ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
Zaidi ya 15,000 kwa sikuHapa ndo umeharibu kila kitu... kulipwa vizuri ndo kiwango gani!!
Risks zipi unazomaanisha?
Kila kazi ina umuhimu wake ila ualimu ni proffession inayoweza ibadili jamii kifikra na kuleta mageuzi katika nyanja zote ama kuleta taifa lisilokuwa na uelekeo.
Kwa wenye fikra fupi na kutegemea matokeo ya papo kwa papo hawawezi tambua hili.
Kwa zama hizi ambazo kila kitu lazima ugharamike maswala ya wito hayapo tena.
Waalimu kwa nyanja zote wapewe heshima na motisha kwa kazi hii..
Risk ni kama magonjwa ,hawana wikend au holidays na wako hatarini kupata magonjwa kutoka kwenu nyie wagonjwa wakati wanatekeleza majukumu yao
Wewe umelala mwenzio yuko on duty si unajua wake zenu wanazaa zaidi ucku