Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Zaidi ya 15,000 kwa siku
Risk ni kama magonjwa ,hawana wikend au holidays na wako hatarini kupata magonjwa kutoka kwenu nyie wagonjwa wakati wanatekeleza majukumu yao
Wewe umelala mwenzio yuko on duty si unajua wake zenu wanazaa zaidi ucku
 
Kinachozuia serikali kulipa kama hizo taasisi au mashirika ni nini?
Kwa nini hizi agency au taasisi au mashirika wajipangie mshahara alafu hazina ilipe tu bila kujali maslahi ya wengine?
 
Sasa unataka alipwe laki 2,mbona mbunge msukuma anapata zaidi ya milioni 8 kwa mwezi ulalamiki?acha wivu alafu sio taasisis zote mhandisi analipwa hivyo
Siasa sio kazi ya kuajiliwa na serikali bali nyie wapiga kula ndio mumewaajili kwa mshahara huo
Mimi nazungumzia mwajiri wangu serikali,afu soma upya nani amesema hayo yaliyoandikwa?
 
Kawaida Mhandisi anatumia akili kubwa kwenye kazi kuliko Daktari.

Daktari anakuuliza dalili za tatizo na kujua ugonjwa lakini Mhandisi anatumia akili nyingi kuvumbua tatizo
kituko cha mwaka
 
Kawaida Mhandisi anatumia akili kubwa kwenye kazi kuliko Daktari.

Daktari anakuuliza dalili za tatizo na kujua ugonjwa lakini Mhandisi anatumia akili nyingi kuvumbua tatizo
Hufaham kitu kuhusu taaluma ya udaktari.

Kwa hiyo operation za moyo, mgongo, kichwa n.k huwa anakuja kuzifanya engineer
 
Kawaida Mhandisi anatumia akili kubwa kwenye kazi kuliko Daktari.

Daktari anakuuliza dalili za tatizo na kujua ugonjwa lakini Mhandisi anatumia akili nyingi kuvumbua tatizo
......False!
 
Siasa sio kazi ya kuajiliwa na serikali bali nyie wapiga kula ndio mumewaajili kwa mshahara huo
Mimi nazungumzia mwajiri wangu serikali,afu soma upya nani amesema hayo yaliyoandikwa?
Kuomba rushwa ni tabia wala haihusiani na ulichokiandika
 
Hatuna gloss bali tuna gross
 
Chakula pendwa cha kuku bloila
 
Angalia muda wanaokaa darasani na kumbuka hizo ni gloss salary take home hapo ni 800,000 yaani hiyo ndio ya kuitafuta kwa miaka 5 university?
Kama haikidhi mahitaji yako acha kazi wekeza muda wako kwenye kitu unachoona kina manufaa kwako,kumbuka mshahara haujawahi kutosha matumizi
 
Eng wa bongo taka takaa tu... Yani mchina kaja Kaweka tu mabati pale Ubungo foleni kwisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Maeng wetu hakuna kitu ni mzigo tu kwa taifa..!
 
Kinachozuia serikali kulipa kama hizo taasisi au mashirika ni nini?
Kwa nini hizi agency au taasisi au mashirika wajipangie mshahara alafu hazina ilipe tu bila kujali maslahi ya wengine?
yameanzishwa na kanuni za bunge mf TANROAD hajanzisha waziri wala rais bali kanuni zake zimetungwa bungeni even namna ya mishahara kuwa hupangwa na board hujawahi sikia kamishna wa TRA kulipwa 35M kwa mwezi. zimepewa meno na bunge sio kama wewe uliopo wizarani
 
Sina hakika kama mtoa mada analijua hili,huenda kaanzisha mada pasipo tafiti za kutosha kutetea hoja yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…