nsanzu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,673
- 5,402
Ni basi tu ndugu, tatizo letu kubwa tumekuwa ni wa kuangalia sana Matokeo badala ya kufukunyua Chanzo cha hayo matokeoHapo ndo utacheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni basi tu ndugu, tatizo letu kubwa tumekuwa ni wa kuangalia sana Matokeo badala ya kufukunyua Chanzo cha hayo matokeoHapo ndo utacheka
Naambiwa tu wanalipwa vizuri, hanitajii viwango wanavyolipwa wakati hapo juu kwa wengine kavitajaSwali zuri sanaa!
Mburukenge wewe unaleta emotions..Unataka kulazimisha hoja dhaifuuu..Jifunze kujenga hoja....Emotions za kuzidiwa mshahara na mainjinia wa TANROADS ndo zinakuongozaa. . 😀😀😀😀Kwamba kwa vile wafanyakazi wa afya na walimu ni wengi hivyo walipwe kiduchu ila hao wengine wachache walipwe zaidi
Nonsense
Mkuu huyo atalipwa peponi,ualimu ni wito,hivyo wawe Walpole tu wakigoja peponi kukamilike wakalipwe zaidi.Sasa si bora hao wanapata hiyo, huyo aliyewawezesha mpaka wakajua kusoma na kuandika analipwa sh ngapi!?
Hizo ni emotions au ndio ukweli? Kwa kazi ipi na vigezo gani hao Tanroads wanawazidi madaktari? Kule kazi wanafanya wachina kazi wanazofanya wao haziumizi kichwa kuliko madaktari sasa why walipwe zaidi?Mburukenge wewe unaleta emotions..Unataka kulazimisha hoja dhaifuuu..Jifunze kujenga hoja....Emotions za kuzidiwa mshahara na mainjinia wa TANROADS ndo zinakuongozaa. . 😀😀😀😀
Wana umuhim mno,bila wao hakuna taaluma au wataalam,Ma Dr.wapo chanzo mwalimu,mainjinia wapo chanzo mwalimu.Tatizo walimu hawanaga misimamo na maslahi yao,wakiyumbishwa kidogo tu wanabadi ata dira na malengo yao.Unamaanisha walimu hawana umuhimu kama matabibu ?
Inaonekana hajasoma medical ethicsUdaktari ni wito kama umesoma ili utajirike umepotea njia
Kaka nimekuelewa.
Ila hujanielewa vema
Mimi nikiwa specialist nikawa na vichaka vitatu kwa kufanya kazi masaa sita Sita mwishoni nina mshahara wa 21 million ukionganisha vichaka vitatu.
Posho za bima ya afya na za watu wa clinic bado na ukizingatia madaktari bingwa ni wachache maana inachukua miaka 9 kusomea huyo ni normal specialist.
Haya bado hujamgusia conc specialist ambaye alisomea specialization kwa miaka 3 akaongeza miaka 2 tena.
Huyo anakua km mwalimu at the same time daktari bingwa wa mabingwa na hapa bongo wapo wachache asee huyo mshahara mmoja tu ni million kumi kagusa bado wa kuwa kama mkufunzi wa madaktari wengine ni zaidi.
Tatzo engineer mpk project ije ilhali doctor daily hela zinakuja
Biomedical Engineer.
Mhandisi ni kiswahili
Engineer ni kiingereza
Au mhandisi gani unayemjua, usikute unajua Engineering ni kujenga barabara tu. Engineering is very wide kijana
Tulia ww... Unajua vifaa unavyotumia apo hospitali vimetengenezwa na nani? Imagine kusingekuwa na ct scan... Na vifaa kama hivyo.. Kazi yako ingekuaje
Nimefuatilia michango yako kwenye uzi huu wewe CO nimegundua huna right information na unaongozwa na ushabiki na hisia
Ungeanza kumfundisha Yohana mambo yagramandio uje kwangu
Kwa private mkuu 950,000.
Nilifanyaga mm ktk vituo vya afya vya taasis ya kiislam mkuu.
Hata mshahara wa MD wa serikali ni tofaut na private sielew kwann ipo hivi
Ukweli unabaki palepale utabibu ni wito tangu enzi na enzi. Hii huduma ilitolewa kwa kumpa tabibu shukran tu na si vinginevyo. Kazi ya utabibu ni ya zamani sana kadri ya ubinadamu wenyewe ulivoanza, na kwa sehemu kubwa ilitolewa kama huduma na si biashara na wagonjwa walikuwa wakitoa shukrani tu kwa tabibu husika au mkunga.
Kitu ninachokubaliana na mtoa mada ni kuwa Serikali iangalia namna ya kusawazisha mishahara kidogo kwa watumishi wa Serikali na wale serikali kuu na serikali za mitaa pamoja na wale wa kwenye taasisi. Changamoto kubwa ni kuwa watu wa taasisi Salary scales zao ni tofauti na zile watumishi wa serikali kuu na mitaa. Mfano, kuna jamaa yangu huu ni mwaka wa 6 kazini na ni degree holder amesoma economics salary yake ni laki 7 wakati mtu wa fani hiyo hiyo anaefanya kazi BOT au TRA salary yake si chini ya 1.5!
Kusema ukweli tofauti ni kubwa sana, na haifai kabisa
Mkuu..huwezi kugeneralize kwa kusema private ni 950k..Private sector mishahara ni tofauti tofauti kutegemea na sehemu husika ndio maana unaweza kuta mko ofisi moja mnafanya kazi moja ila mmoja analipwa 2M na mwingine 1M..Inategemea na wewe unavyobargain
Serikali kuu diploma zote za afya basic ni 680k
Wacha yalipwe maana siku hizi wakikutana katika vikao vyao badala wadai maslahi bora kazini wanaishia kusifia serikali, kuunga juhudi sijui!Udaktari tiba ni fani nyeti na ngumu sana lakini cha kushangaza daktari anapata salary ya Tsh.1,500,000 gloss hukuhandisi wa Civil pale TANROADS(case study) anapata 2,000,000
Clinical officer/tabibu =950,000 huku Civil Technician=1,118,000 per month
Kwa staili hii case za rushwa zitaisha huko hospitali na vituo vya afya?
Tafadhali serikali wapeni madaktari uzito unaostahili kwenye malipo,wanatumia kusoma na wanaumia kazini.
Hata kwenye stahiki za posho na benefits zingine daktari hamfikii mhandisi lakini pia mhandisi hasa wa civil wako kwenye industry ambayo possibility ya yeye kupata pesa ni kubwa kuliko watu wa afya hadi semina zije.
Chonde chonde serikali mnapopanga viwango mliangalie hili na ule mpango wa kuwianisha malipo ya wafanyakazi walio na elimu moja limeishia wapi?