Shida ya watanzania tunapenda kuongea sana, Mtanzania akishakariri kitu inakuwa tabu Kweli Kweli.Mkuu Dr. Bake amesaidia sana watu wengi. Kuna watu walikua wakienda MOI wanaambiwa suluhu ni kukatwa viungo labda mguu/mkono lakini kwa Dr. Bake walikuwa wanafanyiwa miujiza. Dr Bake pengo lake halitazibika
Dr bake, prof sarungi ni madaktari wa mwanzo wa mifupa, kwa kuwa walikuwa wachache mnoo walifaamika sana.
Lakini haimaanishi wao ndio kila kitu,, sasa hivi kuna madaktari wengi tu wamifupa tena waliotukuka apa Tanzania.
Watanzania mpunguze kuishi kwa mazoea.