislam mkuu.
Hata mshahara wa MD wa serikali ni tofaut na private sielew kwann ipo hivi
 
Nyie wabongo mnaridhika sana. Huyo mchumi amekwishajaribu IMF, World Bank, Wall Street...? Tatizo lenu mnafikiri kazi ni BOT na TRA tu!
 
Ahaa sawa mkuu ila kwa nilipofanya kaz nilipokea hiko Haki Ya Mungu
 
Wambie wawe wazalendo Luna MTU anaitwa mtendaji kijiji anafanya kama zote katika vijiji vya mbali ila gross take ni 420000 take home. 205000 mazingira yake abovu sanaa
 
Wacha yalipwe maana siku hizi wakikutana katika vikao vyao badala wadai maslahi bora kazini wanaishia kusifia serikali, kuunga juhudi sijui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…