Pale kushoto baada ya Viktoria kuna ghorofa kubwa sana liko na matege fulani(Slanted) ni kama Ghorofa 15 au 20 hivi. Ni la Mhandisi,just for your information,na ni hela za Consultancy Services tu. Achana na hawa Graduate Engineer,Engineer mbobezi anakula hela ndefu kushinda hao Madaktari,kwanza Engineers wako kwenye miradi ambayo ni Billions of Money,kwenye udaktari ni kama wito,hizo million 6 au 7 ni ndogo sana kwa Mhandisi.Mkuu kuhuzu hili nowadays madaktar favor ipo kuzid hao mahandisi.Labda nikikosea unirekebishe
Ukimtoa clinical officer
Kwanzia medical doctor mpk madaktari bingwa wana zile posho za kuhudumia watu waliojiandikisha bima na clinic. Na pia wanaruhusiwa kufanya kaz hospital zaidi ya moja kwasababu wanaingia kwa shift.
Asa jumlisha million 1.5 ya hospital A na ya Hospital B jumla ana million 3.Jumlisha na zile posho za bima ya afya na watu wa clinic za hospital A na B atakuwa ana pesa ngapi.
Na kwa daktari bingwa analipwa hela nyingi sana kaka.
Muhandisi yeyoye usimfananishe na daktari bingwa.
Specialist analipwa million 5 Mpk 6 kwa hospital za serikali za mtu binafsi mpk 7.
Aya akikamilisha shift za hospital mbili ZOte alizoweka mkataba jumla mwisho wa mwez ni million kumi na kitu bado posho zile za clinic na bima ya afya.
Mm ninao ndugu madaktari na wamechukua muda mfupi kupata mafanikio.
Nina baba mdogo orthopaedic surgeon alisoma miaka 9 akijiwekaz tyuu kielimu.
Baada ya kumaliza tyu akaingia muhimbili moi.
Na anafanya kazi pia Agha khan with in 3 years anatembelea BMW X 5 na audi na ana bonge bungalow na ana pharmacy pamoja na zahanati zinazomuingizia pesa chafu hakuna.
Maana watu watapungua mahotelini Lakn husikii ktk vituo vya afya wamepungua.
Daktari anayeumia ni clinical officer kwasababu anafanya kaz masaa mengi kuliko wote na analipwa mshahara wa chini laki tisa na nusu.
Ila hao wengine hususan ma specialist usiwafananishe na wahandisi kaka watakutoa damu.