Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Pale kushoto baada ya Viktoria kuna ghorofa kubwa sana liko na matege fulani(Slanted) ni kama Ghorofa 15 au 20 hivi. Ni la Mhandisi,just for your information,na ni hela za Consultancy Services tu. Achana na hawa Graduate Engineer,Engineer mbobezi anakula hela ndefu kushinda hao Madaktari,kwanza Engineers wako kwenye miradi ambayo ni Billions of Money,kwenye udaktari ni kama wito,hizo million 6 au 7 ni ndogo sana kwa Mhandisi.
 
Nilifanya kaz mkuu ya kuwa tabibu kwa mwaka na miezi kadhaa huko zahanati za morogoro za taasiis za kislam nikilipwa 950.000
Asa pengine hzo ni tasisi za kiserikali sijui lakn
 
Kasome ajali ya Chernobly ya kinu cha Nyuklia,halafu rudi hapa. Uzembe mdogo wa Engineers ulisababisha balaa ambalo mji huo haupo tena katika ramani ya dunia ya miji inayoishi binadam hapa duniani. Nakupa homework,kasome ajali hiyo,halafu urudi hapa. Kwa ufupi,kila fani hasa hizi za Sayansi zinataka utumie akili kubwa sana. Ukiona jengo la ghorofa 30 limesimama,ujue watu wametumia akili kubwa sana.
 
Nilifanya kaz mkuu ya kuwa tabibu kwa mwaka na miezi kadhaa huko zahanati za morogoro za taasiis za kislam nikilipwa 950.000
Asa pengine hzo ni tasisi za kiserikali sijui lakn
Kwa Private upo sawa. Sisi tunaongelea Serikalini.
 
Mkuu mpaka project ije sasa.
Ilhali specialist daily mkuu na ana posho kama zoteee.
Mpaka hyo project ije specialist kesha ifikia hyo million 40 na kuzidi.
Maana hapo ni mshahara tu million kumi na kitu.
Bado zile posho za upasuaji,za bima ya afya na za waliojiandikisha clinic.
Na kwa hospital za private specialists wanalipwa kwa mkataba yani kwa mgonjwa mmoja labda atalipwa elfu hamsini.
Hususan ktk magonjwa makubwa yanaopoteza malaki kutibiwa we huoni kwa siku akifikisha wagonjwa kumi basi anaenda kulala week nzima?!
Nataka nichangie kidogo.
Unafaham malipo ya Resident Eng kwenye mradi au Project Manager?
Hivi unafaham mradi mkubwa kama wa Daraja la Mkapa, Project Manager anaweza kulipwa hadi Million 40 kwa Mwezi? Na hiyo sifa ni ya Consulting Engineer.
 
Very minor kaka. Walioko kwenye game wanapiga mpunga mkubwa sana
 
Mishahara inapangwa kulingana na miaka mtu anayosoma
Kama mnaenda kufanya kazi sehemu moja labda.
Mim nimeaoma course ya miaka 3.
Kunakazi ya serikali kuu mshahara 761000,
Kunakazi ya tutorial assistant 1.6m, na kuna kazi kwenye mashirika kama ngorongoro ni 2.5m
So hoja yako hai apply endapo mtaajiriwa kwenye taasisi tofauti

Na ndio maana mtoa mada ameulizwa kwamba alete mfano ulio hai, kwamba doctor wa tfda analipwa kadhaa na mhandisi wa tfda analipwa kadhaa, ndio iwe hoja yake kuu
 
Assnte kwa kutuheshimu madaktar[emoji144]
 
Utakuwa hujui maana ya ualimu aseeeee???
 
Hilo nalielewa mkuu.
Ila kaka angu tofautisha na yule anayetakiwa aweke umakin juu ya kitu atakachotumia binadam na yule anayecheza na na maisha ya mwanadam directly.
Engineer mpk project ije aifanyie kaz.
Lakini kaka daktari daily ameletewa mtu kavimba kichwa sijui kaangukiwa na ukuta amrudishe katika hali yake kak si kitu rahisi
 
Kweli kabisa.
Mim nawashangaa sana watu, yan umeona sehem kuna hela nyingi bila misoto ya mda mrefu kuliko udaktari ambao unakaa 6 years, then unakuja kulalamika jf juu ya mishahara.

Jambo la kufanya ni kuenda kusomea uhandisi ili ulipwe hela nyingi, na sio kulalamika hapa
 
Mimi naona wanahitaji umakini wafanyapo kazi zao,chukilia wahandisi wanaounda vifaa tiba kama hawajawa makini nini kitatokea kwa mgonjwa na mtumiaji(mmoja ya watumiaji ni hao madaktari)?
 
Kaka nimekuelewa.
Ila hujanielewa vema
Mimi nikiwa specialist nikawa na vichaka vitatu kwa kufanya kazi masaa sita Sita mwishoni nina mshahara wa 21 million ukionganisha vichaka vitatu.
Posho za bima ya afya na za watu wa clinic bado na ukizingatia madaktari bingwa ni wachache maana inachukua miaka 9 kusomea huyo ni normal specialist.
Haya bado hujamgusia conc specialist ambaye alisomea specialization kwa miaka 3 akaongeza miaka 2 tena.
Huyo anakua km mwalimu at the same time daktari bingwa wa mabingwa na hapa bongo wapo wachache asee huyo mshahara mmoja tu ni million kumi kagusa bado wa kuwa kama mkufunzi wa madaktari wengine ni zaidi.
Tatzo engineer mpk project ije ilhali doctor daily hela zinakuja
 
Kila siku changamoto za kihandisi zinazaliwa na kutatuliwa. Kipekee ugumu wa kazi haupishani,kila mmoja akifanya error ni msiba. Kwa mfano Mhandisi akifanya makosa kwa daraja kama la Kigamboni au Uwanja wenye watu 20,000 kwa mfano ukafail,unajua ni msiba kiasi gani utatokea?
 
Mimi naona wote wanahitaji umakini wafanyapo kazi zao,chukilia wahandisi wanaounda vifaa tiba kama hawajawa makini nini kitatokea kwa mgonjwa na mtumiaji(mmoja ya watumiaji ni hao madaktari)?
 
Aah wanaotengeneza vifaa tiba kama x ray mashines na vifaa vya ultra sound kama watakuwa hawakuweka umakini itajulikana.
Kwasababu nachokijua mm japokuwa nimefanya kaz ya utabibu now ndio natafuta degree ya MD ni kwamba kabla haujafanya tiba huwa unaijaribu kwanza kifaa kama kipo sawa km hakipo sawa unabadilisha.
Na madhara ya vifaa tiba sio makubwa kam ya madawa wanaozalisha ma pharmacist ambao hawan utofaut mkubwa na madaktari.
Kwa uelewa wangu mkuu
Mimi naona wanahitaji umakini wafanyapo kazi zao,chukilia wahandisi wanaounda vifaa tiba kama hawajawa makini nini kitatokea kwa mgonjwa na mtumiaji(mmoja ya watumiaji ni hao madaktari)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…