TANZIA Daktari Bake wa Burere afariki dunia

Chance ndoto

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2017
Posts
4,363
Reaction score
10,265
Habari zilizosambaa jioni hii hapa mjini Kibaha inasemekana dokta bingwa wa mifupa dr. Bake amefariki dunia.

Dr. Bake enzi za uhai wake​
 
Yes ni kweli! Dr Bake daktari bingwa wa mifupa aliyeanzia kazi Tumbi hospital amefariki dunia poleni sana wanajumuiya ya shirika la elimu Kibaha pamoja na mwl na mama yangu mama Bake mkubwa wa kwa Mathias
Kama ni kweli, basi ni pigo kubwa mno kwa Watanzania.Kwa wasiomjua,huyu alikuwa ni Dr bingwa wa mifupa Tanzania.Na Inasemekana,mabingwa wa mifupa walikuwa ni yeye Dr Bake na Professor Sarungi
 
Kuna watu wa karibu wa familia. Majirani pia. Mbona unakua kama mgeni humu hii si thread. Mimi mpita njia ila ningependa kujua taarifa kamili..mbona kavu ivo wewe...embu tulia
Sasa ililetaje habari bila kuwa na uhakika,au ndio ulitaka uwe wa kwanza kupost kitu usichokuwa na uhakika nacho?
 
Kama ni kweli, basi ni pigo kubwa mno kwa Watanzania.Kwa wasiomjua,huyu alikuwa ni Dr bingwa wa mifupa Tanzania.Na Inasemekana,mabingwa wa mifupa walikuwa ni yeye Dr Bake na Professor Sarungi
Wale wa mwanzo lakini wapo wengi Prof Laurance Mseru mkurugenzi Muhimbili ni bingwa mahili wa mifupa na kundi lake wanafunzi wa Sarungi
 
Kama ni kweli, basi ni pigo kubwa mno kwa Watanzania.Kwa wasiomjua,huyu alikuwa ni Dr bingwa wa mifupa Tanzania.Na Inasemekana,mabingwa wa mifupa walikuwa ni yeye Dr Bake na Professor Sarungi
Watakuja kina Bake wengine wengi wazuri maisha mzunguko na hapa Duniani tunapita..(R.I.P Dr Bake)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…