daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Mhandisi wa TANROADS anatumia akili kufanya ni niKawaida Mhandisi anatumia akili kubwa kwenye kazi kuliko Daktari.
Daktari anakuuliza dalili za tatizo na kujua ugonjwa lakini Mhandisi anatumia akili nyingi kuvumbua tatizo
Vip electrical engineer anaye operate mtambo wa kufua umeme kama ule wa songas, na ghafla mtambo ukazima. Na wakati huo huo, bunge, ikulu, viwanda, mahospitalini kunategemea umeme huohuo. Unafikiria atatumia akili kiasi gani?Ktk comment uliyoboronga n hii mkuu....coz namba moja kwa ugumu duniani n MD...ugumu wa udaktar huwez kuujua wewe mgonjwa unless u attend medical school....yaan huu ulioandika n uharo
Udaktari tiba ni fani nyeti na ngumu sana lakini cha kushangaza daktari anapata salary ya Tsh.1,500,000 gloss hukuhandisi wa Civil pale TANROADS(case study) anapata 2,000,000
Clinical officer/tabibu =950,000 huku Civil Technician=1,118,000 per month
Kwa staili hii case za rushwa zitaisha huko hospitali na vituo vya afya?
Tafadhali serikali wapeni madaktari uzito unaostahili kwenye malipo,wanatumia kusoma na wanaumia kazini.
Hata kwenye stahiki za posho na benefits zingine daktari hamfikii mhandisi lakini pia mhandisi hasa wa civil wako kwenye industry ambayo possibility ya yeye kupata pesa ni kubwa kuliko watu wa afya hadi semina zije.
Chonde chonde serikali mnapopanga viwango mliangalie hili na ule mpango wa kuwianisha malipo ya wafanyakazi walio na elimu moja limeishia wapi?
Fanya utafiti. Sitaki kuongea sana. Watu wako na project hadi leo hii,wako field. Hizo Million 21 ni hela ndogo sana,tena sana kwa Mhandisi mshauri aliyebobea.Kaka nimekuelewa.
Ila hujanielewa vema
Mimi nikiwa specialist nikawa na vichaka vitatu kwa kufanya kazi masaa sita Sita mwishoni nina mshahara wa 21 million ukionganisha vichaka vitatu.
Posho za bima ya afya na za watu wa clinic bado na ukizingatia madaktari bingwa ni wachache maana inachukua miaka 9 kusomea huyo ni normal specialist.
Haya bado hujamgusia conc specialist ambaye alisomea specialization kwa miaka 3 akaongeza miaka 2 tena.
Huyo anakua km mwalimu at the same time daktari bingwa wa mabingwa na hapa bongo wapo wachache asee huyo mshahara mmoja tu ni million kumi kagusa bado wa kuwa kama mkufunzi wa madaktari wengine ni zaidi.
Tatzo engineer mpk project ije ilhali doctor daily hela zinakuja
Mimi naona wanahitaji umakini wafanyapo kazi zao,chukilia wahandisi wanaounda vifaa tiba kama hawajawa makini nini kitatokea kwa mgonjwa na mtumiaji(mmoja ya watumiaji ni hao madaktari)?
Kama madaktari wangekuwa wamaana sana tuzingekuwa tunashuhudia vifo tena hospitalini.Kifo ni mipango ya Mungu ikiwa siku yako imefika hakuna anaeweza kuzuia kwani wangapi mnatibu na bado wanaaga dunia??
Vip electrical engineer anaye operate mtambo wa kufua umeme kama ule wa songas, na ghafla mtambo ukazima. Na wakati huo huo, bunge, ikulu, viwanda, mahospitalini kunategemea umeme huohuo. Unafikiria atatumia akili kiasi gani?
Kama madaktari wangekuwa wamaana sana tuzingekuwa tunashuhudia vifo tena hospitalini.
Mengi alisafili hadi dubai ili akatafute madaktari bora, lakini haikuwezekana
Mhandisi akikosea kujenga jengo kama hostel, basi siku likidondoka unafikiri litaua watu wangapi?Kaka daktari ana shughuli nzitoo.
Kupasua moyo wa mtu si kitu rahisi kakaaa.
We acha masihara ndio maana wengine mpk wanaua sio km wanapenda
Na unapomfanyia mtu upasuaji unaenda kwa mahesabu kuna mishipa ukiigusa umeua na ni midogo ajabu.
We acha masihara doctor ana shughuli nzito aisee
Fanya utafiti. Sitaki kuongea sana. Watu wako na project hadi leo hii,wako field. Hizo Million 21 ni hela ndogo sana,tena sana kwa Mhandisi mshauri aliyebobea.
Kifaa atakachotengeneza mhandisi.wa vifaa tiba mkuu mm nitakijaribu kabla ya kukitumia.
Lakini madawa ya kutibu kama paracetamol,graseofulvin na mebendazole.
Anazozitengeneza mfamasia ambae hapishani sana na daktari akikosea kaua bila kukusudia maana huwez ifungua dawa toka katk kasha uijaribu lakn waweza jua km stethoscope mbovu au nzima kabla hujaitumia
Hiyo ni kwa experience yangu.kaka ya mwaka mmoja na. Miezi kadhaa
Wanaomdhihaki Mungu ni hao wanaojinasibu kwamba wana uwezo wa kurudisha uhai wa mtuAsa hapo kaka unamdhihaki Mungu.
Au ww ni kama Ney wa mitego huamin Mungu ?!
wasomi ndo mnapofelia hapo.Engeneer ndio nini? Andika vizuri afu ndio uniulize
Siyo siamini Mungu, ila nakelwa na mtu kuona kazi yake ni ya maana sana kuliko ya wengine, iv ushafikiria wewe daktari umemuweka mtu icu na umeme ukakatika, na jenerator likashindwa kufanya kazi? Unafikiri nini kitatokea?Asa hapo kaka unamdhihaki Mungu.
Au ww ni kama Ney wa mitego huamin Mungu ?!
Mhandisi akikosea kujenga jengo kama hostel, basi siku likidondoka unafikiri litaua watu wangapi?
Ahaa, kwa hiyo nyinyi ma doctor huwa mnauwa direct?Mkuu huyo kaua indirect sio direct km doctor.
Then hostel ikiporomoka wale majeruhi wataletwa kwetu tuwanyooshe na tuwaweke sawa sawa.
We unaletewa mtu ambae mfupa umechomoza hususan ule wa mguu then uuunganishe asee kaka si kitu simple.
Kuangalia tuuu kinyaa cha damu kinakupata
Unachekesha kweli rafiki yangu........but I think n ngumu kumielewa...nikiwa na muda I will come to make u understandVip electrical engineer anaye operate mtambo wa kufua umeme kama ule wa songas, na ghafla mtambo ukazima. Na wakati huo huo, bunge, ikulu, viwanda, mahospitalini kunategemea umeme huohuo. Unafikiria atatumia akili kiasi gani?
Wanaomdhihaki Mungu ni hao wanaojinasibu kwamba wana uwezo wa kurudisha uhai wa mtu