Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

Ktk comment uliyoboronga n hii mkuu....coz namba moja kwa ugumu duniani n MD...ugumu wa udaktar huwez kuujua wewe mgonjwa unless u attend medical school....yaan huu ulioandika n uharo
Vip electrical engineer anaye operate mtambo wa kufua umeme kama ule wa songas, na ghafla mtambo ukazima. Na wakati huo huo, bunge, ikulu, viwanda, mahospitalini kunategemea umeme huohuo. Unafikiria atatumia akili kiasi gani?
 
Hivi unajua sayansi wani ini PCM hence wahandisi na sio PCB hence madaktari?
Shauri yako, vifaa tiba vyote anagundua na kutengeneza mhandishi ndio unataka umlinnganishe na anayetumia?

Udaktari tiba ni fani nyeti na ngumu sana lakini cha kushangaza daktari anapata salary ya Tsh.1,500,000 gloss hukuhandisi wa Civil pale TANROADS(case study) anapata 2,000,000
Clinical officer/tabibu =950,000 huku Civil Technician=1,118,000 per month

Kwa staili hii case za rushwa zitaisha huko hospitali na vituo vya afya?

Tafadhali serikali wapeni madaktari uzito unaostahili kwenye malipo,wanatumia kusoma na wanaumia kazini.

Hata kwenye stahiki za posho na benefits zingine daktari hamfikii mhandisi lakini pia mhandisi hasa wa civil wako kwenye industry ambayo possibility ya yeye kupata pesa ni kubwa kuliko watu wa afya hadi semina zije.

Chonde chonde serikali mnapopanga viwango mliangalie hili na ule mpango wa kuwianisha malipo ya wafanyakazi walio na elimu moja limeishia wapi?
 
Kaka nimekuelewa.
Ila hujanielewa vema
Mimi nikiwa specialist nikawa na vichaka vitatu kwa kufanya kazi masaa sita Sita mwishoni nina mshahara wa 21 million ukionganisha vichaka vitatu.
Posho za bima ya afya na za watu wa clinic bado na ukizingatia madaktari bingwa ni wachache maana inachukua miaka 9 kusomea huyo ni normal specialist.
Haya bado hujamgusia conc specialist ambaye alisomea specialization kwa miaka 3 akaongeza miaka 2 tena.
Huyo anakua km mwalimu at the same time daktari bingwa wa mabingwa na hapa bongo wapo wachache asee huyo mshahara mmoja tu ni million kumi kagusa bado wa kuwa kama mkufunzi wa madaktari wengine ni zaidi.
Tatzo engineer mpk project ije ilhali doctor daily hela zinakuja
Fanya utafiti. Sitaki kuongea sana. Watu wako na project hadi leo hii,wako field. Hizo Million 21 ni hela ndogo sana,tena sana kwa Mhandisi mshauri aliyebobea.
 
Kifaa atakachotengeneza mhandisi.wa vifaa tiba mkuu mm nitakijaribu kabla ya kukitumia.
Lakini madawa ya kutibu kama paracetamol,graseofulvin na mebendazole.
Anazozitengeneza mfamasia ambae hapishani sana na daktari akikosea kaua bila kukusudia maana huwez ifungua dawa toka katk kasha uijaribu lakn waweza jua km stethoscope mbovu au nzima kabla hujaitumia
Hiyo ni kwa experience yangu.kaka ya mwaka mmoja na. Miezi kadhaa
Mimi naona wanahitaji umakini wafanyapo kazi zao,chukilia wahandisi wanaounda vifaa tiba kama hawajawa makini nini kitatokea kwa mgonjwa na mtumiaji(mmoja ya watumiaji ni hao madaktari)?
 
Kifo ni mipango ya Mungu ikiwa siku yako imefika hakuna anaeweza kuzuia kwani wangapi mnatibu na bado wanaaga dunia??
Kama madaktari wangekuwa wamaana sana tuzingekuwa tunashuhudia vifo tena hospitalini.
Mengi alisafili hadi dubai ili akatafute madaktari bora, lakini haikuwezekana
 
Kuna generators mkuu.
Ila kumbuka hawa electrical engineers wanazimiwa umeme kama wakifanya marekebisho no risk
Na source zingine za electricity km generators zipo.
Ila sasa ukishategua mshipa mmoja ktk mwili wa binadam kwa kukosea kufanya surgery au kwa kumchoma sindano mgonjwa ktk mshipa usio sahihi unampa ulemavu wa milele na hakuna replacement km inayofanyika ktk sources of electricity
Vip electrical engineer anaye operate mtambo wa kufua umeme kama ule wa songas, na ghafla mtambo ukazima. Na wakati huo huo, bunge, ikulu, viwanda, mahospitalini kunategemea umeme huohuo. Unafikiria atatumia akili kiasi gani?
 
Asa hapo kaka unamdhihaki Mungu.
Au ww ni kama Ney wa mitego huamin Mungu ?!
Kama madaktari wangekuwa wamaana sana tuzingekuwa tunashuhudia vifo tena hospitalini.
Mengi alisafili hadi dubai ili akatafute madaktari bora, lakini haikuwezekana
 
Mbona bado mishahara midogo hao wote? Gross ya 2,000,000/= ,Net si unaondoka na 1.4m?
 
Kaka daktari ana shughuli nzitoo.
Kupasua moyo wa mtu si kitu rahisi kakaaa.
We acha masihara ndio maana wengine mpk wanaua sio km wanapenda
Na unapomfanyia mtu upasuaji unaenda kwa mahesabu kuna mishipa ukiigusa umeua na ni midogo ajabu.
We acha masihara doctor ana shughuli nzito aisee
Mhandisi akikosea kujenga jengo kama hostel, basi siku likidondoka unafikiri litaua watu wangapi?
 
Sawa nitafanya utafiti mkuu.
Ila kama itakua mshahara mdogo labda kwa hapa Tz ila nchi zilizoendelea hususan America daktarii huongoza kwa mshahara.
Nitafuatilia kuhusu hapa Tanzania kwa ulichoniambia nifuatilie kaka.
Na kama itakua kweli basi board ya mishahara ilikurupuka ktk hili
Fanya utafiti. Sitaki kuongea sana. Watu wako na project hadi leo hii,wako field. Hizo Million 21 ni hela ndogo sana,tena sana kwa Mhandisi mshauri aliyebobea.
 
Lakini mkuu kumbuka sio makosa yote ya muhandisi yataonekana mara tu unapojaribu kifaa,anaweza akawa amekosea na ukajaribu ukaona kifaa kipo sawa,ukaanza kukitumia katikati ya matumizi kikaleta matatizo
Kifaa atakachotengeneza mhandisi.wa vifaa tiba mkuu mm nitakijaribu kabla ya kukitumia.
Lakini madawa ya kutibu kama paracetamol,graseofulvin na mebendazole.
Anazozitengeneza mfamasia ambae hapishani sana na daktari akikosea kaua bila kukusudia maana huwez ifungua dawa toka katk kasha uijaribu lakn waweza jua km stethoscope mbovu au nzima kabla hujaitumia
Hiyo ni kwa experience yangu.kaka ya mwaka mmoja na. Miezi kadhaa
 
Asa hapo kaka unamdhihaki Mungu.
Au ww ni kama Ney wa mitego huamin Mungu ?!
Siyo siamini Mungu, ila nakelwa na mtu kuona kazi yake ni ya maana sana kuliko ya wengine, iv ushafikiria wewe daktari umemuweka mtu icu na umeme ukakatika, na jenerator likashindwa kufanya kazi? Unafikiri nini kitatokea?

Si mdhihaki Mungu, ila ili wew daktari utimize majukumj yako watu wengi wanahusika na wewe pia unawasaidia vitu vingi kwa hiyo tuheshimiane. Kama wewe daktari unaokoa maisha ya watu basi hawa wahandisi wamekusaidia kufanya hivyo.
 
Mkuu huyo kaua indirect sio direct km doctor.
Then hostel ikiporomoka wale majeruhi wataletwa kwetu tuwanyooshe na tuwaweke sawa sawa.
We unaletewa mtu ambae mfupa umechomoza hususan ule wa mguu then uuunganishe asee kaka si kitu simple.
Kuangalia tuuu kinyaa cha damu kinakupata
Mhandisi akikosea kujenga jengo kama hostel, basi siku likidondoka unafikiri litaua watu wangapi?
 
Mkuu huyo kaua indirect sio direct km doctor.
Then hostel ikiporomoka wale majeruhi wataletwa kwetu tuwanyooshe na tuwaweke sawa sawa.
We unaletewa mtu ambae mfupa umechomoza hususan ule wa mguu then uuunganishe asee kaka si kitu simple.
Kuangalia tuuu kinyaa cha damu kinakupata
Ahaa, kwa hiyo nyinyi ma doctor huwa mnauwa direct?
 
Vip electrical engineer anaye operate mtambo wa kufua umeme kama ule wa songas, na ghafla mtambo ukazima. Na wakati huo huo, bunge, ikulu, viwanda, mahospitalini kunategemea umeme huohuo. Unafikiria atatumia akili kiasi gani?
Unachekesha kweli rafiki yangu........but I think n ngumu kumielewa...nikiwa na muda I will come to make u understand
 
Ungefananisha daktari na injinia walioajiriwa Halmashauri ndio ungeona nani analipwa vizuri zaidi,TANROADS ni agency,mfumo wao wa mishahara ni tofauti sana na Halmashauri,wao wanalipana vizuri zaidi
 
Kaka unakosea ama hukusoma vzury.
Sisi madaktari tunatibu kwa uwezo wa jalali Mgonjwa anapona .
Madaktari wanaokoa sio kurudisha maisha
Tofauatisha hvyo vitu mbili kaka.
Basi kwanzia leo ukidondokewa na kitu kizito kichwani Jimwagie mafuta ya taa then usiende hospital uone utaponaje
Wanaomdhihaki Mungu ni hao wanaojinasibu kwamba wana uwezo wa kurudisha uhai wa mtu
 
Back
Top Bottom